Gari zenye dashboard mbaya nikianza na vitz old model na rav4 old model nk

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Na kuna dashboard ya Crown za hovyo Sana kama dumu sijui an kama kitu tu cha hovyo,,. Ila hii hapa chini naona ndio dashboard kali kwa crown sio Yale madumu mengine
 

Attachments

  • Screenshot_20260125-125904.png
    964.6 KB · Views: 22
Hivi mkuu Mad Max , hizi dashboard kama hii inakuja na toyota crown Athlete AWS210 ya 2013 kuendelea au unanunua tu dukani kupachika?
Na kuna dashboard ya Crown za hovyo Sana kama dumu sijui an kama kitu tu cha hovyo,,. Ila hii hapa chini naona ndio dashboard kali kwa crown sio Yale madumu mengine
 
Na kuna dashboard ya Crown za hovyo Sana kama dumu sijui an kama kitu tu cha hovyo,,. Ila hii hapa chini naona ndio dashboard kali kwa crown sio Yale madumu mengine
Mad Max namaanisha kwamba dashboard hii inakuja toka kiwandani kwenye crown toleo hili? au Inakuja na madumu yaleyale? Harafu mwenyew tu ndio unanunua hii dashboard kuwekea??
 

Attachments

  • Screenshot_20260125-125904.png
    964.6 KB · Views: 19
  • Screenshot_20260125-133326.png
    807.4 KB · Views: 23
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…