Gari zinauzwa

Gari zinauzwa

Nahitaji Nissan X trail
IMG-20171112-WA0033.jpg
IMG-20171112-WA0030.jpg
IMG-20171112-WA0029.jpg
IMG-20171112-WA0028.jpg
IMG-20171112-WA0027.jpg
inauzwa mil 7.7
Punguf tunaongea.
 
IMG-20171112-WA0036.jpg
IMG-20171112-WA0038.jpg
IMG-20171112-WA0035.jpg
Nissan X Trail bei ya sikuu kabisa inauzwa mil 7.6
Mteja unaskilizwa kwa kiwango cha juu.
Discount tunaongea karibun.
Niamin upate gari zur kwa bei poa.
 
Hata mimi, pia paso na kikobe kile, mie kobe hata lifti sipendi
Duuuh ningekuwa na hela cjui ingekuwaje
Hivi kwa nn mtu unajikuta unachukia kitu tu? Na yale napenda kuna watu pia wanayachukia[emoji85]
Wakuu si wengine hata huto hatuna, mnatuvunja moyo ndoto za kumiliki mikoko
 
Mkuu, ist black inapatikana kwa sh ngapi? Ambayo ipo kwenye mint condition
 
Mkuu, ist black inapatikana kwa sh ngapi? Ambayo ipo kwenye mint condition
Ninayo IST nyeus ya mil 7 na m9 ila kwsasa itakua ngum kupata picha ila kwa kesho labda kama utanivumilia naweza kukuonyesha picha za hayo magari.
 
Yan kila mtu anakitu ana penda na vitu hapend..ni jambo la kawaida yan mi mwenye kuna magar nauza ila siyapendi sema wapo watu wanayapenda na wananunua kwa gharama adi unashangaa..
Yaan Mungu ana maajabu kila kona, kaweka vi element kwenye mbongo zetu na zinatofautiana
Kuna kitu sipendi na najishangaa pia y sipendi. Sipendi kuona mwanaume anaendesha VITs[emoji85]
 
IMG-20171112-WA0048.jpg
IMG-20171112-WA0047.jpg
IMG-20171112-WA0045.jpg
IMG-20171112-WA0046.jpg
IMG-20171112-WA0044.jpg
IMG-20171112-WA0043.jpg
IMG-20171112-WA0041.jpg
IMG-20171112-WA0040.jpg

Gari inauzwa kwa mil 8.5
Bei ni fixed
Cc 1298
 
Back
Top Bottom