Gari zinazo paa angani kutinga showrooms mwakani

Gari zinazo paa angani kutinga showrooms mwakani

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Kutokana na kukithiri kwa foleni za barabarani, kwa sasa kuna haja ya kuanza kuagiza yale magari yanayopaa angani. Magari haya yatakuwa dual in nature,

yaani yatakuwa na uwezo wa kutembea barabarani na kupaa temporarily whenever necessary tena especially kwenye road junctions kama za tazara, buguruni na ubungo ambapo panakuwaga na foleni za kibakaji na za kimbwa mno! Hatuhitaji mradi wa BRT, what we need is flying cars!

DON FRANCIS

images
images


images
images


================================
UPDATE: 17/07/2017
Hatimaye Dubai zinauzwa kama njugu sasa, ona video


=================================
UPDATE: 12/01/2019
Uber waja na 'AIR TAXI'


=================================
Update: 29/01/2022
Gari limefaulu majaribio ya kwanza


=======================
Update: 01/02/2023

 
UNGO being modified lol....mbona hamna ajali za wachawi....hata hizi hazitakuwa hazina ajali....unatua tu popote lol.....ukiona bara bara imejam unatua kny nyumba ya mtu,au banda la mama ntilie teh teh
 
hahahahah..! si nasikia wanawajibishwa hv punde?!

heheheheheheh.....tumeanza uchunguzi upya kwa kina manake intelejensia yetu inaonyesha kuwa CAG na TAKUKURU ni idara za CHADEMA, CUF na NCCR...hatuwezi kuamini uchunguzi wao. Na hata bunge safari hii lilitoa makusudio yenye mlengo wa ki-UKAWA.
 
Back
Top Bottom