Ilisolokobwe
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,856
- 814
Nimeipenda sana post hii ila naona kama ndoto za mchana. Kwa tz bado sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo safi ukiwaona trafki tu wanakupungia mkono we unakanyaga wese kuelekea juu, mbona watatukoma.
Sasa kama una uwezo wa kutembea na kidumu chenye mafuta tele si uyaweke kwenye tenki..??? Nakwambia na kama ingekuwa gari zinapiga honi baada ya mafuta kukaribia HERUFI E, ungesikia makelele mjini hapa....
Still pondering about this commenthii kitu naifananisha na kusahihisha marking scheme
Kweli zipo, ila matumizi yake kiuhalisia si makubwa sana.Ebana hizi vitu zipo kweli au cnema tu?.
Hahahahaaaaa! Long time sana hata mm ckumbuki. Naona kuna mtu nilikuwa nareply comment yake nikakosea ikawa peke yakeStill pondering about this comment
mi nitalinunua,ila wengine sidhani km wana hiyo mbesa.Kutokana na kukithiri kwa foleni za barabarani, kwa sasa kuna haja ya kuanza kuagiza yale magari yanayopaa angani. Magari haya yatakuwa dual in nature,
yaani yatakuwa na uwezo wa kutembea barabarani na kupaa temporarily whenever necessary tena especially kwenye road junctions kama za tazara, buguruni na ubungo ambapo panakuwaga na foleni za kibakaji na za kimbwa mno! Hatuhitaji mradi wa BRT, what we need is flying cars!
DON FRANCIS
![]()
![]()
![]()
![]()
Soko halijaiva bado.., vuta subira.., they are too expensivemkuu zipo wapi?
Sawa mkuuSoko halijaiva bado.., vuta subira.., they are too expensive
Nimeipenda sana post hii ila naona kama ndoto za mchana. Kwa tz bado sana
Mtu mzima akimwambia mtu mzima mwenzie maneno ya kitoto... hapo kuna walakini