Gari zinazo paa angani kutinga showrooms mwakani

Gari zinazo paa angani kutinga showrooms mwakani

Hizo gari na hizo pikipiki kwa hapa kwetu wasubirie kwanza tustaarabike kwenye matumizi sahihi ya vyombo vya moto hivi tulivyonavyo kwanza ndio tuletewe hivyo kinyume na hapo kama hizo pikipiki zitatumika na bodaboda na kama tunavyojuana wabongo kila siku itakuwa wanaanuliwa watu kutoka kwenye nyaya za Umeme kama Nguo na hivyo vigari huko angani ajali kila uchwao tena vikitua juu ya paa za vijumba vyetu vya mikopo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom