Gari zuri kati ya NISSAN X TRAIL na SUBARU FORESTER

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,789
Reaction score
4,836
Wakuu salaam.

Wako niko kwenye wazo la kutafuta usafiri. Mwanzoni nilikuwa nawaza kuhusu Mitsubishi Outlander, Hata hivyo, watu wengi wamekuwa na ushauri hasi kuhusu gari hilo. Kwa sasa nina mawazo mawili baina ya Nissan X traeil na Subaru Forester XT. Bajeti yangu 25 -30 M, Ni mtu wa kipato cha kati siwezi kushindwa ku-run, bajeti ya 200K ya mafuta kwa mwezi na 250K kwa mwezi za matengenezo.

Ninawasilisha wakuu wangu.
 
Mtu aliekushauri kuhusu Mitsubishi Outlander ameku-mislead, licha ya kwamba Outlander inatumia CVT sawa na Nissan EXTRAIL, Outlander ipo na very reliable CVT gearbox ukilinganisha na hio X-trail ambayo ni delicate na ipo susceptible to failure anytime. Hapa kwenye Outlander kikubwa ni kuweka Fluid genuine na kubadilisha kwa wakati and your good to hit the road. So option zibaki kuwa Outlander au Subaru kwa maoni yangu
 
Asante.
 
Wakuu salaam.

Wako niko kwenye wazo la kutafuta usafiri. Mwanzoni nilikuwa nawaza kuhusu Mitsubishi Outlander, Hata hivyo, watu wengi wamekuwa na ushauri hasi kuhusu gari hilo. Kwa sasa nina mawazo mawili baina ya Nissan X traeil na Subaru Forester XT. Bajeti yangu 25 -30 M, Ni mtu wa kipato cha kati siwezi kushindwa ku-run, bajeti ya 200K ya mafuta kwa mwezi na 250K kwa mwezi za matengenezo.

Ninawasilisha wakuu wangu.
Daka 2012 subaru SJ5
 
Nataka kuvuta Nissan Tiida 2009 unaizungumziaje?
Niliwahi kumiliki hio gari, Ni ngumu, ina ulaji mzuri sana wa mafuta ikichangiwa na uwepo gia box ya CVT, ni kubwa ndani kuliko IST na vipuli vinapatikana kwa bei nafuu, nimekaa china mda mrefu, watu wa huko wanazitumia sana. So ni choice nzuri kama unaanza maisha.
 
Back
Top Bottom