Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,836
Hata Mimi sijawahi kusikia matatizo ya outlander sometimes wabongo waongoWazo hasi ulilopata kuhusu outlander ni lipi?,
Mtu aliekushauri kuhusu Mitsubishi Outlander ameku-mislead, licha ya kwamba Outlander inatumia CVT sawa na Nissan EXTRAIL, Outlander ipo na very reliable CVT gearbox ukilinganisha na hio X-trail ambayo ni delicate na ipo susceptible to failure anytime. Hapa kwenye Outlander kikubwa ni kuweka Fluid genuine na kubadilisha kwa wakati and your good to hit the road. So option zibaki kuwa Outlander au Subaru kwa maoni yanguWakuu salaam.
Wako niko kwenye wazo la kutafuta usafiri. Mwanzoni nilikuwa nawaza kuhusu Mitsubishi Outlander, Hata hivyo, watu wengi wamekuwa na ushauri hasi kuhusu gari hilo. Kwa sasa nina mawazo mawili baina ya Nissan X traeil na Subaru Forester XT. Bajeti yangu 25 -30 M, Ni mtu wa kipato cha kati siwezi kushindwa ku-run, bajeti ya 200K ya mafuta kwa mwezi na 250K kwa mwezi za matengenezo.
Ninawasilisha wakuu wangu.
Asante Mkuu.Daka subaru
Upatikanaji wa vipuri, mafundi (Niko kanda ya Kati) na soko ukihitaji kuuza.Wazo hasi ulilopata kuhusu outlander ni lipi?,
1. Gharama nafuu za vipuri na matengenezo;Uzuri wa gari kwako ni upi?
Asante.Mtu aliekushauri kuhusu Mitsubishi Outlander ameku-mislead, licha ya kwamba Outlander inatumia CVT sawa na Nissan EXTRAIL, Outlander ipo na very reliable CVT gearbox ukilinganisha na hio X-trail ambayo ni delicate na ipo susceptible to failure anytime. Hapa kwenye Outlander kikubwa ni kuweka Fluid genuine na kubadilisha kwa wakati and your good to hit the road. So option zibaki kuwa Outlander au Subaru kwa maoni yangu
Chukua Forester XT.1. Gharama nafuu za vipuri na matengenezo;
2. Matumizi bora ya mafuta;
3. Uimara; na
4. Uwepo wa soko pindi ikihitajika kuuzwa.
Daka 2012 subaru SJ5Wakuu salaam.
Wako niko kwenye wazo la kutafuta usafiri. Mwanzoni nilikuwa nawaza kuhusu Mitsubishi Outlander, Hata hivyo, watu wengi wamekuwa na ushauri hasi kuhusu gari hilo. Kwa sasa nina mawazo mawili baina ya Nissan X traeil na Subaru Forester XT. Bajeti yangu 25 -30 M, Ni mtu wa kipato cha kati siwezi kushindwa ku-run, bajeti ya 200K ya mafuta kwa mwezi na 250K kwa mwezi za matengenezo.
Ninawasilisha wakuu wangu.
Nissani zinashida gani?Ukininua Xtrail jiandae kuumwa kipanda uso Kila mara
Nyingi zina gear box problems na spare ni bei kidogoNissani zinashida gani?
Nataka kuvuta Nissan Tiida 2009 unaizungumziaje?Nyingi zina gear box problems na spare ni bei kidogo
Niliwahi kumiliki hio gari, Ni ngumu, ina ulaji mzuri sana wa mafuta ikichangiwa na uwepo gia box ya CVT, ni kubwa ndani kuliko IST na vipuli vinapatikana kwa bei nafuu, nimekaa china mda mrefu, watu wa huko wanazitumia sana. So ni choice nzuri kama unaanza maisha.Nataka kuvuta Nissan Tiida 2009 unaizungumziaje?