Gatuzi/kaunti ya Murang'a yaanza ujenzi wa hospitali kubwa ukanda huu kwa ajili ya saratani - maendeleo kote Kenya, nje ya Nairobi

Murang'a is not a place for cowards and apologists like PK. Muranga kikuyus are not like nyeri,kiambu or kirinyaga kikuyus, we dont give a **** about who is in govenment, we only worship 1 thing - Money.. fullstop. this is why muranga kikuyus own major banks, the whole of river road and other many businesses.
Kenyatta and his apologists can go to hell
Bwahahaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una try so hard kujifanya mkenya lkn bado haiwwzekani
 
We have three cancer hospitals in tanzania.
Ocean Road in dar
Bugando mza
and one in morogoro.

We have plenty of them, but this one will be a showstopper in the whole of EAC, and will be located in a county away from Nairobi, meaning the whole country is on turbo charge.
 
Sasa sababu najua kizungu Mimi ni mzungu?
Wacha denial, wewe leta ushahidi kama yeye ni mtanzania, ameshaeleza sehemu alipizaliwa, shule na vyuo alivyosema, sehemu mbalimbali alizosoma, kazi alizofanya katika Serikali ya Kenya, familia na ukoo wake huko Kenya, hata lugha ya asili ya Kenya.

Kizungu ni lugha ya dunia na inafundishwa shuleni ambako wote hupitia, je lugha gani ya kienyeji ambayo hufundishwa mashuleni?. Njia kubwa duniani inayotumika kuweza kutambua kabila au uraia wa mtu ni kuzungumza lugha ya kabila lake, Kiingereza ni lugha ya dunia haiwezi kutumika kama lugha ya kabila moja, acheni denial kwa kuambiwa ukweli.
 
With only one life to live, it must be really hard to not love your citizenship [emoji23][emoji23]
Hivi kwa kyzungumza ukweli kuhusu nchi yake mnadhani anaichukia Kenya?, yeye anaikosoa ili ijirekebishe muendelee kuwa na maisha mazuri. Mbona David Ndii hamumsemi wakati ndiye anaikosoa Serikali ya Kenya kuliko mtu yeyote hapo Kenya, au hata yeye ni mtanzania?
 
We unaongelea mtu umepata mtandaoni? Haikosi ata account hiyo we ndo unaoperate.
Kama umesomea Kenya kama ilivyokawaida ya wabongolala wengi kusomea hapa, utakijua Kikuyu tu. Ni kama national language.
 
Kwa hiyo mtanzania aliyesomea Kenya anaweza kupata ajira ndani ya Serikali ya Kenya?, mtanzania anaweyeweza kusomea Kenya kuanzia Pre education, Primary, Secondary, University educations hadi aweze kuajiriwa katika wizara nyeti za Serikali ya Kenya, huyo huwezi kuwa mtanzania lazima atakua ni mkenya hata kama amezaliwa Tanzania, hakuna nchi inayoweza kumuajiri raia wa nchi njyingine katika ajira za Serikali, wacha ujinga huo.
 
Sijui unaongelea nini lakini sijawahi skia Mkenya akisomea Danganyika O levels
 
Mwangi wa iria is an asshole. PR mingi tu lakini hakuna kitu kwa ground. This is just another fake PR stunt like the milk processing plant.. In my home town of murang'a, we call him mwangi ngombe not mwangi wa iria.. because he is as stupid as a cow!
Hio milk processing plant yao inaitwa aje?
 
Kwa hiyo mtanzania aliyesomea Kenya anaweza kupata ajira ndani ya Serikali ya Kenya?, mtanzania anaweyeweza kusomea Kenya kuanzia Pre education, Primary, Secondary, University educations hadi aweze kuajiriwa katika wizara nyeti za Serikali ya Kenya, huyo huwezi kuwa mtanzania lazima atakua ni mkenya hata kama amezaliwa Tanzania, hakuna nchi inayoweza kumuajiri raia wa nchi njyingine katika ajira za Serikali, wacha ujinga huo.
Nilisomea Uganda miake minne and I can speak Lusoga Fluently so your point is not admissible in this context.
Mozambique, Malawi, Zambia, Rwanda, Burundi,Congo DRC na Uganda huwezi communicate nao so you are technically useless to them. Tembea Mkuu akili zifunguke. Huyo @mkikuyu akili timamu is a hundred times smarter than you able to sustain an argument coherently stating half truths. Ni mtanzania aliyesomea au kuishi Kenya.
 
Kwa hiyo mtanzania aliyesomea Kenya anaweza kupata ajira ndani ya Serikali ya Kenya?, mtanzania anaweyeweza kusomea Kenya kuanzia Pre education, Primary, Secondary, University educations hadi aweze kuajiriwa katika wizara nyeti za Serikali ya Kenya, huyo huwezi kuwa mtanzania lazima atakua ni mkenya hata kama amezaliwa Tanzania, hakuna nchi inayoweza kumuajiri raia wa nchi njyingine katika ajira za Serikali, wacha ujinga huo.
Wacha wajifariji hizo ndizo tabia zao, Si walisema MigunaMiguna sio mkenya eti sababu anakosoa Serikali ya jubilee.
Hawa wakenya wa JF huwa aidha wametumwa na jubilee kuchafua taswira ya Tz ama wapo brainwashed.
Ukitaka uhalisia wa wakenya enda twittani
 
Kuna msemo wa Kikenya by US based writer Ngugi Wa Thiongo unasema 'Kenyans think..'
 
Back
Top Bottom