johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Investigation Unit ๐๐๐Kuhusu nini?
Kwenye uwekezaji kinaangaliwa mtaji sio utoaji wa rushwa mahali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Investigation Unit ๐๐๐Kuhusu nini?
Kwenye uwekezaji kinaangaliwa mtaji sio utoaji wa rushwa mahali
Kufuatia kashfa hii ya kibiasha ya makampuni ya billionaire Gautam Adani na yanayoendelea katika Mitandao ya Kijamii hasa jukwaa hili na vyombo mablimbali vya habari vya ndani na nje ya Tanzania hasa kwa kuishambulia Serikali ya TANZANIA na watendaji wake,
===
Billionaire wa Kihindi na tajiri namba mbili barani Asia Mr Gautam Adani anayetajwa pia kuwa ni miongoni mwamatajiri kumi ( 10 ) duniani anakabiliwa na tuhuma za kuahidi kutoa rushwa ya kiasi cha US$ 250M zaidi ya TZS 650bn ili apate kazi na Mikopo toka kwa mabanki na Wawekezaji wenzake kibiashara.
Billionaire Gautam Adani anatajwa kumiliki ukwasi wa zaidi ya US$ 85.5bn zaidi ya TZS 222.3trilioni ambazo ni zaidi ya Uchumi wote wa nchi ya TANZANIA wenye wasi wasi nae kuhusu uwezo wa Kiuchumi naomba waondoe hofu.
Mtakumbuka billionaire huyu hivi karibuni alionesha nia ya kuwekeza nchini Marekani kiasi cha US$ 10bn zaidi ya TZS 26 Trilioni kwenye sekta ya nishati akiahidi kutoa ajira za moja kwa moja kwa wamarekani zaidi ya 15,000 akitaraji kupata faida ya karibu US$2bn zaidi ya TZS 5.2trlioni ndani ya miaka 20 ijayo.
Billionaire huyo kwa kupita kampuni yake Adan Green Energy Ltd pamoja na kampuni ya Gridworks Development Partners LLP toka Uingereza kwa nyakati tofauti tofauti wameonesha nia ya kutaka kuwekeza kwenye mradi wa kusafirisha na kusambaza Umeme kwa gharama ya zaidi ya TZS 3.3Trilioni ikiwa ni baada ya Tanzania kuwa na Umeme wa ziada wa zaidi ya 600MW hii ni baada ya bwawa la Mwl Nyerere (JNHPP) kukamilika na kuanza kufua umeme wa zaidi ya 2,100MW na kuziba nakisi ya umeme iliyokuwepo kwa miongo mingi na hivyo kuilazimu Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
Haya ni maoni yangu,
1. Tuhuma hizi kwa Serikali ya Tanzania ni ama zimewahi ama hazina msingi wowote kwakuwa billionaire Gautam Adani hana mkataba wowote na Serikali ya Tanzania japo ameonesha nia ya kuwekeza kwa kutumia Sheria , kanuni na taratibu za PPPC.
2. Hata hivyo kinachomsibu Gautam Adani Kwa sasa ni tuhuma tu tena za Upande mmoja na kwa kuzingatia dunia hii ya mnyukano wa vita za Kiuchumi tusiende mbio kwenye lawama badala yake tujiuluze kwanini Marekani yenyewe imruhusu billionaire Gautam Adani awekeze kiasi Cha US$ 10bn na hivyo kutoa ajira zaidi ya 15,000 kwa wamarekani?
3. Hata hivyo, hakuna mahali Serikali ya Tanzania wala Mkurugenzi wa PPP Bw David Kafulila wamemtetea billionaire Gautam Adani au mwekezaji mwingine yeyote.
4. Kwa msiofahamu kazi mojawapo ya PPPC ni kuueleza umma wa Tanzania ( Public ) kuhusu uwekezaji na wawekezaji wenye nia ya kuwekeza kwenye PPP kwa kuzingatia zaidi masilahi mapana ya Taifa la Tanzania.
5. Lazima tufahamu kwanini PPPC anafanya hivi, lengo na nia ni kuufanya Umma ( Public) uelewe kila kitu tangu mwanzo kabisa wa mradi hasa kwenye hatua ya mwekezaji kuonesha nia badala ya Umma kuja kuletewa mkataba ulosainiwa bila kujua mchakato wa uwekezaji huo ulianza lini na kwa namna gani na masilahi kwa Taifa ni yepi hivyo kupoteza maana ya neno Public-Private
Tukumbuke Transparency ndio nguzo kuu katika ndoa yoyote ile ya PPP na faida yake ni hii Leo Watanzania wanamjadili Adani nje ndani ni kwa sababu wameshirikishwa mapema na kwa uwazi kabisa juu ya nia yake hiyo.
Pia soma Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani
search.app
search.app
#SAMIAMITANOTENA
Kwisha
View attachment 3157928
Kampuni ya Adani yasaini Mkataba wa miaka 30 kuendesha Gati ya 2 ya Bandari (Zamani TICTS)
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd. Mkataba huo wa miaka 30 umesainiwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania. ==== The concession agreement for 30 years has been signed...www.jamiiforums.com
Haya mambo ya Taneso kuingia mikataba kiholela isitishwe kwa manufaa ya uma
Terms of contract ndio zitaamua kwa nn apewe au asipewe not otherwise.Jenga hoja kwanini asipewe?
Wewe ni Kafulira bila shaka
Kwamba US wana vita ya kibiashara na Adani? Acha ujinga
Kama unakubali kuwa na chuki hata hizo hoja zako hazina mashiko kwani ni sehemu ya chuki uliyonayo.Nilisha kueleza mara nyingi tu humu. Kama hiyo unayo ieleza kuwa ni "kuongozwa na chuki" ni kuhusu kuchukia yanayo fanyiwa taifa letu, usihangaike kabisa juu ya hilo. Nina chuki kubwa sana juu yake.
Tueleze "umbea" ni upi katika maswala yanayo fanywa na Samia. Hiyo miradi niliyo orodhesha hapo haipo? Umbea uko wapi?
Na elewa, kiongozi anapo ruhusu kufanya siri katika maswala ya wananchi wake, huyo ndiye "mmbea" mwenyewe. Samia ni kiongozi fisadi, asiye kuwa na aibu kabisa wala kujutia hali hiyo.
Ni wajibu wa kafulila kuhakikisha dhana ya PPP hailetei taifa janga au ajue atakuja wajibishwa. Kina Adani wanachotaka sio kuwekeza uzalishaji mpya. Wao wanawinda vile nchi zimewekeza waje kuvuna kwa kubinafsisha kijanja uwekezaji za umma. Tusikubali unyonyaji wa kizandiki wa wahindi na waarabu. Wao ndio zao hizo kuleta ukoloni Afrika. Wanajua vigogo wanapenda rushwa kwa hivyo wanauza dhana za kilaghai kunyonya na kupora nchi zingine hasa za kiafrika.Kufuatia kashfa hii ya kibiasha ya makampuni ya billionaire Gautam Adani na yanayoendelea katika Mitandao ya Kijamii hasa jukwaa hili na vyombo mablimbali vya habari vya ndani na nje ya Tanzania hasa kwa kuishambulia Serikali ya TANZANIA na watendaji wake,
===
Billionaire wa Kihindi na tajiri namba mbili barani Asia Mr Gautam Adani anayetajwa pia kuwa ni miongoni mwamatajiri kumi ( 10 ) duniani anakabiliwa na tuhuma za kuahidi kutoa rushwa ya kiasi cha US$ 250M zaidi ya TZS 650bn ili apate kazi na Mikopo toka kwa mabanki na Wawekezaji wenzake kibiashara.
Billionaire Gautam Adani anatajwa kumiliki ukwasi wa zaidi ya US$ 85.5bn zaidi ya TZS 222.3trilioni ambazo ni zaidi ya Uchumi wote wa nchi ya TANZANIA wenye wasi wasi nae kuhusu uwezo wa Kiuchumi naomba waondoe hofu.
Mtakumbuka billionaire huyu hivi karibuni alionesha nia ya kuwekeza nchini Marekani kiasi cha US$ 10bn zaidi ya TZS 26 Trilioni kwenye sekta ya nishati akiahidi kutoa ajira za moja kwa moja kwa wamarekani zaidi ya 15,000 akitaraji kupata faida ya karibu US$2bn zaidi ya TZS 5.2trlioni ndani ya miaka 20 ijayo.
Billionaire huyo kwa kupita kampuni yake Adan Green Energy Ltd pamoja na kampuni ya Gridworks Development Partners LLP toka Uingereza kwa nyakati tofauti tofauti wameonesha nia ya kutaka kuwekeza kwenye mradi wa kusafirisha na kusambaza Umeme kwa gharama ya zaidi ya TZS 3.3Trilioni ikiwa ni baada ya Tanzania kuwa na Umeme wa ziada wa zaidi ya 600MW hii ni baada ya bwawa la Mwl Nyerere (JNHPP) kukamilika na kuanza kufua umeme wa zaidi ya 2,100MW na kuziba nakisi ya umeme iliyokuwepo kwa miongo mingi na hivyo kuilazimu Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
Haya ni maoni yangu,
1. Tuhuma hizi kwa Serikali ya Tanzania ni ama zimewahi ama hazina msingi wowote kwakuwa billionaire Gautam Adani hana mkataba wowote na Serikali ya Tanzania japo ameonesha nia ya kuwekeza kwa kutumia Sheria , kanuni na taratibu za PPPC.
2. Hata hivyo kinachomsibu Gautam Adani Kwa sasa ni tuhuma tu tena za Upande mmoja na kwa kuzingatia dunia hii ya mnyukano wa vita za Kiuchumi tusiende mbio kwenye lawama badala yake tujiuluze kwanini Marekani yenyewe imruhusu billionaire Gautam Adani awekeze kiasi Cha US$ 10bn na hivyo kutoa ajira zaidi ya 15,000 kwa wamarekani?
3. Hata hivyo, hakuna mahali Serikali ya Tanzania wala Mkurugenzi wa PPP Bw David Kafulila wamemtetea billionaire Gautam Adani au mwekezaji mwingine yeyote.
4. Kwa msiofahamu kazi mojawapo ya PPPC ni kuueleza umma wa Tanzania ( Public ) kuhusu uwekezaji na wawekezaji wenye nia ya kuwekeza kwenye PPP kwa kuzingatia zaidi masilahi mapana ya Taifa la Tanzania.
5. Lazima tufahamu kwanini PPPC anafanya hivi, lengo na nia ni kuufanya Umma ( Public) uelewe kila kitu tangu mwanzo kabisa wa mradi hasa kwenye hatua ya mwekezaji kuonesha nia badala ya Umma kuja kuletewa mkataba ulosainiwa bila kujua mchakato wa uwekezaji huo ulianza lini na kwa namna gani na masilahi kwa Taifa ni yepi hivyo kupoteza maana ya neno Public-Private
Tukumbuke Transparency ndio nguzo kuu katika ndoa yoyote ile ya PPP na faida yake ni hii Leo Watanzania wanamjadili Adani nje ndani ni kwa sababu wameshirikishwa mapema na kwa uwazi kabisa juu ya nia yake hiyo.
Pia soma Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani
search.app
search.app
#SAMIAMITANOTENA
Ni nani, binaadam asiye na chuki?Kama unakubali kuwa na chuki hata hizo hoja zako hazina mashiko kwani ni sehemu ya chuki uliyonayo.
Haya ni marudio ya yale yale tuliyo kwisha elezana mara nyingi tu. Sina sababu ya kuendelea kurudia tena. ndani ikikuunguza?Uwekezaji wa DPW unawasaidia wafanyabiashara sio madalali wa siasa zetu za midomoni. Adani alipewa magati ayaendeshe pale bandarini baada ya wanasheria na wachumi kujiridhisha juu ya uwezo wake wa utendaji katika sekta ya bandari.
Tatizo haya tunayoyaandika hayafanani kabisa na ufanisi wa mashirika yetu yanayobinafsishwa. Tufanye uzembe na nchi yetu iwe unaumia kiuchumi halafu wanasiasa wakileta mashirika makubwa yenye uwezo tuanze kuyapiga vita kwa wivu wa hicho wanachokwenda kukivuna?.Ni wajibu wa kafulila kuhakikisha dhana ya PPP hailetei taifa janga au ajue atakuja wajibishwa. Kina Adani wanachotaka sio kuwekeza uzalishaji mpya. Wao wanawinda vile nchi zimewekeza waje kuvuna kwa kubinafsisha kijanja uwekezaji za umma. Tusikubali unyonyaji wa kizandiki wa wahindi na waarabu. Wao ndio zao hizo kuleta ukoloni Afrika. Wanajua vigogo wanapenda rushwa kwa hivyo wanauza dhana za kilaghai kunyonya na kupora nchi zingine hasa za kiafrika.
Kufuatia kashfa hii ya kibiasha ya makampuni ya billionaire Gautam Adani na yanayoendelea katika Mitandao ya Kijamii hasa jukwaa hili na vyombo mablimbali vya habari vya ndani na nje ya Tanzania hasa kwa kuishambulia Serikali ya TANZANIA na watendaji wake,
===
Billionaire wa Kihindi na tajiri namba mbili barani Asia Mr Gautam Adani anayetajwa pia kuwa ni miongoni mwamatajiri kumi ( 10 ) duniani anakabiliwa na tuhuma za kuahidi kutoa rushwa ya kiasi cha US$ 250M zaidi ya TZS 650bn ili apate kazi na Mikopo toka kwa mabanki na Wawekezaji wenzake kibiashara.
Billionaire Gautam Adani anatajwa kumiliki ukwasi wa zaidi ya US$ 85.5bn zaidi ya TZS 222.3trilioni ambazo ni zaidi ya Uchumi wote wa nchi ya TANZANIA wenye wasi wasi nae kuhusu uwezo wa Kiuchumi naomba waondoe hofu.
Mtakumbuka billionaire huyu hivi karibuni alionesha nia ya kuwekeza nchini Marekani kiasi cha US$ 10bn zaidi ya TZS 26 Trilioni kwenye sekta ya nishati akiahidi kutoa ajira za moja kwa moja kwa wamarekani zaidi ya 15,000 akitaraji kupata faida ya karibu US$2bn zaidi ya TZS 5.2trlioni ndani ya miaka 20 ijayo.
Billionaire huyo kwa kupita kampuni yake Adan Green Energy Ltd pamoja na kampuni ya Gridworks Development Partners LLP toka Uingereza kwa nyakati tofauti tofauti wameonesha nia ya kutaka kuwekeza kwenye mradi wa kusafirisha na kusambaza Umeme kwa gharama ya zaidi ya TZS 3.3Trilioni ikiwa ni baada ya Tanzania kuwa na Umeme wa ziada wa zaidi ya 600MW hii ni baada ya bwawa la Mwl Nyerere (JNHPP) kukamilika na kuanza kufua umeme wa zaidi ya 2,100MW na kuziba nakisi ya umeme iliyokuwepo kwa miongo mingi na hivyo kuilazimu Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
Haya ni maoni yangu,
1. Tuhuma hizi kwa Serikali ya Tanzania ni ama zimewahi ama hazina msingi wowote kwakuwa billionaire Gautam Adani hana mkataba wowote na Serikali ya Tanzania japo ameonesha nia ya kuwekeza kwa kutumia Sheria , kanuni na taratibu za PPPC.
2. Hata hivyo kinachomsibu Gautam Adani Kwa sasa ni tuhuma tu tena za Upande mmoja na kwa kuzingatia dunia hii ya mnyukano wa vita za Kiuchumi tusiende mbio kwenye lawama badala yake tujiuluze kwanini Marekani yenyewe imruhusu billionaire Gautam Adani awekeze kiasi Cha US$ 10bn na hivyo kutoa ajira zaidi ya 15,000 kwa wamarekani?
3. Hata hivyo, hakuna mahali Serikali ya Tanzania wala Mkurugenzi wa PPP Bw David Kafulila wamemtetea billionaire Gautam Adani au mwekezaji mwingine yeyote.
4. Kwa msiofahamu kazi mojawapo ya PPPC ni kuueleza umma wa Tanzania ( Public ) kuhusu uwekezaji na wawekezaji wenye nia ya kuwekeza kwenye PPP kwa kuzingatia zaidi masilahi mapana ya Taifa la Tanzania.
5. Lazima tufahamu kwanini PPPC anafanya hivi, lengo na nia ni kuufanya Umma ( Public) uelewe kila kitu tangu mwanzo kabisa wa mradi hasa kwenye hatua ya mwekezaji kuonesha nia badala ya Umma kuja kuletewa mkataba ulosainiwa bila kujua mchakato wa uwekezaji huo ulianza lini na kwa namna gani na masilahi kwa Taifa ni yepi hivyo kupoteza maana ya neno Public-Private
Tukumbuke Transparency ndio nguzo kuu katika ndoa yoyote ile ya PPP na faida yake ni hii Leo Watanzania wanamjadili Adani nje ndani ni kwa sababu wameshirikishwa mapema na kwa uwazi kabisa juu ya nia yake hiyo.
Pia soma Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani
search.app
search.app
#SAMIAMITANOTENA
Tumewahi kubinafsisha mashirika mengi tu toka huko nyuma kwa taasisi kubwa tu kutoka nje, je baada ya kubinafsisha ni shirika gani lilifanya vizuri?Tatizo haya tunayoyaandika hayafanani kabisa na ufanisi wa mashirika yetu yanayobinafsishwa. Tufanye uzembe na nchi yetu iwe unaumia kiuchumi halafu wanasiasa wakileta mashirika makubwa yenye uwezo tuanze kuyapiga vita kwa wivu wa hicho wanachokwenda kukivuna?.
Aliyeturoga keshakufa na hatujui kaburi lake lipo wapi.
Zipo sababu nyingi za kutofanya vizuri kwa mashirika hayo, mbaya kuliko zote ni kuingiza siasa kwenye masuala ya ufanisi yenye kuhitaji utaalam.Tumewahi kubinafsisha mashirika mengi tu toka huko nyuma kwa taasisi kubwa tu kutoka nje, je baada ya kubinafsisha ni shirika gani lilifanya vizuri?
Kwanini mnilazimishe aiseeWewe ni ndugu Kafulila mwenyewe.
Umezunguka tu. Ukweli kwa nchi zetu za dunia ya 3 wala hawana huo mpango wa kuja kukunufaisha, wanakuja kuja kuchukua zaidi kutoka kwako kuliko utachopata kwao hata akae miaka 100 story zitakua vile vile.Zipo sababu nyingi za kutofanya vizuri kwa mashirika hayo, mbaya kuliko zote ni kuingiza siasa kwenye masuala ya ufanisi yenye kuhitaji utaalam.
Tukubali tukatae tunalo tatizo katika taasisi nyingi haswa katika suala zima la tija kuwa ndogo, ufisadi ni mwingi watu wanavizia fursa za kuchota pesa.
DPW alikuja pale TPA na mbinu tofauti na akaanza kupigwa vita mapema sana kwani wafaidikaji wa mianya ya upigaji ni wengi na wenye misuli minene.
Kufuatia kashfa hii ya kibiasha ya makampuni ya billionaire Gautam Adani na yanayoendelea katika Mitandao ya Kijamii hasa jukwaa hili na vyombo mablimbali vya habari vya ndani na nje ya Tanzania hasa kwa kuishambulia Serikali ya TANZANIA na watendaji wake,
===
Billionaire wa Kihindi na tajiri namba mbili barani Asia Mr Gautam Adani anayetajwa pia kuwa ni miongoni mwamatajiri kumi ( 10 ) duniani anakabiliwa na tuhuma za kuahidi kutoa rushwa ya kiasi cha US$ 250M zaidi ya TZS 650bn ili apate kazi na Mikopo toka kwa mabanki na Wawekezaji wenzake kibiashara.
Billionaire Gautam Adani anatajwa kumiliki ukwasi wa zaidi ya US$ 85.5bn zaidi ya TZS 222.3trilioni ambazo ni zaidi ya Uchumi wote wa nchi ya TANZANIA wenye wasi wasi nae kuhusu uwezo wa Kiuchumi naomba waondoe hofu.
Mtakumbuka billionaire huyu hivi karibuni alionesha nia ya kuwekeza nchini Marekani kiasi cha US$ 10bn zaidi ya TZS 26 Trilioni kwenye sekta ya nishati akiahidi kutoa ajira za moja kwa moja kwa wamarekani zaidi ya 15,000 akitaraji kupata faida ya karibu US$2bn zaidi ya TZS 5.2trlioni ndani ya miaka 20 ijayo.
Billionaire huyo kwa kupita kampuni yake Adan Green Energy Ltd pamoja na kampuni ya Gridworks Development Partners LLP toka Uingereza kwa nyakati tofauti tofauti wameonesha nia ya kutaka kuwekeza kwenye mradi wa kusafirisha na kusambaza Umeme kwa gharama ya zaidi ya TZS 3.3Trilioni ikiwa ni baada ya Tanzania kuwa na Umeme wa ziada wa zaidi ya 600MW hii ni baada ya bwawa la Mwl Nyerere (JNHPP) kukamilika na kuanza kufua umeme wa zaidi ya 2,100MW na kuziba nakisi ya umeme iliyokuwepo kwa miongo mingi na hivyo kuilazimu Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
Haya ni maoni yangu,
1. Tuhuma hizi kwa Serikali ya Tanzania ni ama zimewahi ama hazina msingi wowote kwakuwa billionaire Gautam Adani hana mkataba wowote na Serikali ya Tanzania japo ameonesha nia ya kuwekeza kwa kutumia Sheria , kanuni na taratibu za PPPC.
2. Hata hivyo kinachomsibu Gautam Adani Kwa sasa ni tuhuma tu tena za Upande mmoja na kwa kuzingatia dunia hii ya mnyukano wa vita za Kiuchumi tusiende mbio kwenye lawama badala yake tujiuluze kwanini Marekani yenyewe imruhusu billionaire Gautam Adani awekeze kiasi Cha US$ 10bn na hivyo kutoa ajira zaidi ya 15,000 kwa wamarekani?
3. Hata hivyo, hakuna mahali Serikali ya Tanzania wala Mkurugenzi wa PPP Bw David Kafulila wamemtetea billionaire Gautam Adani au mwekezaji mwingine yeyote.
4. Kwa msiofahamu kazi mojawapo ya PPPC ni kuueleza umma wa Tanzania ( Public ) kuhusu uwekezaji na wawekezaji wenye nia ya kuwekeza kwenye PPP kwa kuzingatia zaidi masilahi mapana ya Taifa la Tanzania.
5. Lazima tufahamu kwanini PPPC anafanya hivi, lengo na nia ni kuufanya Umma ( Public) uelewe kila kitu tangu mwanzo kabisa wa mradi hasa kwenye hatua ya mwekezaji kuonesha nia badala ya Umma kuja kuletewa mkataba ulosainiwa bila kujua mchakato wa uwekezaji huo ulianza lini na kwa namna gani na masilahi kwa Taifa ni yepi hivyo kupoteza maana ya neno Public-Private
Tukumbuke Transparency ndio nguzo kuu katika ndoa yoyote ile ya PPP na faida yake ni hii Leo Watanzania wanamjadili Adani nje ndani ni kwa sababu wameshirikishwa mapema na kwa uwazi kabisa juu ya nia yake hiyo.
Pia soma Bilionea Gautam Adani ambaye Kafulila anataka kumpa shirika la TANESCO ashitakiwa kwa utapeli huko Marekani
search.app
search.app
#SAMIAMITANOTENA
Umezunguka tu. Ukweli kwa nchi zetu za dunia ya 3 wala hawana huo mpango wa kuja kukunufaisha, wanakuja kuja kuchukua zaidi kutoka kwako kuliko utachopata kwao hata akae miaka 100 story zitakua vile vile.
Kutoka hapo sio rahisi. Tuendelee tu kujipa moyo ila usitegemee maajabu yoyote. Waarabu, baadhi ya nchi asia na wazungu waliweza. Kwa huku Africa tulishakosea