CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
Jamaa anahonga na haifanyi hiyo miradi au anafanya? Kama anafanya tatizo liko wapi?Wadau wanatoa tahadhari kwa kutumia mifano hai
What goes around comes around
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa anahonga na haifanyi hiyo miradi au anafanya? Kama anafanya tatizo liko wapi?Wadau wanatoa tahadhari kwa kutumia mifano hai
What goes around comes around
Una ushahidi kwamba alipewa? Maneno mepesi tu hayo, bei yake mnadani inafahamikaKafulila unamjua vizuri lakini?
Kama alikataa Bil 3 akiwa kijana mdogo sebuse Leo?
Kuwa makini sana unapomtaja Kafulila kwenye mambo ya ajabu ajabu
Umma wa CDM
Jamaa ana vita Kali sana
Jamaa now Yuko kwenye top 5 za Dunia vita kwake ni muhimu
Hapana Mimi sio Kafulila ila ni Mzalendo sana
Jamaa now Yuko kwenye top 5 za Dunia vita kwake ni muhimu
Tatizo haya tunayoyaandika hayafanani kabisa na ufanisi wa mashirika yetu yanayobinafsishwa. Tufanye uzembe na nchi yetu iwe unaumia kiuchumi halafu wanasiasa wakileta mashirika makubwa yenye uwezo tuanze kuyapiga vita kwa wivu wa hicho wanachokwenda kukivuna?.
Aliyeturoga keshakufa na hatujui kaburi lake lipo wapi.
Mawazo yale yale ya kimaskini, ya kudhani kila mtu anataka kukuibia!, Kujiona wewe tu ndio mwenye utajiri unaoonewa wivu unaotaka kuibiwa na wenye nacho.
Dunia hii ukimletea mwenye teknolojia maringo anaondoka kwako mchana huo huo na kwenda kufanya uwekezaji kwa mwingine.
Kafulila hawezi kukubali rushwa ya aina yoyote namfahamu vema tuwe watulivu tu
Kafulila ndio maana Jesca alimwacha kisa hajui kupiga pesa, Kafulila ni mwadilifu sana hata hivyo
Sasa Mwigulu anahusikaje kwenye PPP?
Huyu Adani huko Gate 2 alipewa na Kafulila?
Kinachoendelea kwa ADANI ni vita vya Kiuchumi na makampuni makubwa ya kibiashara ya Marekani,
Mtu mwenye Uchumi zaidi ya Uchumi wote wa TANZANIA unapomzungumzia lazima uwe na nidhamu.
Kafulila unamjua vizuri lakini?
Kama alikataa Bil 3 akiwa kijana mdogo sebuse Leo?
Kuwa makini sana unapomtaja Kafulila kwenye mambo ya ajabu ajabu
Binafsi sijaona shida ya ADANI
Kwa nini unani ambia habari za Magufuli; umesoma popote nilipo mtaja.Hasara za Samia unaweza kuzilinganisha na zile alizozisababisha hayati JPM?.
Kila siku tunalipa mabilioni ya pesa kwa makampuni ya kigeni kwa ujeuri wake katika mahusiano ya kibiashara.
Mkuu punguza kupumua huku moyo ukiwa umejawa na chuki.
Unataka wakuletee hizo "shida" hadi usoni kwako ndipo uzione?Binafsi sijaona shida ya ADANI