Gavana BOT aagiza benki zipunguze masharti ya mikopo na riba

Atoe waraka wa kibenki wa serikali ili tupate ushahidi tunapoenda kukopa maana ukienda hivi hivi wanakataa
 
NMB na CRDB huwa hawasikii. Msikilizeni basi Hata Gavana wa BOT.
 

Gavana BOT weka waraka hapa soon wataupata. Bank nyingi sana mabosi wake wao wamo humu Jf.​

 
Mimi sijaelewa hapo kwenye hazitaruhusiwa kutoa gawio. Nahitaji ufafanuzi zaidi. Kwani zisipotoa gawio sii ndio vizuri kwa hizo benki?
Duu yani kwamba mtoto akizila kula chakula hataosha vyombo!!
Sasa ndo anasema asante!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…