Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Ishaanza kuonesha dalili ya kufilisika hiyo NMB Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishaanza kuonesha dalili ya kufilisika hiyo NMB Tanzania
Atoe waraka wa kibenki wa serikali ili tupate ushahidi tunapoenda kukopa maana ukienda hivi hivi wanakataaGavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Florens Luoga amezitaka Benki na Taasisi za fedha kupunguza masharti ya mikopo na riba ili malengo yaliyowekwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ya kuwawezesha wananchi kiuchumi yaweze kutimia.
“Tumeelekeza benki ambazo hazishushi gharama za uendeshaji hazitaruhusiwa kutoa gawio mpaka zishuke hizo gharama ili tuone wananchi wanapata huduma bila kuwa na gharama zisizo eleweka,” - Profesa Luoga.
NMB na CRDB huwa hawasikii. Msikilizeni basi Hata Gavana wa BOT.Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Florens Luoga amezitaka Benki na Taasisi za fedha kupunguza masharti ya mikopo na riba ili malengo yaliyowekwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ya kuwawezesha wananchi kiuchumi yaweze kutimia.
“Tumeelekeza benki ambazo hazishushi gharama za uendeshaji hazitaruhusiwa kutoa gawio mpaka zishuke hizo gharama ili tuone wananchi wanapata huduma bila kuwa na gharama zisizo eleweka,” - Profesa Luoga.
BOT watoe waraka kwenye gazeti la serikaliMaelekezo mazuri..benki ziache ubishi ziyafanyie kazi wananchi wakope wafanye maendeleo.
#MaendeleoHayanaChama
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Florens Luoga amezitaka Benki na Taasisi za fedha kupunguza masharti ya mikopo na riba ili malengo yaliyowekwa na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) ya kuwawezesha wananchi kiuchumi yaweze kutimia.
“Tumeelekeza benki ambazo hazishushi gharama za uendeshaji hazitaruhusiwa kutoa gawio mpaka zishuke hizo gharama ili tuone wananchi wanapata huduma bila kuwa na gharama zisizo eleweka,” - Profesa Luoga.
Atoe waraka tuutoe nakala tulaminate tutembee nao kama kidhibitiMaelekezo mazuri,tatizo ni kwenye utekelezaji...
Duu yani kwamba mtoto akizila kula chakula hataosha vyombo!!Mimi sijaelewa hapo kwenye hazitaruhusiwa kutoa gawio. Nahitaji ufafanuzi zaidi. Kwani zisipotoa gawio sii ndio vizuri kwa hizo benki?