Gavana Kidero amzaba kofi Rachel Shebesh

Gavana Kidero amzaba kofi Rachel Shebesh

Wacha huyo muShe azabwe vibao,kazoea kujifanya mwanamke wa chuma,mbona aliufyata kwa Uhuru alipotaka kuleta chokochoko akiwa na Sonko,huyu mwanamke kimbelembele sana na anapenda sifa za ujinga,mimi nimefurahi Kidero kumzaba kibao amemukumbusha kuwa sio kila mtu wa kumchezea,huyo mama akiachiwa mapembe yake yatazidi kuwa marefu kama Mt Kenya ,ni wakati sasa yakatwe,si mnakumbuka wakati wa uchaguzi alivamia ofisi za tume ya uchaguzi usiku akiwa na yule mama muuza sembe,siku nyingine atafikiria kwanza kabla ya kuvamia ofisi za watu,YEYE NI NANI HADI AVAMIE OFISI ZA WATU AKIWA NA WAHUNI WENZAKE,ningekuwa mimi Kidero kwanza ningemzabu vibao kama vitatu kimoja hakitoshi,DAWA YA MUHUNI NI KUNFANYIA UHUNI BAASI
 
These CORD governors are completely going off the rails now. Just the other day it was reported Gov. Joho slapped ma man Sonko.

Then today Kidero does the same damn thing to Rachel. What's up with all that?

And the weird thing is, Sonko and Rachel are buddy buddies with each other (some say are lovers).

Kidero should be recalled. You can't be acting like a thug when you are governor.
Eh kumbe Sonko anakule huo mzigo,da ni sawa na Landrover kuvuta Scania 110,huo mtambi wa Rachel wahitaji kazi kuufania massage,mwenye hela sio mwenzako,kwa hiyo mama anamuheshimu tu bwnaake Sonko,sasa naye bwanaake kapigwa vibao huko Mombasa,hawa jamaa Sonko na Rachel sio ajabu ni pair kwani wote wana wasifu unao fanana,wote ni wapenda sifa,kimbelembele na wajifanya wanatetea wanyonge,hiyo ndio janja yao ya nyani kule mahindi shambani.Wajifunze ustaarabu kwanza,wasiwachokoze wenzao ili wapate umaarufu.Uhuni wao waupeleke kwa wahuni wenzao Jubilee,na wakwende zao kwa kuchapwa vibao
 
Hapo hatachomoka huyo jamaa. Sana sana anaweza aka-settle out of court na hapo lazima zitamtoka mfukoni.

Na sijawahi kuona PR skills mbovu kama za huyo jamaa. Eti anakana kabisa hakumzaba Rachel kofi wakati yuko on tape kabisa akimzaba na hadi sauti ya kibao ikasikika.

Hovyo kabisa huyo jamaa. Na ana bahati Sonko hakuwepo hapo la sivyo angechezea kichapo leo.

Nyani,mtu mhuni akikuvamia ofisini na wahuni wenzake utafanyaje,utamwangalia usoni,kile kitendo cha huyo mhuni kuingia ofisi ya mtu na lundo la wahuni huoni huo ni uvunjivu wa amani?huyo mama ni mhuni wacha aonyeshwe kuwa kuna wahuni zaidi yake,mal.... ni mal.... tu
 
siasa za siku hizi hazina heshima kabisa.

lkn Nyani Ngabu huwez kuamini i being a woman siwez kuanza kubishana na mwanaume that way tena mbele za watu. nikiona tayari huyu mwanaume amesha loose temper the best thing is for i to shut my mouth and quit. haitonipunguzia chochote kile na pia itanikinga na dhalili ya aina hii.

ndio mana kuna siku nilishiriki kwenye mjadala mmoja TGNP nikawaeleza wazi kwamba nia ya harakati za kijinsia sio kukuza mabega ya wanawake ila ni kumtetea mwanamke dhidi ya haki zake za msingi anazo kosa, na pia inatakiwa zimwelimishe mwanamke juu ya heshima na wajibu wake kwa jamii, manake what comes first before anything is personal respect.

ukijiheshimu huwez kuanza kutukanana na mtu publicly bila kuwa na haya juu ya kutoutendea utu wako heshima. a lady should act like a lady and not otherwise

umeongea kama mwanamke anaejitambua,msomi,na aliyelelewa kimaadili ya kiafrika..hata kama ni siasa lazima heshima ichukue mkondo wake.this woman shebesh huwa nasoma habari zake kwenye blogs na papers za kenya she so loose,the other day alifukuzwa state house na mama ngina kenyatta.anapenda sana ku rub shoulder na wanaume,she is the type of wakina mama yule wa same..usikute hapo alimuambia kidero ''wewe jaluo hanisi nini ebu walipe hawa pesa zao'' yaani anapenda misifa kama jamaa yake sonko.
 
Last edited by a moderator:

Umeruhusu biases zako za kisiasa ziharibu kabisa busara zako (kama hata unazo). Yaani wewe una condone violence kwa vile tu aliyepigwa ni wa Jubilee?

Hakuna kibaya wala kosa alilofanya Rachel. Wananchi wana haki ya kuandamana na kwenda kuongea na viongozi wao kwenye ofisi zao. Ofisi za viongozi siyo mali zao binafsi.

Huyo mjinga Kidero hajui na hawezi uongozi. Yeye anadhani kwa vile tu ni gavana basi kila mtu atafurahia maamuzi yake na kumsujudia kila uchwao?

Kama angekuwa ni kiongozi mwenye kujua dhima yake basi angetambua kuwa si kila wakati maamuzi yake yatawafurahisha watu wote. Kuna wakati yatawachukiza wengine na ni lazima yeye kama kiongozi awe na ngozi nene kuweza kustahimili kukosolewa, kupingwa, na kadhalika.

Sasa kalikoroga na atalinywa tu. Na alivyo mjinga (forget he is a doctor) eti anakana kabisa hakumpiga mtu kofi wakati kanaswa na kamera waziwazi akimshambulia Rachel. Na alivyo mjinga zaidi eti akawa na kimbelembele cha kuongea na waandishi wa habari na kujifanya hakumbuki kumpiga mtu.

Jinga kabisa hilo jamaa. Na kama ningekuwepo hapo ningempiga mangumi hadi atapike nyongo.
 
Nyani,mtu mhuni akikuvamia ofisini na wahuni wenzake utafanyaje,utamwangalia usoni,kile kitendo cha huyo mhuni kuingia ofisi ya mtu na lundo la wahuni huoni huo ni uvunjivu wa amani?huyo mama ni mhuni wacha aonyeshwe kuwa kuna wahuni zaidi yake,mal.... ni mal.... tu

Mhuni ni Kidero. Rachel na wenzake walikuwa wanatumia haki yao ya kikatiba ya kwenda kuonana na kiongozi wao ofisini kwake. Sasa kwenda kuonana naye ofisini kwake ni kosa?

He is a punk. Na kama kweli ni tough hivyo mbona baada ya kumzaba kibao akarudi haraka haraka ofisini kwake na kujifungia humo?

Natamani wana Nairobi wampopoe mawe popote pale atakapoonekana. Na kama Rachel angekuwa mke wangu ningemuwinda huyo jamaa hadi nimpe kilema cha maisha. Jinga kabisa.
 
1017020_10201895499738858_2051463007_n.jpg

Women MPs demand Nairobi Governor Evans Kidero resignation

kewopa.jpg

An association of women MPs now wants Nairobi Governor Evans Kidero to resign following claims of assaulting women representative Rachel Shebesh.

Kenya Women Parliamentary Association (Kewopa) has said it will institute criminal proceedings against Dr Kidero in court should the governor stay put.

"We want to condemn in the strongest words possible the physical assault by Dr Kidero against Hon Shebesh yesterday (Friday).

"We are calling on him to resign following his action or risk criminal proceedings that shall be instituted against him," said Kewopa chairperson Cecily Mbarire during a news conference in Nairobi Saturday.

Ms Mabrire, who is the Runyenjes MP, said Dr Kidero cannot remain in office after his misconduct.

The Nairobi Governor has found himself on the spot after he was seen slapping the MP in an NTV video at his City Hall office.

Police have already launched investigations into the claims of assault.

CODE OF ETHICS

But Kewopa has vowed to move to court to seek the removal of the governor after accusing him of contravening the code of ethics.

"Dr Kidero chose to use violence as a means of tackling an issue and as women MPs, we cannot and will not stand for this," Ms Mbarire said.

Mandera County Women Representative Fathia Mahbub described as "unfortunate and unbelievable" Dr Kidero's action.

"It was very unfortunate and unbelievable. There is no justification at all for anyone to take law into his own hands," she said.

Her Nyeri counterpart Priscilla Nyokabi called on women leaders to rally behind Ms Shebesh as a way of denouncing violence against women.

"Statistics show that 45 per cent of women in this country experience either physical or sexual violence and Dr Kidero's actions yesterday (Friday) are a strong pointer why these figures are taking long to reduce.

"I want to call on all women MPs to keep politics out of this issue and rally behind Hon Shebesh as a form of unity against violence," she said.

http://mobile.nation.co.ke/News/Wom.../1983060/-/format/xhtml/-/2w1mya/-/index.html
 
Mhuni ni Kidero. Rachel na wenzake walikuwa wanatumia haki yao ya kikatiba ya kwenda kuonana na kiongozi wao ofisini kwake. Sasa kwenda kuonana naye ofisini kwake ni kosa?

He is a punk. Na kama kweli ni tough hivyo mbona baada ya kumzaba kibao akarudi haraka haraka ofisini kwake na kujifungia humo?

Natamani wana Nairobi wampopoe mawe popote pale atakapoonekana. Na kama Rachel angekuwa mke wangu ningemuwinda huyo jamaa hadi nimpe kilema cha maisha. Jinga kabisa.

Duh ,kama angekuwa mkeo? ...mnhhhhh...
huyu Rachel naona kakuingia mno mazee
 
Dioo! Reo tunaogererea kuhusu kofi. Kuna aina mbiri ya kofi…..yaani kofi ya shai ya kukunywa, yaani coffee. Ashana na hiyo. Reo nitaogererea kofi, yaani srap..kofi…kama vire kofi ya Kidero! Msichagaye ni kwanini Shebesh amechapwa kofi……..mwanamke akireta kiberebere anaKideroliwa…….kwa kazi ya sianda marisa hii incha…"Shebesh ameshapwa kofi, halafu?"

rachel.jpg

slapp4.jpg

slapp5.jpg
 
Umeruhusu biases zako za kisiasa ziharibu kabisa busara zako (kama hata unazo). Yaani wewe una condone violence kwa vile tu aliyepigwa ni wa Jubilee?

Hakuna kibaya wala kosa alilofanya Rachel. Wananchi wana haki ya kuandamana na kwenda kuongea na viongozi wao kwenye ofisi zao. Ofisi za viongozi siyo mali zao binafsi.

Huyo mjinga Kidero hajui na hawezi uongozi. Yeye anadhani kwa vile tu ni gavana basi kila mtu atafurahia maamuzi yake na kumsujudia kila uchwao?

Kama angekuwa ni kiongozi mwenye kujua dhima yake basi angetambua kuwa si kila wakati maamuzi yake yatawafurahisha watu wote. Kuna wakati yatawachukiza wengine na ni lazima yeye kama kiongozi awe na ngozi nene kuweza kustahimili kukosolewa, kupingwa, na kadhalika.

Sasa kalikoroga na atalinywa tu. Na alivyo mjinga (forget he is a doctor) eti anakana kabisa hakumpiga mtu kofi wakati kanaswa na kamera waziwazi akimshambulia Rachel. Na alivyo mjinga zaidi eti akawa na kimbelembele cha kuongea na waandishi wa habari na kujifanya hakumbuki kumpiga mtu.

Jinga kabisa hilo jamaa. Na kama ningekuwepo hapo ningempiga mangumi hadi atapike nyongo.

hahahaha mkuu nyani ngabu,sijapendelea kidero kumzaba shaber kibao..ila huyo mama nae ni machachari sana.nazani unaijua ile sample ya mama wa same..kidero ni binadamu usikute shabesh alimtukana.
 
Duh ,kama angekuwa mkeo? ...mnhhhhh...
huyu Rachel naona kakuingia mno mazee

Awe kaniingia au hajaniingia is neither here nor there. Alichofanya Kidero ni kosa na kosa kwangu halina cha itikadi wala nini. Nashangaa sana kuona watu wanaona alichofanyiwa Rachel kuwa ni sawa.

Kidero just showed he doesn't have what it takes to be a leader. Hivi yeye anadhani kila amuzi lake litawafurahisha wote na hataki kupingwa wala kukosolewa?

Unajua kama angemzaba kibao in self-defense hapo wala nisingekuwa na tatizo. Lakini yeye ndo kamzaba kibao kwanza halafu kwa jeuri aliyonayo eti kakataa na kudai hakumbuki kumzaba mtu kibao.

Wewe hapo ulipo kama umeiangalia hiyo video utasema kweli with a straight face kwamba hakumzaba kibao?

Kwa nini mambo kama haya yanavumiliwa Afrika?
 
siasa za siku hizi hazina heshima kabisa.

lkn Nyani Ngabu huwez kuamini i being a woman siwez kuanza kubishana na mwanaume that way tena mbele za watu. nikiona tayari huyu mwanaume amesha loose temper the best thing is for i to shut my mouth and quit. haitonipunguzia chochote kile na pia itanikinga na dhalili ya aina hii.

ndio mana kuna siku nilishiriki kwenye mjadala mmoja TGNP nikawaeleza wazi kwamba nia ya harakati za kijinsia sio kukuza mabega ya wanawake ila ni kumtetea mwanamke dhidi ya haki zake za msingi anazo kosa, na pia inatakiwa zimwelimishe mwanamke juu ya heshima na wajibu wake kwa jamii, manake what comes first before anything is personal respect.

ukijiheshimu huwez kuanza kutukanana na mtu publicly bila kuwa na haya juu ya kutoutendea utu wako heshima. a lady should act like a lady and not otherwise

Dada yangu, pamoja na hayo yote, bado hakuna justification ya kitendo alichokifanya Kidero na tena akiwa ofisini. Ingekuwa ni mtaani sawa, tungesema these are personal issues, lakini ofisini, hapana.

Tiba
 
Last edited by a moderator:
Awe kaniingia au hajaniingia is neither here nor there. Alichofanya Kidero ni kosa na kosa kwangu halina cha itikadi wala nini. Nashangaa sana kuona watu wanaona alichofanyiwa Rachel kuwa ni sawa.

Kidero just showed he doesn't have what it takes to be a leader. Hivi yeye anadhani kila amuzi lake litawafurahisha wote na hataki kupingwa wala kukosolewa?

Unajua kama angemzaba kibao in self-defense hapo wala nisingekuwa na tatizo. Lakini yeye ndo kamzaba kibao kwanza halafu kwa jeuri aliyonayo eti kakataa na kudai hakumbuki kumzaba mtu kibao.

Wewe hapo ulipo kama umeiangalia hiyo video utasema kweli with a straight face kwamba hakumzaba kibao?

Kwa nini mambo kama haya yanavumiliwa Afrika?

Nakubaliana na wewe
but huo 'mfumo dume' Kenya uko juu sana

ni tatizo la 'culture bado'..
kuna wabunge wanawake afrika wanzabwa vibao na waume zao but wako kimyaa kabisa
mfano kulikuwa na makamu wa Rais Uganda alikuwa anazabwa vibao na mumewe but kiimya kabisa
 
hahahaha mkuu nyani ngabu,sijapendelea kidero kumzaba shaber kibao..ila huyo mama nae ni machachari sana.nazani unaijua ile sample ya mama wa same..kidero ni binadamu usikute shabesh alimtukana.

It's amazing how some of you people are condoning what Kidero did just because Rachel is a feisty woman. We really have a long way to go and I don't think we'll ever get there (wherever that there is).
 
Back
Top Bottom