Gavana Luoga akitoa takwimu za mchango wa kanda ya ziwa kwenye uchumi wa Tanzania

Uwe unasoma machapisho ya serikali kuongeza ufahamu. Mambo ya uchumi hayalinganishwi kwa jinsi unavyofikiri wewe, yanalinganishwa kwa facts and figures.

Kanda ya pwani ama Dar es Salaam inachangia 40% ya uchumi, kanda ya Ziwa 26%, nyingine zilizobaki fanya hesabu mwenyewe kisha uone kama una akili ama huna.
Wewe ni mpumbavu chapisho gani? Weka hapa.Mara nyingi nimeweka humu Takwimu huo ushenzi wako wa kujifariji unautoa wapi?

Weka chapisho hapa.. Nasisitiza nyie ni maskini wa kutupwa,mijitu mingi afu tija zero
 
Hivi 16% inaweza kumtoa mshindi? Tatizo hamuelewa hata kinachomaanishwa. Kanda ya Ziwa ina wapiga kura wengi zaidi kuliko kanda nyingine, lakini pekee yao, kura zao zote, hazitoshi kumtoa mshindi.
Nimesema mara nyingi hao ni washenzi tuu walioaminishwa upumbavu,hata wafanye vipi hawawezi toa Rais kamwe
 
Mikoa yenu ina eneo kubwa na watu wengi lakini inaongoza kwa umaskini na uvivu. Mtamchangia nani maendeleo. Angalia ni mikoa gani ina shule nyingi na nani waliozijenga. Ndo utajua wenzenu wamewekeza wapi. Halafu angalia mikoa gani ina mambo ya kishirikina sana, wanaua albino na vikongwe.
Hawana hata aibu ku expose umaskini wao,wakajua hizo Takwimu zinawabeba kumbe ni maskini wa kutupwa wako namba 4 huko
 
Wewe ni mpumbavu chapisho gani? Weka hapa.Mara nyingi nimeweka humu Takwimu huo ushenzi wako wa kujifariji unautoa wapi?

Weka chapisho hapa.. Nasisitiza nyie ni maskini wa kutupwa,mijitu mingi afu tija zero
Sasa kama hujui kua serikali hua inachapisha economic outlook kila robo mwaka kutoka bank kuu ana nbs utakua na akili ya kujua mchango wa kila kanda kitaifa?

Ungekua na akili kidogo tu ungejua hilo sasa akili huna sio rahisi kujua hilo.

Rudi shule uongeze maarifa, mimi sio ngazi yako na possibly hakuna mtu kwenye ukoo wenu ambae niko nae level moja ya uelewa wa mambo na akili.

Hatuna tija kuchangia zaidi ya robo ya pato la taifa? Subiri tutawashikisha ukuta tu.
 
Tuwe makini na kauli zetu japo ukweli unabaki Kanda ya Ziwa ndio nguzo ya Kisiasa, Kijamii na Kiuchumi nchini japo kimaendeleo hailingani na Kanda ya Kaskazini. Nachelea kueleza kwa vipi nguvu ya awali ya upinzani ilikuwa Kanda ya Ziwa
Kanda
 
Sasa kama hujui kua serikali hua inachapisha economic outlook kila robo mwaka kutoka bank kuu ana nbs utakua na akili ya kujua mchango wa kila kanda kitaifa?

Ungekua na akili kidogo tu ungejua hilo sasa akili huna sio rahisi kujua hilo.

Rudi shule uongeze maarifa, mimi sio ngazi yako na possibly hakuna mtu kwenye ukoo wenu ambae niko nae level moja ya uelewa wa mambo na akili.

Hatuna tija kuchangia zaidi ya robo ya pato la taifa? Subiri tutawashikisha ukuta tu.
Maneno mengi ya kijinga kama yule mjinga wenu bila facts,refute by facts sio ujinga wako kichwani
 
Wewe mshamba,huyo ngumbaru mwenzako kaweka nini cha maana hapo? Hiyo kanda ya maskini inashika namba 4 sasa unajisifia umaskini? Una akili wewe?
Ngoja nikurahisishie we mbulula, kanda ya ziwa na pwani ni 26+40=66%, kwa hiyo hizo kanda zilizobaki ikiwemo kanda yako pendwa iliyoko matakoni mwa Tanzania (Nyanda za juu kusini) ndo zinachangia 34% tu. Na katika hizo 34% zaidi ya 15% ni kanda ya kaskazini, zimebaki ngapi hapo we boya?!
 
Gawana Luoga ametoa takwimu za mchango wa kanda ya Ziwa kwenye uchaguzi wa Tanzania.

Mwaka 2019, kanda ya ziwa ilichangia Trilioni 34 kwenye uchumi wa Tanzania sawa na 25.9% ya pato la Taifa.

Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 90% ya dhahabu Tanzania.

Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 50% ya pamba na kahawa inayouzwa nje ya nchi.

Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 95% ya mauzo ya samaki ndani na nje ya nchi.

Kanda ya ziwa inavutia zaidi ya 80% ya watalii ama mapato ya utalii Tanzania. Kwa maana kwamba Serengeti national park hutembelewa na zaidi ya 80% ya watalii wanaokuja Tanzania. Bila Serengeti utalii Tanzania ni kama haupo. Bila Serengeti wazungu tutaishia kuwaona kwenye tv.

Mwisho na kwa umuhimu wa wanasiasa, kanda ya ziwa ina wapiga kura wengi kuliko kanda yoyote ile Tanzania. Kanda ya ziwa ina determine urais wa nchi hii hivyo wanasiasa chagueni maneno na kauli zenu kuhusu watu wa kanda ya ziwa.

Umenena vyema mkuu na sasa ukiwafanyia unafiki wanajua
 
Muda ukifika tunaambizana kwenye familia kabisa kwamba hatutaki lichama lenye bendera ya rangi nyekundu na vidole juu

Kiongozi wao kasema wasukuma hatustahili tunatakuwa tuondolewe
 
Usiwe mjinga wewe nguzo ipi? Yaani mikoa 6 inachangia only 26% ya GDP afu unasema nguzo? Una akili timamu kweli wewe
Hata mikoa mingine wako wengi sana wakachangia pato la taifa kupitia kanda hizo walikowekeza.
kamwe usiunder estimate kanda ya ziwa.Japo ukanda si issue ya maana.
 
Mikoa yenu ina eneo kubwa na watu wengi lakini inaongoza kwa umaskini na uvivu. Mtamchangia nani maendeleo. Angalia ni mikoa gani ina shule nyingi na nani waliozijenga. Ndo utajua wenzenu wamewekeza wapi. Halafu angalia mikoa gani ina mambo ya kishirikina sana, wanaua albino na vikongwe.
kuwa na shule nyingi ndo nini? Nani asiyejua maeneo yote waliyokaa wamishionari yana shule nyingi mfano uchagani,Mbeya nk.
Nimetembea huko uchagani kijijini maisha ni duni sana hayalingani hata ya Ibutamisuzi.
 
Kama wanawapiga kura wengi imekuwaje miaka yote wagombea hawatoki kwao?
Unataka kutisha watu kwa kigezo cha ukanda yaani kosa afanye mmoja uwahisishe kanda nzima?
Alifanya madudu na atapondwa kwa madudu yake.
Tanzania imetoa marais 6 hadi sasa though mmoja hakugombea, katiba imempa madaraka, now out of those 6/5 wawili wametokea huko mkuu. Weka kwa % uone. Ingawa kwa issue ya Tilion 34 nina mashaka, kama 25% ya mapato yetu ni Tilion 34 then ina maana mwaka huo 2019 tulikusanya 34x4=136Tilioni???? Hesabu hi imekaa sawa kweli? Kwamba kuna mwaka tumewahi kukusanya zaidi ya Tilioni 100? Sidhani, so kwanini tukope wakati bajeti yetu haizidi 35Tilioni?
 
Ngoja nikurahisishie we mbulula, kanda ya ziwa na pwani ni 26+40=66%, kwa hiyo hizo kanda zilizobaki ikiwemo kanda yako pendwa iliyoko matakoni mwa Tanzania (Nyanda za juu kusini) ndo zinachangia 34% tu. Na katika hizo 34% zaidi ya 15% ni kanda ya kaskazini, zimebaki ngapi hapo we boya?!
Huwa siongei hadithi au hisia weka hapa source wewe kenge wa usukumani,mnanuka umaskini afu mnajisifia mnaakili timamu kweli nyie?
 
Hawana hata aibu ku expose umaskini wao,wakajua hizo Takwimu zinawabeba kumbe ni maskini wa kutupwa wako namba 4 huko
Mkuu Tanzania bado ni masikini tu in general pia unaposema kanda ya ziwa ni masikini lakini kwangu mimi sioni tofauti kinachofanya hata Dar es Saam ionekane wananchi wake wanakipato kikubwa ni wingi wa uwekezaji kama vile bandari na kariakoo lakini kiuhalisia kwa mwananchi mmoja mmoja hali ni tofauti hata njombe ukiangalia ni idadi ndogo ya watu ukilinganish na Kagera so usije ukajidanganya kuwa kanda ya ziwa kwa sababu ya population ni kubwa uka underestimate uwezo wake kiuchumi kwa mfano angalia mji kama wa Kahma wawekezaji wakubwa pale ni wazawa wa kanda hii ya ziwa. Unaweza kuniambia ni wilaya gani tanzania tofauti na wilaya zilizo kwenye majiji unaweza kuilinganisha na kahama ambayo leo hii unawaita masikini na wewe ukijivika utajiri? Watu wa kanda hii sasahivi usiwachukulie poa wako wanafanya vizuri kwenye maeneo mengi ndo maana ndugu zetu wameshaoana kuwa kanda ya ziwa inaenda nao sambamba kwenye kila idara tayari kwao hawawezi kuipenda kanda ya ziwa ila ukweli mnaujua kabisa .
 
Tatizo la hao ndugu zako ni kujiaminisha vitu ambavyo havipo na kujimwambafy.Ni kweli uyasemayo lakini kama unataka kuzitaja wilaya za dizaini ya Kahama nitakwambia Tunduma na Mufindi ziko vizuri hata kushinda hiyo Kahama.

Ukiacha jiji la Dar miji mingi ya kibongo imejengwa na wenyeji kuliko hata wahamiaji.Ni kweli bongo hii ni maskini lakini katika hao maskini wanazidiana,huu ukweli lazima ukubaliane nao hata kama ni mchungu.Kwa muktadha huo ukichukua idadi ya maskinini kwa kuwahesabu unapata wako wengi sana huko kanda ya ziwa pamoja na kujitahidi kujikwamua na kujitutumua.

Kwa mujibu wa Takwimu za NBS(2019),Mchango wa pato la Taifa kwa kanda na mikoa ni kama ifuatavyo

1.Kanda ya Pwani =23.8%
2.Kanda ya ziwa=23.1%
3.Nyanda za Juu Kusini=18.3%
4.Kanda ya Kaskazini=17.3%
5.Kanda ya Magharibi=7.8%
6.Kanda ya Kati=5%
7.Kanda ya Kusini =4.7%
 
Attachments

Gawana Luoga ametoa takwimu za mchango wa kanda ya Ziwa kwenye uchaguzi wa Tanzania.

Mwaka 2019, kanda ya ziwa ilichangia Trilioni 34 kwenye uchumi wa Tanzania sawa na 25.9% ya pato la Taifa.

Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 90% ya dhahabu Tanzania.

Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 50% ya pamba na kahawa inayouzwa nje ya nchi.

Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 95% ya mauzo ya samaki ndani na nje ya nchi.

Kanda ya ziwa inavutia zaidi ya 80% ya watalii ama mapato ya utalii Tanzania. Kwa maana kwamba Serengeti national park hutembelewa na zaidi ya 80% ya watalii wanaokuja Tanzania. Bila Serengeti utalii Tanzania ni kama haupo. Bila Serengeti wazungu tutaishia kuwaona kwenye tv.

Mwisho na kwa umuhimu wa wanasiasa, kanda ya ziwa ina wapiga kura wengi kuliko kanda yoyote ile Tanzania. Kanda ya ziwa ina determine urais wa nchi hii hivyo wanasiasa chagueni maneno na kauli zenu kuhusu watu wa kanda ya ziwa.

Kanda ya ziwa haiamui Rais acheni kupotosha...... Magufuli whether aliiba or not but alipewa kura mamilion kanda ya ziwa ila bado hakifika 60% ile 2015!! Ikimaanisha Mtu akishinda Dar.... Nyanda za juu.... Kaskazini ana probability ya kupata kura zaidi ya 50%.

Kura za kanda ya ziwa hazizidi 40% so sio kweli kwamba ukishinda kanda ya ziwa ndio umeshinda nchi nzima. Ni sawa na Kenya wakikuyu ndio kabila kubwa kuliko yote ila haimaanishi ukishinda central kenya ndio umekua Rais. Ndio maana Kenyatta anashinda kwa 50% pekee na sio zaidi.... Otherwise wakikuyu akiwemo kibaki wasingekua challenged na Odinga ambaye kabila lake ni la 4 kwa ukubwa Kenya.
 
Gawana Luoga ametoa takwimu za mchango wa kanda ya Ziwa kwenye uchaguzi wa Tanzania.

Mwaka 2019, kanda ya ziwa ilichangia Trilioni 34 kwenye uchumi wa Tanzania sawa na 25.9% ya pato la Taifa.

Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 90% ya dhahabu Tanzania.

Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 50% ya pamba na kahawa inayouzwa nje ya nchi.

Kanda ya ziwa inazalisha zaidi ya 95% ya mauzo ya samaki ndani na nje ya nchi.

Kanda ya ziwa inavutia zaidi ya 80% ya watalii ama mapato ya utalii Tanzania. Kwa maana kwamba Serengeti national park hutembelewa na zaidi ya 80% ya watalii wanaokuja Tanzania. Bila Serengeti utalii Tanzania ni kama haupo. Bila Serengeti wazungu tutaishia kuwaona kwenye tv.

Mwisho na kwa umuhimu wa wanasiasa, kanda ya ziwa ina wapiga kura wengi kuliko kanda yoyote ile Tanzania. Kanda ya ziwa ina determine urais wa nchi hii hivyo wanasiasa chagueni maneno na kauli zenu kuhusu watu wa kanda ya ziwa.

So wanataka wajitenge wawe Victoria Republic ama? Sijaelewa lengo la Takwimu hizi
 
Back
Top Bottom