Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,034
- 6,913
Wewe ni mpumbavu chapisho gani? Weka hapa.Mara nyingi nimeweka humu Takwimu huo ushenzi wako wa kujifariji unautoa wapi?Uwe unasoma machapisho ya serikali kuongeza ufahamu. Mambo ya uchumi hayalinganishwi kwa jinsi unavyofikiri wewe, yanalinganishwa kwa facts and figures.
Kanda ya pwani ama Dar es Salaam inachangia 40% ya uchumi, kanda ya Ziwa 26%, nyingine zilizobaki fanya hesabu mwenyewe kisha uone kama una akili ama huna.
Weka chapisho hapa.. Nasisitiza nyie ni maskini wa kutupwa,mijitu mingi afu tija zero