Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,440
- 8,149
Makete si tu ni maskini bali ni mafukara walio kubuhu, miguuni mmeliwa funza na huku UKIMWI unawatafuna kwa ujinga wenu wa kutokuvaa condom.Makete hakuna maskini,maskini mnapatikana huko kanda ya ziwa ukiwemo wewe ndio maana unahangaika tuu hapa.Kama zipo huko Karagwe mbona hatuoni zikiwanufaisha na kuwatoa kwenye kuongoza kwa umaskini kama kwetu Makete/Njombe?
Majengo manne tu ya Mzee Maduhu ndani ya wilaya yetu ya nyamagana thamani yake ni zaidi ya majengo yote ya wilaya yenu fukara ya Makete.