TANZIA Gavana mstaafu wa BoT, Profesa Benno Ndulu afariki dunia

unaona ulivyo ndugu lawama hakutoa tamko umesema ametoa tamko mnasema ha ha ha ha ningekua rais ningepotezea kuliko kusikiliza kelele huko ulaya hizo nchi zinazokataa watanzania kuingia wao hawana corona ee
 
R.i.p Prof Benno Ndullu, tumepoteza mtu makini sana kwenye maswala yahusuyo uchumi. Too sad.
 
...kwa hiyo vitabu vya dini vimetuandikia waafrika kwamba tutakufa mapema (70 yrs max)? Hao waliofika 80+ wako kinyume na dini?
Vitabu vya dini vilipoandikwa na kukadiria kuwa umri wa binadamu ni makumi SABA, hali ya technology ilikuwa duni!! Maendeleo ya technology ndio yanayowezesha binadamu kuishi hata miaka 100 siku hizi!!
 
Vitabu vya dini vilipoandikwa na kukadiria kuwa umri wa binadamu ni makumi SABA, hali ya technology ilikuwa duni!! Maendeleo ya technology ndio yanayowezesha binadamu kuishi hata miaka 100 siku hizi!!
... uko sahihi. Enzi zile ukoma ukiwa tishio; ukiitwa laana kutoka kwa Mungu leo hii ni historia kwa sababu ya maendeleo ya sayansi na teknolojia. Operesheni za moyo, ubongo, na sehemu za ndani ambazo traditionally ilikuwa lazima upasuaji ufanyike nje hadi ndani leo hata kovu halionekani.
 
Kwa wale wasiojua Wasifu wake

Professor Benno Ndulu was the governor of the Bank of Tanzania, the country's central bank, from 2008 to 2018.

Born: January 23, 1950 (age 71 years)

Education: Northwestern University
Nie alidai ajengewe bwawa la kuogelea kwenye makazi yake kutokana na hadhi yake mara tu baada ya kuteuliwa kuwa gavana wa benki kuu,ila alikuwa mzee simple sana,mara nyingi nilikuwa namuona JKIA akiwa kajibebea kamkoba kake akiwa peke yake na bila makeke yoyote ya kutaka kuonekana yeye ni VIP.
 
Taifa linazidi kupoteza hazina kubwa ya wataalam. Watu hawajui, Ni ngumu sana kuwa na uzoefu mkubwa wa Mambo Kama huyu marehemu katika umri mdogo.

Kwa mtu mwenye afya njema, miaka 70 Ni umri wa kawaida Sana, ni umri wa msaada mkubwa kwa mambo mengi kutokana na uzoefu mkubwa.

Hawa wazee wanaozidi kuondoka Ni hasara kubwa kwa Taifa. Mataifa kama Israel ndiyo maana waliamua kuwalinda wazee kwa nguvu zote, waliwatenga na kuwahudumia kwa kila kitu, hatimaye wameokoa wengi, na wakapewa nafasi ya kwanza kupata chanjo. Pamoja na kuwapa chanjo, bado wameendelea kuchujua tahadhari mpaka pale watakapokuwa na uhakika kuwa chanjo imewapa uhakika wa kutopata maambukizi.

Tuwalinde wazee kwa nguvu zetu zote. Hawa ndio wasomi wetu, hawa ndio viongozi wetu, hawa kwa kiasi kikubwa ndio waajiri wetu kwenye sekta binafsi.
 
We jua wapo
 
Apumzike kwa amani prof, pole kwa wanafamilia wote
 
" Rest in peace " hili neno mnapenda sana kulitumia especially wakristo anapokufa mtu hupenda kulitamka, lakini je, neno hili linamsaidia marehemu huko anakopelekwa/kaburini???? Au mnalitamka tu kwa kufuata mabeberu!!!

Mkuu shida nini kwani?? Hilo ni neno tu.... basi ngoja niseme "Bwana alitoa, na Bwana ametwaa, Jina lake lihimidiwe"
 
Huyu alkuwa hampendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…