Uwe unafikiria japo kwa aslimia moja ya ubongo wako, kwa nini kwa kipindi kifupi hivi huko nyuma mbona haukua hivi? Ndio nyinyi badala ya kutamka corona mnatamka changamoto za kupumuaSio kila anaekufa, hasa akiwa public figure, amekufa kwa COVID. Huu ugojwa hauzuii magonjwa mengine yaliyokua yanaua sana kuendelea kuua. Lets not forget that.
Miaka 71 mapema mkuu. Apumzike kwa amani Mzee wetuRIP Prof. Beno Ndulu; umeondoka mapema mno Profesa!
Yaan sa hivi huchukui round...siku mbili tu tayari...
Walikua wanakufa kwa kasi hii? Mbona mna[enda kujitoa fahamu? Ndani ya wiki moja tumewapoteza maalim Seif, Kijazi, Likwilile, Ndulu na wengineoUtinge usitinge, bado nasema si kila anaekufa amekufa kwa Corona. Kilichomuua Benno sikijui na sijakiona kikitajwa hapo, huenda ni COVID, Huenda sio COVID. Kabla ya Covid watu bado walikua wanakufa
Ohh my GodKwa taarifa za uhakika ni kuwa aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu ametangulia mbele ya haki.
Profesa Benno Ndulu amefariki dunia asubuhi ya leo Februari 22, 2021 katika Hospitali ya Kairuki alipokuwa akipatiwa matibabu.
Profesa Ndulu alihudumu nafasi ya Gavana wa Benki Kuu Tanzania (BoT) kuanzia mwaka 2008 - 2018.
Alizaliwa Januari 23, 1950 (Miaka 71).
View attachment 1708828
Profesa Benno Ndulu enzi za uhai wake
Acha kudanganya watu, kumbuka kuna selikali ambayo huendeshwa kwa maslahi ya watu Fulani. Halafu kuna dini, ukiona hawa watu wameanza kupingana katika kusema ukweli ujue kuna jamboApumzike kwa amani; alifanya mema wakati wake.
Ila sasa vifo vyote vwa watu maarufu visiwe kete za kisiasa kutumia korona. Watu wengi kwenye madaraka hutokea kuwa overweight na huweza wana matatizo mengine ya kiafya yanayoweza kuathiri uhai wao.
Wasifu umeanza na kuishia hivyo tu!Kwa wale wasiojua Wasifu wake
Professor Benno Ndulu was the governor of the Bank of Tanzania, the country's central bank, from 2008 to 2018.
Born: January 23, 1950 (age 71 years)
Education: Northwestern University
Tulia weweeUtinge usitinge, bado nasema si kila anaekufa amekufa kwa Corona. Kilichomuua Benno sikijui na sijakiona kikitajwa hapo, huenda ni COVID, Huenda sio COVID. Kabla ya Covid watu bado walikua wanakufa
Pumba tupu!!Acha kudanganya watu,kumbuka kuna selikali ambayo huendeshwa kwa maslai ya watu Fulani.halafu kuna dini,ukiona hawa watu wameanza kupingana katika kusema ukweli ujue kuna jambo
Kwani kilichomuua marehemu unakijua!?Dah hii second wave ni hatari sana...mchina kaongeza virus...
Still in denial. Labda mpaka iingie kwenye familia ndiyo utaamini....!!Utinge usitinge, bado nasema si kila anaekufa amekufa kwa Corona. Kilichomuua Benno sikijui na sijakiona kikitajwa hapo, huenda ni COVID, Huenda sio COVID. Kabla ya Covid watu bado walikua wanakufa