Gavana wa Benki Kuu Tanzania, Florens Luoga abadilishwe haraka

Gavana wa Benki Kuu Tanzania, Florens Luoga abadilishwe haraka

Yaaana sijui assad ndio nani Taifa hili nae ni mpiga dili na mchumi tumbo tu
Utendaji wa mtu ndio unaombeba,kumbuka alikuwa mkaguzi mkuu,jinsi alivyokuwa akitoa hesabu za miradi ya mapato na matumizi
 
Board of Directors

The Board of Directors is the supreme policy decision making hierarchical structure in the Bank of Tanzania. In terms of the Bank of Tanzania Act, 2006, the Board of Directors is responsible for determining policies of the Bank, approving its budget and allocation of profits arising from its operations.

The Board consists of ten persons, four of whom are executive directors appointed by the President. In addition, there are two ex-officio members, and, four non-executive Directors appointed by the Minister of Finance of the United Republic. Secretary to the Board is also an ex-officio member, responsible for provision of secretariat services

The current composition of the Board is as follows:
  • Governor (the Chairman)
  • Three Deputy Governors, Deputy Chairman in the order determined by the Governor;
  • The Representative of the Ministry of Finance of the Government of the United Republic and Principal Secretary to the Treasury of the Revolutionary Government of Zanzibar; and
  • Four non-executive Directors; and
  • Secretary to the Board
The Board consists of persons knowledgeable or experienced in economics, business and finance, banking, corporate law, accountancy or other disciplines relevant to the functions of the Bank. Members of the National Assembly, House of Representatives, Local Government Authorities, public servants (other than Representative of the Ministry of Finance of the United Republic and the Principal Secretary Treasury of the Revolutionary Government of Zanzibar), office bearers of any political party, and directors, employees, consultants or shareholders of banks and financial institutions in respect of which the Bank may exercise regulatory powers are disqualified from being Directors of the Bank.

Governor and Deputy Governors are appointed for a period of five years. Their tenure of office is statutorily limited to two-five year terms. Non-executive Directors are appointed for a period of three years, and are eligible for a reappointment.

Source

Kwa kuwa gavana anatumikia tenure ya miaka 5 na ni bingwa wa sheria maana yake mamalaka ya uteuzi ilimwona ana sifa.

Suala la gavana kutoa maelekezo ili mabenki yashushe riba, kuna mechanism baada ta gavana kutoa maelekezo kesho yake mabenki yashushe riba ili tumhukumu kwa hukumu ya haki.

Isije ikawa ni mchakato kama ambavyo mambo mengi nchi hii huwa maamuzi yanatolewa ila utekelezaji huwa ni "mchakato"

Ngoja tuone tenure yake ya miaka 5 ikiisha ataongezewa muda na mamlaka za uteuzi au atapewa mwingine alisongeshe.

So far, nchi hii yahitaji mkazo mkubwa sana kwenye kurekebisha mifumo ya kupata fedha za kuwekeza hasa kwenye miradi ya uzalishaji (investment project financing) ili tupunguze imports za consumables na kuongeza exports kwa mazao ya kilimo.

Ni aibu kusikia balozi wa Tanzania China anashadadia kuwa China anakuja kununua soybeans zikiwa ghafi. Kwanini tusiuze processed products za soybeans say soy milk or soy oil ikiwamo kupata animal feed kama byproduct.

Ni aibu eti mchina anakuja kununua mihogo ghafi, kwanini tusiueze mihogo kama packaged starch?

Ila waswahili wanasema kupanga ni kuchagua. Huenda akili zetu hazijaamua kuwaza zaidi ya hapo, ila ikiwaza lazima BoT iwe na role ya udhamini kwenye kupata mikopo nje ya nchi hii ili kusisimua ukuaji wa sekta binafsi ambayo serikali inavuta 18% kwenye sales za products na 30% ya corporate tax.
Kwa uzee ule unawaza luoga kuongezewa miaka mitano tena!Umemuona lini mara ya mwisho?huyu mzee kachoka sana
 
Hapa ndo naona umuhimu wa kiongozi dikiteta........maana ni kutangaza tu BOT imepunguza riba kwa mabanki, Serikali inatangaza kuanzia sasa riba za mabalenki kwa wananchi izisidi 10&.
Benki itakayokaidi itaongezewa riba na BOT.
Au nasema uongo ndugu zangu!!!
Hahahaha, Boss uchumi haundeshwi hivyo na ukifanya hivyo utaua kila kitu,tatizo si gavana ,Tanzania hakuna uzalishaji wa kutosha na hatuna control na energy prices, hivyo vitu viwili chakula na energy ndio source kubwa ya mfumuko wa bei (inflation),na kwenye soko huru riba inategemea sana mfumuko wa bei lakini is more complicated than that
 
Tatizo wataalamu hawaishiwagi visingizio,nchi ni vigumu kusonga.
Ndo maana Mwendazake alikuwa hataki kusikia neno mchakato.
 
Asante kwa uzi mzuri. Namkaribisha mtaalamu mwingine Naantombe Mushi atie nyama
Kuna Mataga anasema Tanzania Ina mabolionea 5000,?

2991480_Screenshot_20211107-142355.jpg
 
Wanasheria naona imewauma sana lakini gavana kawa angusha sana bank kuu sio siasa. Huyu mzee amepwaya sana kama mikopo isikofika 10% akapumzike tu . Hata kimei kasema riba zinatakiwa kuwa chini sasa haina ubishi. Isiposhuka tutahakikisha anatoka kwa manufaa ya nchi.
Mimi simptetei ila ni governor yupi aliyewhai kushusha riba
 
Utendaji wa mtu ndio unaombeba,kumbuka alikuwa mkaguzi mkuu,jinsi alivyokuwa akitoa hesabu za miradi ya mapato na matumizi
Kwani ni yeye pekee aliyewahi kuwa CAG , kama unmpenda mchukue akawakague matumizi na mapato ya familiar yenu .mtu anaye pandisha mabega sijawwhi kumkubali hata kidogo
 
Kwa uzee ule unawaza luoga kuongezewa miaka mitano tena!Umemuona lini mara ya mwisho?huyu mzee kachoka sana
Mkuu,
Kuna mkubwa mmoja aliwahi kuhojiwa kwanini asiwaachie vijana nafasi ya kugombea, yule mheshimiwa akajibua haendi kubeba zege.

Kiufupi, Tanzania hutuna institutions ambazo zinaweza ku-accomodate wanaostaafu katika madaraka makubwa serikalini. Kitaani ni pagumu sana ndiyo maana wazee wengi huwa wanaongeza mikataba, wengine wakistaafu wanagombea ubunge.

Kama mtakumbuka CDF Gen Mboma na IGP Mahita wamewahi kuomba kugombea ubunge, ikatokea kura hazikutosha ila huenda wangetusua kura za maoni nao wangechoma mjengoni ili kusogeza siku mbele na posho za kibunge.

Kila la heri kwa Prof. Luoga kwenye ku-serve tenure yake ya kwanza. Mamalaka za uteuzi zitaamua wakati ukifika.
 
Nasikitika sana kwa kushidwa kazi aliyopewa gavana wetu wa bank kuu Florens Luoga. Huyu gavana ni chaguo baya sana ambalo limewahi kutokea. Tujue tu kwamba huyu professor ni mwanasheria na sio mwana uchumi au mhasibu. Nashauri apewe Prof Mussa Assad kwa muda wa mpito.

Sababu moja ni kwamba bank kuu imepunguza riba za t-bills mpaka 7% kwa lengo la kupunguza mikopo ya bank za biashara ili ziwe 10%. Mara nyingi bank zina weka 2%-3% zaidi ya rate za bank kuu. Cha ajabu bank karibu zote zinatangaza riba za mikopo kuanzia 16% na utoaji wa mikopo ni riba za 21% kwa wenye hati za nyumba na mikopo mingine inaenda hadi 24%. Tusishangae banks zinaonyesha zinapata faida za ajabu wakati wakopaji wamepungua kutoka 24% mpaka chini ya 10%. Je hii ina maana gani

1. Ameshidwa kuongoza hizi bank au hajui kuziongoza. Hizi bank zime hakikisha zina marafiki serikalini na wakurugenzi wamekuwa na nguvu kuliko gavana wa bank kuu. Raisi alienda uingereza na mkurugenzi wa CRDB na sio gavana wa bank kuu. Hivyo imekuwa kama vile Professor hawezi hata kusimamia hizi bank .
2. Kuna miradi ya serikali wanachukuwa mikopo bank na ni wizi wa ajabu kama mradi wa serikali unachukuwa mkopo wa zaidi ya 10% kwa mwaka

Nitoe tu mfano nchi nyingine bank wanafanyaje US mfano bank kuu yao ina riba ya 2% na bank za biashara zinatoa mikopo kwa sasa ya 3%-5% yaani wanaongeza si zaidi ya 3% lakini tanzania bank ya biashara inaongeza kutoka 7% mpaka 21% ambayo ni ongezeko la 14%!!!. Hii maana yake ni kwamba biashara zisikotumia mikopo pesa nyingi ambazo zingetumia kuajiri wafanyakazi wapya, ununuzi na upanuaji wa biashara unasimama au unachukuwa muda mrefu. Hii inapunguza pesa kwenye mzunguko, inapunguza ajira na inakuwa vigumu kampuni zetu kushindana bila kuwa na pesa za mitaji.

Nchi zinazoendelea zina vitu vitatu vikubwa (1) Watu wanaojua kufanya kazi (2) Teknologia inayowezesha uzalishaji wa viwango na ufanisi (3) Upatikanaji wa mikopo nafuu. USA wasingekuwa na uchumi mkubwa kama mikopo ingekuwa 16%, 21% na 24%. Uchumi wa nchi hizi ungekuwa matatani sana sana. Sasa cha ajabu bank zinatoa mikopo ya 16%, 21% na 24% wa gavana kanyamaza tu!, waziri naye kanyamaza, Raisi naye kanyamaza!. Lakini vilevile Makamu wa Raisi Mpango anajua hili naye kanyamaza. Kwenye vitu muhimu kama hizi Rais, waziri na gavana waweke siasa na urafiki pembeni. Ni wafanya biashara wachache sana wanaweza kwenda kukopa nchi nyingine. Mo mfano ilibidi aende mpaka south Africa kukopa lakini wafanyabiashara wadogowadogo hawataweza kukuza biashara zao kwa riba hizi.

Lakini hata tukiacha yote hayo kwa kitendo cha Gavana wa bank kuu kushidwa kupunguza mikopo mpaka 10% kwa wafanyabiashara inatosha sana kumfukuza kazi. Waziri naye akishidwa kuongelea hili inabidi naye apishe wengine. Mwigulu ni mwana Ilboru mwenzangu lakini kama hili swala la riba halitapata ufumbuzi mapema inabidi aondolewe.

Zitto , Mwigulu Nchemba

Tunamshukuru Mama kwa kusikiliza
 
Uko sahihi
Mkuu,
Kuna mkubwa mmoja aliwahi kuhojiwa kwanini asiwaachie vijana nafasi ya kugombea, yule mheshimiwa akajibua haeinde kubeba zege.

Kiufupi, Tanzania hutuna institutions ambazo zinaweza ku-accomodate wanaostaafu katika madara makubwa serikalini. Kitaani ni pagumu sana ndio maana wazee wengi huwa wanaongeza mikataba, wengine wakistaafu wanagombea ubunge.

Kama mtakumbuka CDF Gen Mboma na IGP Mahita wamewahi kuomba kugombea ubunge, ikatokea kura hazikutosha ila huenda wangetusua kura za maoni nao wangechoma mjengoni ili kusogeza siku mbele na posho za kibunge.

Kila la heri kwa Prof. Luoga kwenye ku-serve tenure yake ya kwanza. Mamalaka za uteuzi zitaamua wakati ukifika.
 
Tenure of service kwa gavana wa fedha ni miaka 5, na anaweza kuongezewa miaka mingine 5. Prof atakuwa zaidi ya miaka 65, hivyo ni vema kapumzishwa ili kupisha wengine (vijana) kuendeleza kazi.

Historia inaonesha gavana Idriss alihdumu miaka mitano pia 1993-1998; hivyo hamna la ajabu.
Rejea hapo chini.

Mtu pekee ambae miaka yake 5 iliisha na kuondolewa na kuleta kelele na Assad; mpaka leo ana machungu as if waliondoa sehemu ya kimo chake
 
Nasikitika sana kwa kushidwa kazi aliyopewa gavana wetu wa bank kuu Florens Luoga. Huyu gavana ni chaguo baya sana ambalo limewahi kutokea. Tujue tu kwamba huyu professor ni mwanasheria na sio mwana uchumi au mhasibu. Nashauri apewe Prof Mussa Assad kwa muda wa mpito.

Sababu moja ni kwamba bank kuu imepunguza riba za t-bills mpaka 7% kwa lengo la kupunguza mikopo ya bank za biashara ili ziwe 10%. Mara nyingi bank zina weka 2%-3% zaidi ya rate za bank kuu. Cha ajabu bank karibu zote zinatangaza riba za mikopo kuanzia 16% na utoaji wa mikopo ni riba za 21% kwa wenye hati za nyumba na mikopo mingine inaenda hadi 24%. Tusishangae banks zinaonyesha zinapata faida za ajabu wakati wakopaji wamepungua kutoka 24% mpaka chini ya 10%. Je hii ina maana gani

1. Ameshidwa kuongoza hizi bank au hajui kuziongoza. Hizi bank zime hakikisha zina marafiki serikalini na wakurugenzi wamekuwa na nguvu kuliko gavana wa bank kuu. Raisi alienda uingereza na mkurugenzi wa CRDB na sio gavana wa bank kuu. Hivyo imekuwa kama vile Professor hawezi hata kusimamia hizi bank .
2. Kuna miradi ya serikali wanachukuwa mikopo bank na ni wizi wa ajabu kama mradi wa serikali unachukuwa mkopo wa zaidi ya 10% kwa mwaka

Nitoe tu mfano nchi nyingine bank wanafanyaje US mfano bank kuu yao ina riba ya 2% na bank za biashara zinatoa mikopo kwa sasa ya 3%-5% yaani wanaongeza si zaidi ya 3% lakini tanzania bank ya biashara inaongeza kutoka 7% mpaka 21% ambayo ni ongezeko la 14%!!!. Hii maana yake ni kwamba biashara zisikotumia mikopo pesa nyingi ambazo zingetumia kuajiri wafanyakazi wapya, ununuzi na upanuaji wa biashara unasimama au unachukuwa muda mrefu. Hii inapunguza pesa kwenye mzunguko, inapunguza ajira na inakuwa vigumu kampuni zetu kushindana bila kuwa na pesa za mitaji.

Nchi zinazoendelea zina vitu vitatu vikubwa (1) Watu wanaojua kufanya kazi (2) Teknologia inayowezesha uzalishaji wa viwango na ufanisi (3) Upatikanaji wa mikopo nafuu. USA wasingekuwa na uchumi mkubwa kama mikopo ingekuwa 16%, 21% na 24%. Uchumi wa nchi hizi ungekuwa matatani sana sana. Sasa cha ajabu bank zinatoa mikopo ya 16%, 21% na 24% wa gavana kanyamaza tu!, waziri naye kanyamaza, Raisi naye kanyamaza!. Lakini vilevile Makamu wa Raisi Mpango anajua hili naye kanyamaza. Kwenye vitu muhimu kama hizi Rais, waziri na gavana waweke siasa na urafiki pembeni. Ni wafanya biashara wachache sana wanaweza kwenda kukopa nchi nyingine. Mo mfano ilibidi aende mpaka south Africa kukopa lakini wafanyabiashara wadogowadogo hawataweza kukuza biashara zao kwa riba hizi.

Lakini hata tukiacha yote hayo kwa kitendo cha Gavana wa bank kuu kushidwa kupunguza mikopo mpaka 10% kwa wafanyabiashara inatosha sana kumfukuza kazi. Waziri naye akishidwa kuongelea hili inabidi naye apishe wengine. Mwigulu ni mwana Ilboru mwenzangu lakini kama hili swala la riba halitapata ufumbuzi mapema inabidi aondolewe.

Zitto , Mwigulu Nchemba

View: https://youtu.be/QqGEppkd1ZU?si=z7yXU3szJT4Q5ste

Kimei anasema
 
Back
Top Bottom