Gavana wa Benki Kuu Tanzania, Florens Luoga abadilishwe haraka

Yaaana sijui assad ndio nani Taifa hili nae ni mpiga dili na mchumi tumbo tu
Utendaji wa mtu ndio unaombeba,kumbuka alikuwa mkaguzi mkuu,jinsi alivyokuwa akitoa hesabu za miradi ya mapato na matumizi
 
Kwa uzee ule unawaza luoga kuongezewa miaka mitano tena!Umemuona lini mara ya mwisho?huyu mzee kachoka sana
 
Hahahaha, Boss uchumi haundeshwi hivyo na ukifanya hivyo utaua kila kitu,tatizo si gavana ,Tanzania hakuna uzalishaji wa kutosha na hatuna control na energy prices, hivyo vitu viwili chakula na energy ndio source kubwa ya mfumuko wa bei (inflation),na kwenye soko huru riba inategemea sana mfumuko wa bei lakini is more complicated than that
 
Tatizo wataalamu hawaishiwagi visingizio,nchi ni vigumu kusonga.
Ndo maana Mwendazake alikuwa hataki kusikia neno mchakato.
 
Mimi simptetei ila ni governor yupi aliyewhai kushusha riba
 
Utendaji wa mtu ndio unaombeba,kumbuka alikuwa mkaguzi mkuu,jinsi alivyokuwa akitoa hesabu za miradi ya mapato na matumizi
Kwani ni yeye pekee aliyewahi kuwa CAG , kama unmpenda mchukue akawakague matumizi na mapato ya familiar yenu .mtu anaye pandisha mabega sijawwhi kumkubali hata kidogo
 
Kwa uzee ule unawaza luoga kuongezewa miaka mitano tena!Umemuona lini mara ya mwisho?huyu mzee kachoka sana
Mkuu,
Kuna mkubwa mmoja aliwahi kuhojiwa kwanini asiwaachie vijana nafasi ya kugombea, yule mheshimiwa akajibua haendi kubeba zege.

Kiufupi, Tanzania hutuna institutions ambazo zinaweza ku-accomodate wanaostaafu katika madaraka makubwa serikalini. Kitaani ni pagumu sana ndiyo maana wazee wengi huwa wanaongeza mikataba, wengine wakistaafu wanagombea ubunge.

Kama mtakumbuka CDF Gen Mboma na IGP Mahita wamewahi kuomba kugombea ubunge, ikatokea kura hazikutosha ila huenda wangetusua kura za maoni nao wangechoma mjengoni ili kusogeza siku mbele na posho za kibunge.

Kila la heri kwa Prof. Luoga kwenye ku-serve tenure yake ya kwanza. Mamalaka za uteuzi zitaamua wakati ukifika.
 


Tunamshukuru Mama kwa kusikiliza
 
Uko sahihi
 
Tenure of service kwa gavana wa fedha ni miaka 5, na anaweza kuongezewa miaka mingine 5. Prof atakuwa zaidi ya miaka 65, hivyo ni vema kapumzishwa ili kupisha wengine (vijana) kuendeleza kazi.

Historia inaonesha gavana Idriss alihdumu miaka mitano pia 1993-1998; hivyo hamna la ajabu.
Rejea hapo chini.


Mtu pekee ambae miaka yake 5 iliisha na kuondolewa na kuleta kelele na Assad; mpaka leo ana machungu as if waliondoa sehemu ya kimo chake
 



View: https://youtu.be/QqGEppkd1ZU?si=z7yXU3szJT4Q5ste
Kimei anasema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…