Gavana wa Benki KUU Tanzania!

Gavana wa Benki KUU Tanzania!

Sure but all in all
Ni lawyer sio economist wala accountant wala

Tax lawyer anauhusiano na financial system, kuna mambo mengi sana kwenye financing yanayohitaji umahili wa Sheria, maamuzi mengi nchi inayochukuwa ni kisheria, …
 
Lakini Luoga hajaharibu isitoshe uzalendo utakusaidia nini kama
hauijui fani? Wewe ukiambiwa upeleke gari gereji atakayekutengenezea ni Mwaminifu lkn siyo fundi magari utakubali akutengezee gari kwa kuwa tu ni mwaminifu?
Umeleta sifa zao, ndio maana likaja jibu. ..ya gereji ni ya mafundi..
 
Profesa ni Mwalimu tu wa kiwango cha juu kwenye chuo kikuu. Kazi ya Profesa ni kufundisha na kufanya tafiti.

PhD au shahada ya Uzamivu hupewa mtu aliyetafiti eneo moja kwa undani zaidi.

JD ya Governor wa BOT inahitaji mtu mwenye BA ya uchumi na uzoefu kwenye uchambuzi wa masuala ya uchumi usiopungua miaka 10, huku Masters au PhD zikiwa added advantage

Benki Kuu siyo chuo ambapo taaluma ya kufundisha inahitajika. Tutuba atakuwa ni Governor wa 3 asiye Professor Wala PhD kushika nafasi hiyo ikiwa ni pamoja na Charles Nyirabu (BA) na Rutihinda ( MA).

Tutuba ana sifa zote zinazotakiwa kwa kazi hiyo

Nani kakudanganya? Weka mfano mmoja wa Gavana wa Central Bank Duniani mwenye Diploma au Bachelors, Bernanke juzinkati kashinda Nobel
Prize ya Uchumi ni Profesa wa Uni, …
 
Kuna uhusiano wewe umesema muhimu ni uzalendo nikajaribu kukwambia uzalendo bila ya umahili wa fani haikusaidii kitu!
Nimekujibu kwa hoja ya sifa zao....professor na MBA...kuwa professor bila uzalendo ni bora mwenye MBA mzalendo...
 
Lakini Luoga hajaharibu isitoshe uzalendo utakusaidia nini kama
hauijui fani? Wewe ukiambiwa upeleke gari gereji atakayekutengenezea ni Mwaminifu lkn siyo fundi magari utakubali akutengezee gari kwa kuwa tu ni mwaminifu?
Mimi binafsi naona Luoga aliharibu,mabenki yaliyumba sana kipindi chake na mzunguko wa pesa ulitikisika mno,
 
Nchi ina wachumi wengi sana wazuri ambao wangeweza kumshauri vyema rais wao wakawa wanashauriwa tu mambo ya kisheria,sasa gavana ndio akawa anashauriwa zaidi maswala ya kiuchumi na yeye akitoka hapo akamshauri Rais,BOT is all about economy,Luoga alikuwa layman kwenye hiyo sekta

Huwezi kutenganisha Finance na Sheria, kila kitu kinataka sheria, financial system ni sheria, bila uelewa wa Sheria huwezi kufanya chochote kwenye financial system, hata hiyo mikopo wanachukuwa ni sheria inatumika bila ya uelewa wake you are doomed, …
 
Back
Top Bottom