Gavana wa Benki KUU Tanzania!

Gavana wa Benki KUU Tanzania!

reforms zilifanyika kipindi cha Prof.Benno Ndullu!

Gavana akiongea na wafanyakazi wizara mambo ya nje



Umahiri wa gavana Prof. Benno Ndulu akizungumzia mada mbalimbali kwa lugha nyepesi kwa wasio na uelewa mpana wa masuala ya uchumi n.k

Financial dollarization nchini Tanzania toka mwaka 1992 nchi ilipofunguka

Sababu ya watu kutoipenda sarafu / currency yao na threshold ya 30% ya matumizi ya fedha ya kigeni ina maana gani katika uchumi wa nchi

Transaction dollarization .... kuporomoka kwa thamani ya shilingi ndiyo kunafanya watu kukimbilia kwenye matumizi ya dola na siyo kinyume chake anasisitiza Prof. Benno Ndulu ...

Madhara ya kuweka fixed exchange rates kule Malawi n.k yalisababisha sarafu ya dola ya Kimarekani kupotea ... Rais Mzee Ali H. Mwinyi alipewa fungate ya kukuta kikapu kikiwa na dola chache benki kuu pia Zambia walijaribu kudhibiti kiwango cha thamani ya kubadilishana kwacha kwa dola, cha moto walikiona ... hivyo sera hii Prof. Benno Ndulu anasema ...

Utafiti wa bei za bidhaa na huduma kujua wafanyabiashara Tanzania wanapaga bei kwa kuzingatia sarafu ya dola ya marekani au shilingi? Utafiti wa BoT prof. Ndulu ulifanyika Dsm, Moro, Mwz, Arusha, Zanziba, Mjini Magharibi, Pemba Kaskazini na kusini na kubaini kuwa ... nchini Tanzania kote Bara na Zanzibar ... lakini maeneo ya Masaki, Mikocheni, Upanga

masuala ya hati fungani, sarafu ya dola ya marekani , mafuta gesi kilimo ...


Uchumi wa Marekani unaongoza uchumi wa dunia.....

Teknolojia ya Marekani kupata Gesi na mafuta kutoka katika mawe badala ya baharini au jangwani ...

Bidhaa za viwanda vya ndani lakini malighafi wanaagiza kwa dola ya marekani ...
 
Kwahiyo kaka mkuu governor sio Dr. wala professor just a Mr.

Unajua hawa watu utakuta wanao ka-uwezo fulani hivi ka kuzipanga zile free forces za supply and demand zikakae pahala

Aiseh watu wanakulapo nchi shule hizi sio mchezo
Tena asiye na Bachelor degree bali mwenye equivalent to degree
 
Kwahiyo kaka mkuu governor sio Dr. wala professor just a Mr.

Unajua hawa watu utakuta wanao ka-uwezo fulani hivi ka kuzipanga zile free forces za supply and demand zikakae pahala

Aiseh watu wanakulapo nchi shule hizi sio mchezo
Kwa uzoefu wangu MA- Dr na Maprofesa ni weak katika practice, wenye Masters level wengi ni wazuri sana, huyo ni college mate wa CRDB Ceo na wote ni Masters holders, just compare
 
Tax lawyer anauhusiano na financial system, kuna mambo mengi sana kwenye financing yanayohitaji umahili wa Sheria, maamuzi mengi nchi inayochukuwa ni kisheria, …
Jamaa ana advanced diploma ya 2000 so iko relevant kabisa

Sema hajafanya kazi kwenye financial institution hiki kinaweza kumsunbua kidogo

But ni Bora kuliko luoga ambae professional ni lawyer sio economist Wala financial expert
 
Huwezi kutenganisha Finance na Sheria, kila kitu kinataka sheria, financial system ni sheria, bila uelewa wa Sheria huwezi kufanya chochote kwenye financial system, hata hiyo mikopo wanachukuwa ni sheria inatumika bila ya uelewa wake you are doomed, …
Hii ni hoja dhaifu main ni finance na tools ni sheria una outsource tuu sio key factor
 
Uzoefu unaoatikana kazini mkuu.
Kafanya kazi hapo hazina kwa muda wa kutosha hadi kufanikiwa kuwa Kamishna Msaidizi wa Bajeti kabla ya kuwa RAS kisha PST na hatimaye Governor.
Kumbe uRAS ni deal. Nilikuwa nafikiri a ni cheo cha kawaida tu Kumbe... Siku hizi kila mtu akiula utasikia kapitia URAS somewhere!!
 
Luoga ni Professor wa Tax law, …
Kwa uzoefu wangu MA- Dr na Maprofesa ni weak katika practice, wenye Masters level wengi ni wazuri sana, huyo ni college mate wa CRDB Ceo na wote ni Masters holders, just compare

Gavana wa bank kuu kuwa na elimu ndogo sio sahihi. Diploma sijui advance diploma sio sehemu yake kwa gavana wa benk kuu

Nazani huyu ndio gavana mwenye elimu magumashi kuliko wote waliowai kupita bot.

Jaribu ku google central bank za dunia nzima kama utaona gavana mwenye advance diploma zaidi ya Tz.

Pia CV haina uzoefu wa kimataifa.

Hata mama samia anamzidi cv upande wa uzoefu.

Kufanya kazi taasisi za kimataifa kama IMF, World bank, Afdb, pwc, kpmg, ey, delloitte ni uzoefu muhimu sana
 
Hakuna aliye bora kati ya hao wawili uliowataja, maana wote watavurunda tu!
Hii elimu yetu ya kuangalia makaratasi badala ya uwezo wa kuongoza wa mtu.Rais wa Benki ya Dunia 2012-2019 Jim Yong Kim alikuwa Physician yaani Daktari wa binadamu na aliongoza fresh tu.
 
Jamaa ana advanced diploma ya 2000 so iko relevant kabisa
Sema hajafanya kazi kwenye financial institution hiki kinaweza kumsunbua kidogo
But ni Bora kuliko luoga ambae professional ni lawyer sio economist Wala financial expert
Mbona Rais wa Benki ya Dunia 2012-2019 Jim Yong Kim alikuwa Physician yaani Daktari wa binadamu na aliongoza fresh tu.Tutuba ataweza tu,BOT ni taasisi yenye mifumo,kikubwa azingatie teamwork!
 
Charles Nyirabu wote

Charles Musama Nyirabu, born in 1939 in Tanzania, Tanzanian diplomat

Education​

Bachelor in Political Science, Economics and History, Makerere University, Uganda. Master of Arts in Development Economics, Williams College.

Career​

  • Director planning Office of President Government of Tanzania, 1972 - 1974,
  • Governor Bank of Tanzania, 1974 - 1989.
  • Ambassador to United States of America Washington, since 1990
  • Former chairman Presidential Commission of Enquiry into the Monetary and Banking Systems of Tanzania
Source : Charles Musama Nyirabu | Tanzania Foreign Ministry Official List
 
Edwin Mtei

Edwin Mtei :
Governor of the Bank of Tanzania ( 1965-74),
Minister of Finance and Planning (1977-79)
and Executive Director, International Monetary Fund (1982-86).

N.B the governors of the International Monetary Fund and the World Bank elected Edwin Mtei to position of executive director of the IMF to represent English-speaking African countries on the board of the IMF.
Source : Interview with Edwin Mtei, Chairman of the Opposition party Chadema
 
Back
Top Bottom