Gavana wa Benki KUU Tanzania!

Sure but all in all
Ni lawyer sio economist wala accountant wala

Tax lawyer anauhusiano na financial system, kuna mambo mengi sana kwenye financing yanayohitaji umahili wa Sheria, maamuzi mengi nchi inayochukuwa ni kisheria, …
 
Lakini Luoga hajaharibu isitoshe uzalendo utakusaidia nini kama
hauijui fani? Wewe ukiambiwa upeleke gari gereji atakayekutengenezea ni Mwaminifu lkn siyo fundi magari utakubali akutengezee gari kwa kuwa tu ni mwaminifu?
Umeleta sifa zao, ndio maana likaja jibu. ..ya gereji ni ya mafundi..
 

Nani kakudanganya? Weka mfano mmoja wa Gavana wa Central Bank Duniani mwenye Diploma au Bachelors, Bernanke juzinkati kashinda Nobel
Prize ya Uchumi ni Profesa wa Uni, …
 
Kuna uhusiano wewe umesema muhimu ni uzalendo nikajaribu kukwambia uzalendo bila ya umahili wa fani haikusaidii kitu!
Nimekujibu kwa hoja ya sifa zao....professor na MBA...kuwa professor bila uzalendo ni bora mwenye MBA mzalendo...
 
Lakini Luoga hajaharibu isitoshe uzalendo utakusaidia nini kama
hauijui fani? Wewe ukiambiwa upeleke gari gereji atakayekutengenezea ni Mwaminifu lkn siyo fundi magari utakubali akutengezee gari kwa kuwa tu ni mwaminifu?
Mimi binafsi naona Luoga aliharibu,mabenki yaliyumba sana kipindi chake na mzunguko wa pesa ulitikisika mno,
 

Huwezi kutenganisha Finance na Sheria, kila kitu kinataka sheria, financial system ni sheria, bila uelewa wa Sheria huwezi kufanya chochote kwenye financial system, hata hiyo mikopo wanachukuwa ni sheria inatumika bila ya uelewa wake you are doomed, …
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…