Gavana wa Benki KUU Tanzania!

Wewe utakuwa ni mjinga sana, Masters ni elimu ndogo? Hao wenye PhD wameifanyia nini nchi? Marekani haijawahi kuongozwa na mtu mwenye PhD wala Uingereza lakini ndiyo zinaongoza kwa maendeleo.
 
Wewe utakuwa ni mjinga sana, Masters ni elimu ndogo? Hao wenye PhD wameifanyia nini nchi? Marekani haijawahi kuongozwa na mtu mwenye PhD wala Uingereza lakini ndiyo zinaongoza kwa maendeleo.

Ni wapi nimesema Masters ni elimu ndogo? Mbona unanilisha maneno?
 
Utumbo mtupu
 
Kinachochapa kazi sio PhD zenu za kukariri, uzuri Gavana Ni Kama Mkuu wa Chuo Ila VC ndio kila kitu so chini yake Kuna Manaibu Gavana na timu za Wataalamu mahiri wa Uchumi na fedha.
 
Benki kuu inahitaji mtaalamu nguli wa uchumi hata kama hana PhD, uchapakazi ni sifa ya ziada tu na wala sio ya msingi, pia uchapakazi ni subjective sana.
Tatizo tumekariri kuwa PhD sijui ndiyo zinafanya kazi lakini mtu kama huyu ni mchapa kazi sn
 
Unaposema issue siyo uzoefu ni elimu, sifa za mtu kuwa Gavana BoT ni bachelor mengine yote ni mbwembwe tu

Kwa hiyo huyu Gavana Tutuba hana hiyo sifa kwa maana hana Bachelors yoyote ile kwa mujibu wa vyombo vya habari, ana Diploma!
 
Gavana sio kama mkuu wa chuo, gavana ndio anapaswa kuwa mtu wa mwisho kutoa muelekeo wa sekta ya fedha katika nchi na wa pili baada ya waziri wa fedha katika kumshauri Rais masuala ya uchumi.
Gavana ndiye anapaswa kuwa mahiri wa uchumi kuliko wote walio chini yake.
Kinachochapa kazi sio PhD zenu za kukariri, uzuri Gavana Ni Kama Mkuu wa Chuo Ila VC ndio kila kitu so chini yake Kuna Manaibu Gavana na timu za Wataalamu mahiri wa Uchumi na fedha.
 
Unajua Uchumi? Kuna Mchumi mmja anaweza kushauri Jambo lake bila pannel ya Wachumi?

Uchumi sio Historia Mzee,elewa Hilo so unachoongea hakipo.
 
Benki kuu inahitaji mtaalamu nguli wa uchumi hata kama hana PhD, uchapakazi ni sifa ya ziada tu na wala sio ya msingi, pia uchapakazi ni subjective sana.
Wewe ni boya, PhD ndiyo inafanya kazi? hao PhD wako wameifanyia nini nchi? Lipumba ni mchumi nguli ana hata kibanda cha nyanya? acheni ujinga sisi tunataka mtu mchapa kazi na siyo hayo makaratasi yenu ambayo hayana maana yoyote
 
Sawa ndio ana Masters sasa

Hizo ni modifications tu wamefanya ili kujhalalishia lkn Diploma siyo sawa Bachelors kwa mfumo wa Tanzania, isitoshe hata nje ya Tanzania inajulikana hivyo ukiwa na Diploma ni questionable kuqualify kazi inayohitaji first degree lkn Bachelors haiwi questioned!
 
Wewe ndiye boya kilaza, kama uchapakazi ndio unaofanya kazi hata Punda na farasi ni wachapakazi kuliko binadamu yeyote, tuwafanye hao viongozi wetu basi.
We ni boya, PhD ndiyo inafanya kazi? hao PhD wako wameifanyia nini nchi? Lipumba ni mchumi nguli ana hata kibanda cha nyanya? acheni ujinga sisi tunataka mtu mchapa kazi na siyo hayo makaratasi yenu ambayo hayana maana yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…