ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,340
- 4,069
Waluotutia kwenye ufukara?The best Governors ever Tanzania walikua Edwin Mtei na Charles Nyirabu wote walikua masters holder
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waluotutia kwenye ufukara?The best Governors ever Tanzania walikua Edwin Mtei na Charles Nyirabu wote walikua masters holder
HahahaBoT wanaweka manyoka tu uzoefu utaukuta hukohuko, mbona Luoga hajui hata balance sheet inafananaje
Kumbe ni mwepesi hivi! Unajua MBA siyo academic qualification! Hivyo ana advanced diploma tu! It’s and it was a shame kuwa PSTHawa bloomberg wanatakiwa waseme habari hii kubwa duniani kwa hisani kubwa ya JF
Wasifu wa Gavana / Governor Emmanuel Mpawe Tutuba / Biography / CV :
2019
Assistant Commissioner for Budget - Expenditure tracking and performance monitoring (Ministry of Finance and Planning)
Source : www.parliament.go.ke files : Report of the Auditor - General on African Institute for Capacity Development AICAD - Office of the Auditor General
- 1999-2001 : masters of business administration in corporate management MBA Corp MGT Mzumbe
- 1996-1999 : advanced Diploma in Economic Planning- ADEP (IDM Mzumbe)
- 1992-1994 : Advanced Secondary Education - Milambo secondary school
03 February 2020
Katibu Tawala wa mkoa RAS
Rais John Magufuli amuapisha Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza leo tarehe 3 February 2020 Ikulu ya Dar es Salaam
View attachment 2476812
Mjumbe wa Bodi ya REA
Kamishna Tume ya Madini
- Mr. Emmanuel Mpawe Tutuba - Rural Energy Board Director Rural Electrification Authority REA
Katibu Mkuu wizara ya fedha
- Emmanuel M. Tutuba commissioner Mining Commission
- Rais Samia Hassan leo tarehe 6 April 2021 amuapisha Bw. Emmanuel Mpawe Tutuba kuwa katibu mkuu wizara ya Fedha na Mipango
MBA is an elite professional qualification, na hiyo Advanced Diploma ya Mzumbe ilikuwa equated na BA by then kabla ya Mzumbe kuwa University. Academic Masters degrees can prepare students for PhD study. But remember BOT or Treasury alikokuwa Tutuba siyo teaching institution.Kumbe ni mwepesi hivi! Unajua MBA siyo academic qualification! Hivyo ana advanced diploma tu! It’s and it was a shame kuwa PST
Kwa taarifa yako hata Bachelors ya Tanzania siyo automatic kutambulika na kila chuo duniani kwa ajili ya kufanya Masters au ajira. Lazima upigwe post graduate diploma ndipo u proceed kwenye Masters yaoHizo ni modifications tu wamefanya ili kujhalalishia lkn Diploma siyo sawa Bachelors kwa mfumo wa Tanzania, isitoshe hata nje ya Tanzania inajulikana hivyo ukiwa na Diploma ni questionable kuqualify kazi inayohitaji first degree lkn Bachelors haiwi questioned!
Mambo ya equivalent ni ya kipuuzi! Degree na diploma wapi na wapi? Bila PhD huyo Gavana ni mwepesi tu. Najua unatetea vilaza wenzako ati equivalent!MBA is an elite professional qualification, na hiyo Advanced Diploma ya Mzumbe ilikuwa equated na BA by then kabla ya Mzumbe kuwa University. Academic Masters degrees can prepare students for PhD study. But remember BOT or Treasury alikokuwa Tutuba siyo teaching institution.
Wacheni choyo Watanzania
Tutulie sindano ituingie. Yani tulieni kabisa kiluo ndio kitaijuza Dunia wapi tumepigwa kitu kizitoGavana mpya Tutuba!
View attachment 2476668
Tutuba holds an advanced Diploma economic planning and MBA in corporate management from Mzumbe Uni vs Luoga a tax law Professor who (Luoga) is accredited for helping Tanzania attain macroeconomic stability, …by Bloomberg.
---
Tanzania’s President Samia Suluhu Hassan appointed Emmanuel Tutuba the nation’s central bank governor, as she moves to tackle the rising cost of living.
Tutuba, who has been working as permanent secretary in the Finance Ministry, replaces Florens Luoga after his term expired, according to a statement from the president’s office. The appointment takes immediate effect.
TOKA MAKTABA:
19 July 2022
Accra, Ghana
Annual Meetings 2022: Governor Statement, Tanzania
Emmanuel Mpawe Tutuba
Permanent Secretary Ministry of Finance and Planning, Tanzania .
the theme, Achieving Climate Resilience, and a Just Energy Transition for Africa, was chosen to provide a framework for the governors of the Banks to share their experiences and engage in addressing climate change and energy transition challenges, as well as their policies and measures to deal with them.
Source : AfDBGroup
Read more : About the 2022 Annual Meetings | African Development Bank - Annual Meetings
Source : AfDBgroup
DahKwa taarifa yako hata Bachelors ya Tanzania siyo automatic kutambulika na kila chuo duniani kwa ajili ya kufanya Masters au ajira. Lazima upigwe post graduate diploma ndipo u proceed kwenye Masters yao
Ni kweli usemayo. Lakini hatupaswi kuweka monetary policy ya nchi mikononi mwa mtu ambae hajabobea katika masuala ya uchumi au sera zinazohusu uchumi. Ubobezi sio lazima uwe wa vyeti lakini experience ni muhimu. Nafasi hii inapaswa kukaliwa na creme de la creme maana ina impact kubwa katika uchumi wa nchi yetu na hali ya maisha ya wote wanaoishi ndani yake. Huyu sio glorified CEO wa CRDB.MBA is an elite professional qualification, na hiyo Advanced Diploma ya Mzumbe ilikuwa equated na BA by then kabla ya Mzumbe kuwa University. Academic Masters degrees can prepare students for PhD study. But remember BOT or Treasury alikokuwa Tutuba siyo teaching institution.
Wacheni choyo Watanzania
Wewe ni nani ukatae equivalent? Mbona Serikali ilitupa same entry level position na mishahara sawa wahitimu wa UDSM na MzumbeI IDM, IFM na Ardhi Institute miaka yote Ile ya 1970s to early 2000s?Mambo ya equivalent ni ya kipuuzi! Degree na diploma wapi na wapi? Bila PhD huyo Gavana ni mwepesi tu. Najua unatetea vilaza wenzako ati equivalent!
Kwani huko Hazina alipokuwa Katibu Mkuu alikuwa hahusiki na monetary policy.Ni kweli usemayo. Lakini hatupaswi kuweka monetary policy ya nchi mikononi mwa mtu ambae hajabobea katika masuala ya uchumi au sera zinazohusu uchumi. Ubobezi sio lazima uwe wa vyeti lakini experience ni muhimu. Nafasi hii inapaswa kukaliwa na creme de la creme maana ina impact kubwa katika uchumi wa nchi yetu na hali ya maisha ya wote wanaoishi ndani yake. Huyu sio glorified CEO wa CRDB.
Amandla...
Waluotutia kwenye ufukara?
Kwani huko Hazina alipokuwa Katibu Mkuu alikuwa hahusiki na monetary policy.
Prof Luoga mwenyewe alikuwa PhD wa sheria za Kodi huku akitokea kufundisha sheria na hakujua lolote kuhusu fiscal au monetary policy yaani hata Income Statement hakuijua na ka survive more than 5 years pale, sembuse ya Tutuba mchumi mwenye elimu ya biashara anayetokea Hazina kama KM au Paymaster General?
Acheni wivu vijana
Kwa kweli hamna dogo. Mnampima mtu kwa jinsi anavyoimudu lugha ya King Charles. Mnataka Nyani Ngabu apate stroke!
Amandla...
Nyie mkoje mbona mnashabikia uongo na kuuipigia misumari.Alewa tofauti ya diploma na advanced diploma.Hii advanced diploma ni equivalent na degree.Na ndio maana mwenye hiyo akitoka hapo anaenda kusoma masters moja kwa moja.Yaani mtu anapindisha hoja makusudi na kuishadadia tu kwa lengo la kuleta nguvu hasi/ kumpaka matope mtu.Hizo ni modifications tu wamefanya ili kujhalalishia lkn Diploma siyo sawa Bachelors kwa mfumo wa Tanzania, isitoshe hata nje ya Tanzania inajulikana hivyo ukiwa na Diploma ni questionable kuqualify kazi inayohitaji first degree lkn Bachelors haiwi questioned!
Katibu Mkuu Hazina haandai monetary policy za nchi. Yeye jukumu lake sio kupambana na inflation na pressure nyingine katika currency yetu. Mwenye jukumu hilo ni Gavana na anapaswa kutimiza jukumu hilo bila kujali serikali inapendelea nini. Ndio maana anatakiwa mtu astute, anaejiamini na ambae yuko tayari kusema ukweli wake kwa mamlaka ya juu.Kwani huko Hazina alipokuwa Katibu Mkuu alikuwa hahusiki na monetary policy.
Prof Luoga mwenyewe alikuwa PhD wa sheria za Kodi huku akitokea kufundisha sheria na hakujua lolote kuhusu fiscal au monetary policy yaani hata Income Statement hakuijua na ka survive more than 5 years pale, sembuse ya Tutuba mchumi mwenye elimu ya biashara anayetokea Hazina kama KM au Paymaster General?
Acheni wivu vijana