MT255
JF-Expert Member
- May 3, 2012
- 3,606
- 4,914
kwani umelazimishwa kuweka hela zako huko...huwaelewi chukua mzigo wako sepa mkuu...36 ni utani wa wazi aisee
Jana kulikuwa na mkutano wa wanahisa wa CRDB kule Arusha na katika agenda ya gawio kwa wanahisa waliazimia kuwa kila hisa moja watatoa gawio la Tshs.36. Binafsi kama mwanahisa sijaridhika na gawio la Tshs.36 kwa hisa mpaka nipate majibu kwa yafuatayo:-
(1) Ni vigezo gani mliotumia kufikia kiasi hicho cha Tshs.36 kwa hisa?.
(2) Mbona Benki kama NMB ambayo kwa uwezo hazitofatiani wanatoa gawio zaidi ya Tshs.100 kwa hisa?.
Wajue kuwa kama mwanahisa kwa kweli gawio wanayotoa wanapunja sana wanahisa huku Wakurugenzi na Viongozi wakuu wa Benki wakilipwa marupurupu na fedha nyingi.