Gawio la hisa za CRDB

Gawio la hisa za CRDB

kwani umelazimishwa kuweka hela zako huko...huwaelewi chukua mzigo wako sepa mkuu...36 ni utani wa wazi aisee
Jana kulikuwa na mkutano wa wanahisa wa CRDB kule Arusha na katika agenda ya gawio kwa wanahisa waliazimia kuwa kila hisa moja watatoa gawio la Tshs.36. Binafsi kama mwanahisa sijaridhika na gawio la Tshs.36 kwa hisa mpaka nipate majibu kwa yafuatayo:-

(1) Ni vigezo gani mliotumia kufikia kiasi hicho cha Tshs.36 kwa hisa?.
(2) Mbona Benki kama NMB ambayo kwa uwezo hazitofatiani wanatoa gawio zaidi ya Tshs.100 kwa hisa?.

Wajue kuwa kama mwanahisa kwa kweli gawio wanayotoa wanapunja sana wanahisa huku Wakurugenzi na Viongozi wakuu wa Benki wakilipwa marupurupu na fedha nyingi.
 
Kwa maana hiyo aliyewekeza milioni mbili kwa mwaka mzima ameambulia laki na kitu?
Possible, lakini Inategemea wakati ananunua bei ya hisa ilikua sh ngapi, km ilikua chini sana maana yake idadi ya hisa ilikua kubwa. Pia ktk hisa tuna faida za aina mbili, mosi ni ile inayotokana na gawio unalopata na pili ni ile inayotokana na kuongezeka kwa bei ya hisa (capital gain), mfano uliponunua hisa bei ilikua sh. 200 kwa hisa afu Leo inauzwa sh. 300 so kila hisa una faida ya sh. 100
 
Ni vema watueleze gharama wanazoingia mpaka hisa zao znakuwa Tshs.36 kwa hisa moja wakati NMB ambayo mtaji wao hautofautiani sana na wao wanatoa zaidi ya Tshs.100 kwa hisa moja. Mimi nadhani wale Board members tuliowachagua hawatuwakilishi ipasavyo katika kufikia uamuzi wa gawio. What is Tshs.36 Per share.
 
Hisa za CRDB leo zinauzwaTsh. 436,NMB 3,000.Gawio la CRDB Ni Tsh. 36,Gawio la Nmb Tsh.100

Kwa lugha rahisi Tutafute' return/share:'
Kwa CRDB:36/436×100%=8.26%

Kwa NMB:100/3,000×100%=3.33%

Bado CRDB imerudisha return nzuri zaidi kulinganisha na NMB, provided that other factors are kept constant.

Nimetumia lugha ya ki-layman zaidi watu waelewe,haina haja kufikia huko kwny Ma DPS,EPS etc lkn inshort analysis ya maana itafanyika pale ambapo utakua na Financial Statements za Co. zote 2.
Mwenye nia ya kuelewa, ameelewa.
Je huyo jamaa aliguatilia mkutano mzima ikiwemo mikakati ya Bank?
 
Dividend Payout Ratio ya NMB Ni 21.1%

Dividend Payout Ratio ya CRDB Ni 29.8%

Hii maana yake company's earnings after tax zinazolipwa kwenda kwa shareholder bado CRDB iko juu ya NMB.

Khs kwenda Paperless Naunga mkono hoja kwa 100%.

Thank you for the enlightment! Is there a formula of determining the payout ratio of these financial institutions? Is it fixed or can it be varied?
 
Dividend Payout Ratio ya NMB Ni 21.1%

Dividend Payout Ratio ya CRDB Ni 29.8%

Hii maana yake company's earnings after tax zinazolipwa kwenda kwa shareholder bado CRDB iko juu ya NMB.

Khs kwenda Paperless Naunga mkono hoja kwa 100%.

Kufuatana na maeelezo ya hapo juu the only way dividends zinaweza kuongezeka given the payout ratio ni kama Benki itaongeza mapato yake Baada ya Kodi zote kulipwa; hiyo inawezekana tu kama benki itapunguza gharama zake za kufanya biashara!! Hapo ndipo management inatakiwa iwe na ubunifu!!!
 
Jana kulikuwa na mkutano wa wanahisa wa CRDB kule Arusha na katika agenda ya gawio kwa wanahisa waliazimia kuwa kila hisa moja watatoa gawio la Tshs.36. Binafsi kama mwanahisa sijaridhika na gawio la Tshs.36 kwa hisa mpaka nipate majibu kwa yafuatayo:-

(1) Ni vigezo gani mliotumia kufikia kiasi hicho cha Tshs.36 kwa hisa?.
(2) Mbona Benki kama NMB ambayo kwa uwezo hazitofatiani wanatoa gawio zaidi ya Tshs.100 kwa hisa?.

Wajue kuwa kama mwanahisa kwa kweli gawio wanayotoa wanapunja sana wanahisa huku Wakurugenzi na Viongozi wakuu wa Benki wakilipwa marupurupu na fedha nyingi.
[emoji12]Hela zinaenda kufanya sherehe na mambo mbali mbali , nafikiri afadhali sherehe zisifanyike wanahisa wapate gawio zuri. Ni maoni yangu tu .!!
 
Tatizo hizi mambo za hisa Makampuni hua hayatoi elimu ya kina khs Hizo mambo za Dividend etc lkn siwalaumu Sana lugha ya Fedha sio kila mtu anaweza kuielewa.

Naona hii Jasiri Bond wanaitangaza Sana kwny media,Nimeona Kuna mtu alisema Kule UTT Kuna scheme return yake kwa mwaka Ni 13%,Ila sijafuatilia vzr mkuu.
DCB je anayejua magawio yake yakoje? Asante sana.
 
Haya mambo sema tu watu wamekuja kuyafaham too late. Three years back 2019, bei ya hisa za Crdb ilikuwa sh 100. Huu ndio ulikuwa wakati wa kununua. Ambayo kwa sasa mtu angekuwa na 36/100 which is 36%. Investment is all about timing.View attachment 2236331
Nakumbuka mwaka 2015 hisa za CRDB zilikuwa zikiuzwa 410, Magufuli alipoingia zikashuka kwa kasi ya 4G

Samia alipoingia naona zimepanda ghafla tena hadi 430 kutoka 150 in less tha 2 years, ongezeko la 200%

Tukisema yule mtu aliharibu uchumi watu wanatukana
 
Jana kulikuwa na mkutano wa wanahisa wa CRDB kule Arusha na katika agenda ya gawio kwa wanahisa waliazimia kuwa kila hisa moja watatoa gawio la Tshs.36. Binafsi kama mwanahisa sijaridhika na gawio la Tshs.36 kwa hisa mpaka nipate majibu kwa yafuatayo:-

(1) Ni vigezo gani mliotumia kufikia kiasi hicho cha Tshs.36 kwa hisa?.
(2) Mbona Benki kama NMB ambayo kwa uwezo hazitofatiani wanatoa gawio zaidi ya Tshs.100 kwa hisa?.

Wajue kuwa kama mwanahisa kwa kweli gawio wanayotoa wanapunja sana wanahisa huku Wakurugenzi na Viongozi wakuu wa Benki wakilipwa marupurupu na fedha nyingi.

Binafsi nina hisa hapo CRDB lakini sijawahi kuona matunda yake hivyo napanga kwenda kuzichukua
 
Hisa za CRDB leo zinauzwaTsh. 436,NMB 3,000.Gawio la CRDB Ni Tsh. 36,Gawio la Nmb Tsh.100

Kwa lugha rahisi Tutafute' return/share:'
Kwa CRDB:36/436×100%=8.26%

Kwa NMB:100/3,000×100%=3.33%

Bado CRDB imerudisha return nzuri zaidi kulinganisha na NMB, provided that other factors are kept constant.

Nimetumia lugha ya ki-layman zaidi watu waelewe,haina haja kufikia huko kwny Ma DPS,EPS etc lkn inshort analysis ya maana itafanyika pale ambapo utakua na Financial Statements za Co. zote 2.
jamaa kaweka ka laki tano kake akitegemea millions ha ha ha hah wanaofaidika ni wakina sumaye walioweka ma bilioni
 
Hisa za CRDB leo zinauzwaTsh. 436,NMB 3,000.Gawio la CRDB Ni Tsh. 36,Gawio la Nmb Tsh.100

Kwa lugha rahisi Tutafute' return/share:'
Kwa CRDB:36/436×100%=8.26%

Kwa NMB:100/3,000×100%=3.33%

Bado CRDB imerudisha return nzuri zaidi kulinganisha na NMB, provided that other factors are kept constant.

Nimetumia lugha ya ki-layman zaidi watu waelewe,haina haja kufikia huko kwny Ma DPS,EPS etc lkn inshort analysis ya maana itafanyika pale ambapo utakua na Financial Statements za Co. zote 2.
Hata mimi kichwa maji nimeelewa
 
[emoji12]Hela zinaenda kufanya sherehe na mambo mbali mbali , nafikiri afadhali sherehe zisifanyike wanahisa wapate gawio zuri. Ni maoni yangu tu .!!

CRDB kuna maeneo mengi ambayo wangeweza kupunguza matumizi yasiyo ya lazima ; they give one the impression that the management is not cost conscious!
 
Back
Top Bottom