Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Huu uzi una lengo mahususi kwa mashoga, hata aliyepost huu uzi na yeye.............
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa Watanzania Hayuko sawaUhakika wa hii hizi picha ni nini? Labda walikua wanacheza.
Wanatanzania ni wepesi sana kuamini ujinga na umbea kuliko watu wowote Duniani.
Unaweza kutunga tu stori haina kichwa wala miguu ukashangaa ukaikuta imesambazwa nchi zima na watu wakaiamini.
Unaweza kuchukua picha ya tukio lililotokea huko Nigeria na ukaihusisha na tukia la hapa Tanzania watu bila kutaka uhakika wataamini tu.
Watanzania ni watu wa ajabu sana.
Mbaya zaidi wanasema Simba hao wameonekana Nchi ya Kenya,ambayo ipo Africa.Kwanini wasingesema wameonekana America utadhani mbuga za wanyama zipo Africa pekee wakati hata huko kwao hizo mbuga zenye Simba zipo!!Ujinga tu umewajaa.Ujanja unaotumika ni kuwa, Simba dume mojawapo hupakwa harufu ya heating ya simba jike (human made) ambayo humchanganya dume moja au yote na kuamua kupandana au kupanda.
Uko sahihi mkuu.Hao sio gay lions
Ni a female lion with mane(nywele shingoni)
Inatokeaga mara chache sana
Sasa kama unadhani wanyama wanafanya ushenzi, hawako hivyo
Ni kama mwanamke mwenye ndevu
Ukiangalia hizo picha chini ni simba wa kike ila ana minywele shingoni kama vile ni simba dume
![]()
![]()
![]()
![]()
hakuna wanyama mashoga hao ni dume na jike sema hilo jike lina nywele kama dume tuWaafrika ni watu dhaifu sana wa kufikiri na kuchanganua.
Eti hizi picha ni propaganda za wazungu ili kuhamasisha ushoga??
Ili iweje?
Last time mlikuwa mmeshupaza shingo kwamba hakuna wanyama mashoga, and now you have been proved to the contrary, bado mnababaika.
😀
Mnatakaje?
Hakuna anayehamasisha wala kulazimisha mtu awe shoga.
Hivi inawezekanaje mtu akahamasishwa kuwa shoga?
Haya mawazo na fikra za kimbumbumbu sijui huwa mnafundishwa na nani!!
Eti mtu kahamasishwa kuwa shoga!!! how is that possible?
Huna unalolijua wewe...hakuna wanyama mashoga hao ni dume na jike sema hilo jike lina nywele kama dume tu
Mbuzi na ng'ombe wana madume wana tabia za kupandiana jla natoka kuchunga kwangu hiyo mifugo sijawahi shuhudia wakiingizana dushe kwenye TIGO. Naamini nature haikubaliani na kitendo hicho inahitaji akili ya ziada kama ya binadamu kufanikisha ndiyo maana anatengeneza mpaka vilainishiUmewahi kuwa mfugaji?! Mimi ni mfugaji. Mbuzi na ng'ombe akikojolewa tu kwa tukio hilo hufuatiliwa na madume mengine kwa kufuata harufu. Na salama yake ni kumhamisha (kumtenga) pia kumpaka diesel au mafuta taa kuua harufu ya mkojo, ili asiendelee kuingiliwa kwa kuwa humlemaza kabisa.
Mkuu wanaingiliana na wanaingiza. Na anaeingiliwa huaribiwa kabisa. Ng'ombe au mbuzi akishakojolewa madume mengine hayampi nafasi ni kumkimbiza tuMbuzi na ng'ombe wana madume wana tabia za kupandiana jla natoka kuchunga kwangu hiyo mifugo sijawahi shuhudia wakiingizana dushe kwenye TIGO. Naamini nature haikubaliani na kitendo hicho inahitaji akili ya ziada kama ya binadamu kufanikisha ndiyo maana anatengeneza mpaka vilainishi
Iam gay and proud of it, sijui nyie mnateta nini na Haya mambo yalianza zamani, all of us need to embrace the gay pride!
Tabia za Kiccm huyo wa chini ni Shaka
Wakichangamkia hii wakumbuka na kuitangaza mombasa kwa mambo hayo hayo.Haha, MK254 anatusema sana watanzania hatujuwi kuchangamkia fusra za kutangaza utali. Hapo nimemkumbusha wachangamkie na hii ya masimba shoga.
Ufafanuzi mzuri, wanatafuta wafuasi kwa kutunga uongoHao sio gay lions
Ni a female lion with mane(nywele shingoni)
Inatokeaga mara chache sana
Sasa kama unadhani wanyama wanafanya ushenzi, hawako hivyo
Ni kama mwanamke mwenye ndevu
Ukiangalia hizo picha chini ni simba wa kike ila ana minywele shingoni kama vile ni simba dume
![]()
![]()
![]()
![]()
Mimi binafsi nimeona wanawake wengi tu wenye ndevu, nyeupe, nyeusi lakini si kwenye nyuso zao. Teremka kidogo hadi pale pale. Hapo ndo utajua hapa duniani kuna Osama wengi sana ambao chimbuko lao si Saudia.Acheni upotoshaji huyo simba ni jike mwenye manyoya (mane)
Kwani hamjawahi kuona wanawake wenye ndevu?