Gay lions spotted in Kenya's Maasai Mara

Gay lions spotted in Kenya's Maasai Mara

Bila kuiondoa Ccm madarakani tutashuhudia mengi, oneni ccm inavyo tutia aibu dunia nzima wameshapata hizi taarifa
 
Kiki za kutafuta watalii hizi si mnakumbuka ile ya Simba wa Ngorongoro kumnyonyesha mtoto wa chui
 
Hapo mambo mawili yanaweza husika.

Mosi, inawezekana huyo simba mwenye umbo dogo ni jike lakini ana manyoya shingoni. Majike ya simba ya namna hii wapo.

Pili, hiyo ni simba mmoja kuonyesha "dominance" kwa mwenzake.

Hii inatokea hata kwa mbuzi, ngombe na wanyama wengine.

Dominance maana yake ni kwamba simba mmoja dume anajaribu kuonyesha nguvu/mamlaka yake kwa mwingine.

Ni hali ya kawaida tu kwa wanyama.

Wanyama wanafanya "sex" kwaajili ya kuzaliana na si vinginevyo.

Dolphins pekee ndiyo wanafanya kwa starehe kama binadamu.

Simba hawezi kuwa shonga/homosexual

Hawajui hayo mambo
 
"....MPIGA PICHA MAARUFU PAUL GOLDSTEIN..."

WAYAHUDI kazini, kuhusu huyo muafrika mwenzetu wa kenya njaa itakuwa inamsumbua tu kama kweli kathibitisha upuuzi.
 
Huyo simba anayebanduliwa si dume kama wanavyotaka tuamini, umbo lake tu linatosha kuamini kuwa si dume. Huyo ni simba jike mwenye manyoya kama mdau mmoja hapa jukwaani aliyetolea mfano mwanamke kuwa na ndevu.
 
Acha uongo mkuu wanyama Hawafanyagi ushoga.....
Umewahi kufuga?! Mfugaji hawezi kubisha na kuandika ulivyoandika . Chunguza vizuri tabia ya ngombe na mbuzi.

Ikitokea wafugaji tunampaka anaeingiliwa mafuta ya taa au diesel. Ili wakimnusa wasipate hisia, na ni kwa njia hiyo pia tunamtenga na mifugo mingine kwa muda.

Cairo's
 
Nimewahi kushuhudia ndege wawili wakilana tigo kwa zamu kwenye paa la nyumba. Waligeuzana zaidi ya mara kumi!!!!
 
Kwa wanyama ni kawaida tu! kama itakuwa kweli muda mwengine wanyama huwa wanacheza tu! yaani kama makuzi fulani hivi hata kutishiana ngumi kama za ukweli lakini wpo katika mchezo hasa wanapokuwa wameshiba. Ajabu jamaa apige picha alafu ashindwe hata kufanya video recording.
 
Ma baunsa tumesikia kuwa baadhi yao hawana marinda sasa hali imekuwa tete hii ya msimbazi tena!
 
Back
Top Bottom