Gay lions spotted in Kenya's Maasai Mara

Huu uzi una lengo mahususi kwa mashoga, hata aliyepost huu uzi na yeye.............
 
Mshaambiwa ni simba wa Kenya povu la nn Sasa simba wetu hawafanyagi ungese
 
Ni kweli kabisa Watanzania Hayuko sawa
 
Ujanja unaotumika ni kuwa, Simba dume mojawapo hupakwa harufu ya heating ya simba jike (human made) ambayo humchanganya dume moja au yote na kuamua kupandana au kupanda.
Mbaya zaidi wanasema Simba hao wameonekana Nchi ya Kenya,ambayo ipo Africa.Kwanini wasingesema wameonekana America utadhani mbuga za wanyama zipo Africa pekee wakati hata huko kwao hizo mbuga zenye Simba zipo!!Ujinga tu umewajaa.
 
Uko sahihi mkuu.
 
Waafrika ni watu dhaifu sana wa kufikiri na kuchanganua.

Eti hizi picha ni propaganda za wazungu ili kuhamasisha ushoga??

Ili iweje?

Last time mlikuwa mmeshupaza shingo kwamba hakuna wanyama mashoga, and now you have been proved to the contrary, bado mnababaika.

😀

Mnatakaje?

Hakuna anayehamasisha wala kulazimisha mtu awe shoga.

Hivi inawezekanaje mtu akahamasishwa kuwa shoga?

Haya mawazo na fikra za kimbumbumbu sijui huwa mnafundishwa na nani!!

Eti mtu kahamasishwa kuwa shoga!!! how is that possible?
 
hakuna wanyama mashoga hao ni dume na jike sema hilo jike lina nywele kama dume tu
 
Mbuzi na ng'ombe wana madume wana tabia za kupandiana jla natoka kuchunga kwangu hiyo mifugo sijawahi shuhudia wakiingizana dushe kwenye TIGO. Naamini nature haikubaliani na kitendo hicho inahitaji akili ya ziada kama ya binadamu kufanikisha ndiyo maana anatengeneza mpaka vilainishi
 
Mkuu wanaingiliana na wanaingiza. Na anaeingiliwa huaribiwa kabisa. Ng'ombe au mbuzi akishakojolewa madume mengine hayampi nafasi ni kumkimbiza tu

Cairo's
 
Haha, MK254 anatusema sana watanzania hatujuwi kuchangamkia fusra za kutangaza utali. Hapo nimemkumbusha wachangamkie na hii ya masimba shoga.
Wakichangamkia hii wakumbuka na kuitangaza mombasa kwa mambo hayo hayo.
 
Ufafanuzi mzuri, wanatafuta wafuasi kwa kutunga uongo
 
Hawa jamaa wa Kenya wamejitahidi kukuza hii ishu kwa sababu tu za kitalii ila sio kwamba ni tukio la kwanza kuonekana...imeshaonekana Kruger SA, Kwenye Zoo moja huko nje.

Wanyama hawana hiyo kitu inaitwa Gay, na hakuna penetration hapo, wanatambuana kuwa wao wote ni midume...ni tabia (twaweza kusema inayovuka mipaka) kwa Wanyama wa kiume kufanya tabia ya ku hump wenzao.

Tabia hizi pia ni common sana kwa Mbwa, hupenda sana ku hump binadam pale mnapokuwa mmzoeana sana, haswa wanaoishi na Mbwa ndani ya nyumba...au hata huwatokea viumbe wa jamii tofauti kabisa mfano Sungura kum hump Kuku, Jogoo ku hump Bata n.k.
 
Acheni upotoshaji huyo simba ni jike mwenye manyoya (mane)

Kwani hamjawahi kuona wanawake wenye ndevu?
 
Acheni upotoshaji huyo simba ni jike mwenye manyoya (mane)

Kwani hamjawahi kuona wanawake wenye ndevu?
Mimi binafsi nimeona wanawake wengi tu wenye ndevu, nyeupe, nyeusi lakini si kwenye nyuso zao. Teremka kidogo hadi pale pale. Hapo ndo utajua hapa duniani kuna Osama wengi sana ambao chimbuko lao si Saudia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…