Gay lions spotted in Kenya's Maasai Mara

Gay lions spotted in Kenya's Maasai Mara

Ndiyo maana Uhuru ameshinda kwa Kimbunga kama wapiga kura wa pande ile nihawa.
 
Na wewe unapenda ngono, yakuambiwa hutaki mpaka uone 100/100. Duh. Unasemaga Kenya mnajuwa kuchangamkia fursa ya kujitangaza, haya fusra hiyo changamkeni.
Wewe hupendi ngono? Kheri wewe.
 
Aisee hawa Simba sijui wametoa haka katabia wapi? Cheki alivobinua tako hapoo dah![emoji3] [emoji109] [emoji125]
FB_IMG_1509647221735.jpg
 
Na wewe unapenda ngono, yakuambiwa hutaki mpaka uone 100/100. Duh. Unasemaga Kenya mnajuwa kuchangamkia fursa ya kujitangaza, haya fusra hiyo changamkeni.

Wakenya wameona hiyo nayo ni fursa.. hawa Watu wako na shobo kwa wazungu hadi kwenye mambo ya kijinga..
 
Wazungu koko ni jamiii ya shenztype sana.

Wameona kuwa wameisha malizana wao kwao (male against male) wameona wahamie na kwa wanyama ambao hawafanyi huo ujinga wa hivyo!!.

Uhuru Kenyatta, ameona atumie hadi mbinu za wanyama kuwa ni gay ili akubalike tena na hao wazungu koko.
Mbona kipindi cha Obama alisema , Kenya ina culture na sheria yake na homo-gay siyo ya kujadili maana hairuhusiwi??

Miafrika ndivyo ilivyo maana, ikiisha mwaga damu za watu ni lazima ijipendekeze kufuta aibu.
 
Hao sio gay lions
Ni a female lion with mane(nywele shingoni)
Inatokeaga mara chache sana
Sasa kama unadhani wanyama wanafanya ushenzi, hawako hivyo
Ni kama mwanamke mwenye ndevu

Ukiangalia hizo picha chini ni simba wa kike ila ana minywele shingoni kama vile ni simba dume
e7a62c5dd975be880d0c929b96bcd09d.jpg

beac4f27f3b3b9a04f25d3c6c77ee363.jpg
84d594a16487af22c46e148f6786efea.jpg
53f330ddea4669226fb444f04f12400e.jpg

good work. umewa pre empty wase.ng.e.
walianza kujenga hoja za kinyonge kuhalalisha upumbavu wao.
 
Iam gay and proud of it, sijui nyie mnateta nini na Haya mambo yalianza zamani, all of us need to embrace the gay pride!
Kwa hiyo wewe unananiliwa na mwanamme mwenZio?
 
don't bother to argue with them coz are less human than us.
weee Mungu alivyowaumba ninyi warembo mnavyovutia halafu lingine utakuta linammezea mate mwanaume mwenzake. walaaniwe.
Less human?
Because you're the creator au?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
 
don't bother to argue with them coz are less human than us.
weee Mungu alivyowaumba ninyi warembo mnavyovutia halafu lingine utakuta linammezea mate mwanaume mwenzake. walaaniwe.
Ati less human? Wewe wacha hii mambo yako. Less human kitu gani.
 
Back
Top Bottom