Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar

Gay's couple yazuiliwa kuingia Zanzibar

Kwenye ndoa za jinsia moja hakuna mke na mume wote ni gays
Wote ni Gays, ila kuna roles, sawa na wana ndoa, si kuna mume na mke?

Ndivyo huku pia iko hivyo, Top ni mume, Bottom ni mke, ila versatile huyu anacheza popote, inategemea kakutana na nani.
😂😂😂😂
 
Mh au kwakua washakaji ni wali nazi weusi mbona wali mweupe unaruhusiwa kuingia kama kawaida
 
Mh au kwakua washakaji ni wali nazi weusi mbona wali mweupe unaruhusiwa kuingia kama kawaida
Chuki zao dhidi ya South, si unajua kwa madiba wabongo wanafurushwa?
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom