Gaza haitamaniki imepigika haswa, Israel wanaendelea kufumua mitaro ya mahandaki na kushusha majengo

Gaza haitamaniki imepigika haswa, Israel wanaendelea kufumua mitaro ya mahandaki na kushusha majengo

We bado unawa mateka wakati wazayuni wameua 42000+ na majeruhi 100,300 kuvuruga kila kitu.
nani kapoteza
Wameua 42,000 wakiwemo maelfu ya Hamas Tangu mwaka Jana zaidi ya siku 400

Hao Hamas waliua 1,200 ndani ya siku moja tu, Israel isingejilinda ni watu 480,000 kwa siku 400
 
Kama hawajawapata mateka hakuna cha maana walichofanya.

Hao waarabu watajipanga upya na vita vitaanza upya.
 
Kwa hiyo uharibifu wote ni kwa ajili ya kupata mateka! Kweli kuna tabu vichwani mwenu!
Nilikua namtaarifu mtoa mada anayesema gaza imechakaa kuwa Israel waneshindwa kupata mateka sasa wameamua kuharibu mji au kiufupi kwenye hiyo vita wameishiwa mbinu mkuu.
 
Wanadamu tunapenda sana maghorofa na mambo mazuri mazuri? Wao wanechagua uhuru kwao ni bora kuliko kua katika maghorofa ya ushetwani, ingawa peponi kuna maghorofa zaidi ya hayo halafu unamiliki peke yako na kufa hufi vilevile kipi bora?
 
Lakini mateka bado wameshikiliwa
Kwani nani anawatafuta hao mateka?
Kwako hao mateka na vifo vya wapalestina 45,000 plus kusawazishwa kwa Gaza yote na kuangamizwa kwa kundi lote la Hamas na viongozi wao unaona bora waendelee kung'ang'ana na mateka?
Kwa akili ya kawaida tu baada ya Israel kuisambaratishha Gaza bado unaamini wameshindwa kuwapata hao mateka?
 
Oktoba 7 na iwe kwenye kumbukumbu za Gaza vizazi na vizazi. Wakaandike kumbukumbu hii katika miimo ya malango yao; watokapo na waingiapo wakaisome kumbukumbu hiyo. Na ikawe ishara kwao na vizazi vyao wasirudie tena!
Uandishi wako unashabihiana na uandishi wa Biblia. Hongera kwa kipaji. Inavutia kusoma.
 
Back
Top Bottom