Gaza haitamaniki imepigika haswa, Israel wanaendelea kufumua mitaro ya mahandaki na kushusha majengo

Na vita bado inaendelea kudadeki hapa ndo huwa nawakubali waarabu mpaka waakikishe wamekomboa ardhi yao
Sasa tofauti na Waarabu na ndugu zao Wayahudi.

Wayahudi wao haogopi kuwasafishia Mji na kuua Magaidi, watauua wote Hadi Hamas wataisha.
At the end Hamas watakubali Israel wabaki Gaza
 
Lakini mateka bado wameshikiliwa
Ndio wanaosababisha haya yaendelee. Wasgupaze shingo kwa upumbavu wao yaendelee kuwapata na sijui ni nini faida yake.

Mateka 101, halafu vifo 45,000. + uharibifu wa mali yaani majengo na miundo mbinu. Na pia kuipoteza Gaza mazi.ma.

Kwa ujumla viongozi wa Hamas ni wajinga
 
Kwa ufupi kuna watu hawajawahi kupenda amani lkn wanachofanya kinawagharimu wao wenyewe.
 
Wataelewa Myahudi sio mtu wa mchezo mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…