Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
- Thread starter
- #101
Hata kama ni 500 .........nyie mmekufa wangapi?........Netanyahu kasema ataua mpaka vilembwe na wala hajari
Wewe hufuatilii habari za dunia, unafuata mkumbo tu.
Mpaka sasa wameshakufa wanajeshi sio chini ya 5000, wewe unaongelea 500 tu!
Hamas anauwa idf
Magaidi ya idf yanauwa kina nani kama sio kulipua maghorofa, kupiga mahospitali, mashule n.k, kuuwa watu wasio na hatia, huo ndio uanaume! Hamas weka mbali na watoto