Gaza: Wanamgambo wa Hamas waanza kujisalimisha kwa jeshi la Israel, Hakuna tena kujificha nyuma ya wanawake na watoto, ni vita ya ana kwa ana

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Jeshi la Israel limefanikiwa kuwaweka chini ya ulinzi wanamgambo wa Hamas kikosi cha Shejaiya

Ni kikosi kikubwa ndani ya Hamas kilichohusika zaidi kwenye shambulio la October 7 kwa kurusha mamia ya roketi kuelekea Israel, Siku 3 zilizopita ngome kuu ya kikosi hicho iliyopo Wissam Farhat, iliteketezwa na Jeshi la Israel.

Raia wema wa kipalestina kwa sasa wapo Gaza kusini kwa muda na watarudi hapo baadae operesheni zitapomalizika.

Magaidi wa Hamas walipewa amri wavue nguo za nje kwa sababu za kiusalama ikiwemo kuchukua tahadhari dhidi ya mabomu ya kujitoa muhanga yanayoshonwa kwenye nguo.

Your browser is not able to display this video.
 
Wanavuna walichopanda.
Mwana kulitafuta mwana kulipata!
 
Mkuu sky soldier,
Tunaomba source ya habari hii?
Kuondoa utata tu maana wapo wanasema hao ni raia wakawaida.

Ahsante.
 
Mara wapo 3000 mara ni sawa na panya road mara allah akbal yaani hata hamueleweki ili mradi tu mpigwe na kutafuta huruma.Tumieni askari wasioonekana(majini wema) mtawashinda Wayahudi.
Unyama waliufanya Hamas October 7 kuua watu wakiwa vitandani kuteka wazee na vitoto vichanga yaani hata Majini na baba lao iblisi yamewakataa Hamas yamesema Allah hajawafundisha waliyofanya Hamas wameanzisha group la Shetani Mpya
 
Kuna raia Zaidi ya 300,000 bado wako gaza kaskazini na wengi walirudi kipindi cha usitishaji wa mapigano.
 
Unyama waliufanya Hamas October 7 kuua watu wakiwa vitandani kuteka wazee na vitoto vichanga yaani hata Majini na baba lao iblisi yamewakataa Hamas yamesema Allah hajawafundisha waliyofanya Hamas wameanzisha group la Shetani Mpya
Hamas wameshambulia october 7 lakini israel ameizingira gaza kwa zaidi ya miaka 50 na anauwa wa palestine anavyojisikia kwahyo ulitaka miaka yote wakae kimya tu kukubali uonevu huo wanavunjiwa nyumba zao maeneo wanawekwa wazayuni wanajenga nyumba hayo maeneo wanafanya ushoga humo halafu mnawaita watakatifu,km ww unaweza kuvumilia uonevu ni ww
 
Propaganda video hyo ww hamas uwakamate wengi hvyo kwa wakati mmoja hao wakitembea wengi sana 4 unafikiria km idf wanatembea makundi km nyumbu wakipgwa kombora wanakufa 50 km walivyouawa juzi 60 kwa wakati mmoja
 
Chukua ndege hadi Egpty uende mpaka wa Rafah, uingie Gaza uombe kujiunga na Hamas, uombe kwendq mstari wa mbele, uje utuhadithie unyumbu wa IDF na ushujaa wa Hamas
 
Cc Faiza Fox na The Boss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…