Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,647
Asilimia 80 uliyoweka hapa siyo ya kweli, acha ku judge mtu msiyemfahamu kwa kuhisi hisiNinamwona kwa mitazamo ifuatayo. Wanaomfahamu wanaweza kusema.
1. Akili yake iko chini ya kiwango cha kawaida.
2. Ni limbukeni wa maisha na uswahili wa kutupwa.
3. Mshirikina sana.
4. Shule hakuna.
5. Kwake maisha ni ilimradi leo.
6. Mpenda show na kujilinganisha na watu kwa ushindani wa kijinga.
7. Hana maadili.
Hakuna mtu mwenye tofauiti ya hapo anaweza kuwa na life style ya namna ile.
Hahahaa hivi kuolewa ni ishu ya maana sana kiasi cha mtu kuolewa kila siku
Mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe
Naungana na wewe hapo kwenye Maadili, KAMA KWELI HII STORY NI YA KWELI, Kwanza kwa sharia ya dini yake hapaswi kuolewa mpaka baada ya mieiz 3 yani amalize eda ndioa aolewe, Na sitaki kuamini huyo anaemuoa hamjui kwa huo uharaka ni wazi alikuwa nae kitambo, na kama hakuwa nae kitambo basi asishangae talaka nyengine ikaja, mana kwa maelezo ya mtalaka wake ni wazi anatabia ya kutegemea makubwa au ana tamaa za maisha, NAMUONEA HURUMA SANA YANI HUU MKASA WAKE NA SADIFA UMEFANYA WENGI WALOKUWA WANAMSOMA KUWA NI MPOLEE NA MTU WAKUPATWA NA MITIHANI WAMEMGEUKA AMEBAKI NA WACHACHE WANAOMUAMINI NA KULIA LIA KWAKE,B Binafsi mimi sasa hivi simchukulii kama awali.Ninamwona kwa mitazamo ifuatayo. Wanaomfahamu wanaweza kusema.
1. Akili yake iko chini ya kiwango cha kawaida.
2. Ni limbukeni wa maisha na uswahili wa kutupwa.
3. Mshirikina sana.
4. Shule hakuna.
5. Kwake maisha ni ilimradi leo.
6. Mpenda show na kujilinganisha na watu kwa ushindani wa kijinga.
7. Hana maadili.
Hakuna mtu mwenye tofauiti ya hapo anaweza kuwa na life style ya namna ile.
Hizi nyota zitakuwa za kuku jike...jogoo yeyote anapanda,na hana wasi wasi.View attachment 341257
Baada ya ndoa yake na Mwenyekiti wa UVCCM na Mbunge wa Bunge la JMT ndugu Sadifa kuvunjika,sasa Wastara apata bwana mpya na amekwisha tolewa mahali
Kweli huyu dada ana nyota ya kuolewa,ikizima hii inawaka ile
Labda ndo aina ya ubunifu wao wa kujipatia kipato,ni wajasiriamali,hawataki kupoteza fursa.Hao wazazi wanaochukua mahari ya wastara wapimwe akili, kwa maana haiwezekani wanapokea tu mahari kwa kila anaetaka kumuoa huyo mama, inawezekana ni kamchezo kakibiashara kwa kila anaetaka kumla denda wastara lazima na wao wapate kamisheni.