Gazeti la Italia ladai asilimia 98% ya makuhani huko Roma ni mashoga

Resesrch za kipuuzi na anayeamini mpuuzi.

Gazeti litege Kamera sehemu kunasa watu, hilo tayari ni kosa ambalo lingepelekea gazeti kufungwa, sio kitu ambacho wangekaa watangaze. Tayari story nzima inaonekana fake.

Mimi sina dini ila huu upuuzi siwezi kubaliana nao. Ukisoma kitu online ni vema kuchanganya na zako sio unabeba unatafsiri na kusambaza. Hamna kitu kama 98% mashoga! Gays bado ni minority hawajasambaa kiasi hicho.
 


ONA MWENYEWE

 



cc mgen



KIFAA CHENGINE HICHI , MADE IN VATICAN , KINATOBOA SIRI


Over half of Catholic priests are gay, says Vatican insider



Ads by Kiosked

David Berger says the Vatican is full of homosexual priests (Twitter)
A theologist who worked at the Vatican says having gay priests β€˜works well’ for the Catholic church.

David Berger – who is openly gay – said
 
Weka source mkuu Tuesday fuatilie. All in all ujue makuhani wanatoka kwa watu na ni matokeo ya jamii wanayoishi, so km 98% ni kweli kwamba ni mashoga, then 98% ya raia wa roma/ Italia ni mashoga
 
Hata papa Francis alipoulizwa kuhusu mashoga na yeye alijibu kwa kuuliza "kwani mimi nani?".

Msisahau hilo.
 
Duuu kama hao wanakuwa hivyo Mbingu IPO hapo kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app

ipo sana...ukuhani wa kanisa katoliki si wa wito ni wa kusomea kwa muda mrefu, kama zilivyo taaluma zingine....bahati mbaya kwao ni kuwa brain washed. Ukishaanza kazi ndipo unagundua kuwa ulikuwa brain washed. Na kama unaipuuzia neema ya Mungu ya wokovu unaishia kufanya vituko. Dont giveup Mungu yupo na anatupenda sana as long as we abide in his wil.
 
Priest moja ndiyo imegeuka kua 98% ?
Unajua 98% maana yake katika watu mia 98 ni mashoga?

Huyo unafikiri amejitokeza ??? si ametegewa . Kwani uliwahi kuwaona wachawi ??? si mpaka waanguke na ungo ndio mnasema huyu jamaa mchawi πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›

Nenda Roma na jaribu kuwa karibu na Padri utajua ukweli uko wapi. Kuna jamaa baharia alikuwa likizo Roma , mara nyingi akiwaona hawa mapadri kwenye parks za kupumzikia. yeye akiwahishimu sana kwani alikuwa ni mkatoliki , na akijaribu kujipendekeza kwao sana. Kunasiku padri akamchukua vichochoroni , mara akalivuta juu joho lake na kumwekea boga , Jamaa kashituka akatoka mbio , hakuamini.
 
Yaani kati ya makuhani 100, makuhani 98 ni mashoga.
Na wakiwa Makuhani 1000, Makuhani 980 ni
mashoga.
AROON huwezi kuikwepa hii dhambi ya kulidhalilisha Kanisa Katoliki.
Sio kila habari inayoandikwa na magazeti ni sahihi hadi uione ni ya kweli.
Kwa idadi hiyo ni sawa tu na kusema Makuhani wote wa Kanisa Katoriki ni Mashoga huko Italy.
Hata wapagani hawawezi kuwa wa idadi hiyo.
Inawezekana Ushoga ukawepo lakini sio kwa idadi hiyo.
AROONI UNAPASWA KULIHESHIMU KANISA KATORIKI.

Wewe AROON unataka kutuambia kuwa huna dhambi ?

Au unavyoamini waumini na viongozi wote wa KISABATO hawana dhambi ?

AROON, utakuja kulipa ghalama ya hayo matusi ambayo kila mara unalitukana Kanisa Katoriki.

Amini Nakuambia.
 
Sasa kama watu wanaweza kuabudu mafuvu na mifupa

Wanashundwaje kuwa mashoga?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…