Gazeti la Italia ladai asilimia 98% ya makuhani huko Roma ni mashoga

Gazeti la Italia ladai asilimia 98% ya makuhani huko Roma ni mashoga

Leo kaamua kuwasema hao mashoga katk dini ya kifirauni vp na wewe umo

Sent using Jamii Forums mobile app
tapatalk_1501514768061.jpeg
 
ni wazi kuwa mpinga Kristo yuko ndani ya u-Kristo. Kiti cha enzi cha ibilisi kiko pale Vatican!

Hayo muyasikiayo ni mwanzo tu wa kujifunua wazi wazi kwa ibilisi aitwaye shetani!

sent from servant of God

tapatalk_1501514646383.jpeg
 
Daaaaaaah wasabato hivi hamnaga cha kuhubiri zaidi ya Catholic jaman... Mbona hamuwaongelei waislam (samahanini waislam), mbona hamuwaongelei waanglicana.. Daily kuanzia kwenye media hadi makanisani kwenu ni Catholic tu yaani Duuuuuuuuh

Sent using Jamii Forums mobile app
Waislam wanawahusu nini paka unataka kuwaingiza kwenye hayo mambo yenu mtuache bwana
 
Kuna utata wa hizi habari. Hawahawa wanasemwa wanafira watoto wa kiume. Leo wanasemwa ni mashoga. Unless wafiraji ni 2% iliyobakia. Lakini hiki chanzo kina uhakika gani hadi kikasema 98% ni mashoga? Walifanya sensa? AROON kwa dini yako tu, najua unajenga lengo hasi kupitia habari hii.
 
Dini ya kweli ni moyo nafsi yako madhehebu ni kukumbushana tu wala usimwangalie shehe, mchungaji nk hao ni binadamu kama wewe ukiwafata utapotea mtazame MUNGU wako pekee.
 
Gazeti la Italia ladai asilimia 98% ya makuhani huko Roma ni mashoga

“Kanisa Katoliki, ambalo linajitokeza kwenye kamba ya kashfa ya unyanyasaji wa kijinsia, inakabiliwa na aibu mpya baada ya gazeti la Italia kuchapisha uchunguzi juu ya kile kinachoitwa maisha mawili ya makuhani ambao ni mashoga huko Roma. Kwa kutumia kamera zilizofichwa, gazeti la Panorama la kila wiki, linalomilikiwa na waziri mkuu wa Italia, Silvio Berlusconi, lilinasa makuhani wakitembelea klabu za mashoga na baa na kufanya ngono. . . . Diyosisi ya Roma ilipiga kelele kwenye gazeti la waziri mkuu, ikisema lengo lake lilikuwa “kuunda kashfa [na] kutetea makuhani wote”. Lakini pia iliwahimiza mapadre ambao ni mashoga kuacha ukuhani. . . . Kuhani mmoja, wa Kifaransa mwenye umri wa miaka 30 ambaye alijulikana kama Baba Paul, alihudhuria pati ambako kulikuwa na makahaba wawili wa kiume. . . . Panorama iliripoti. Picha kwenye tovuti yake ilidai kuwa inaonyesha kuhani akiwa amevaa kola yake ya kipadre lakini bila ya suruali yake akiwa na shoga ambaye alifanya kama mtego kwa gazeti hilo. Katika picha nyingine, makuhani walionyeshwa dhahiri wakimbusu mshiriki wa Panorama. Mmoja wa mapadre alinukuliwa na gazeti akiweka idadi ya makuhani ambao ni mashoga katika mji mkuu wa Italia kama asilimia “98%”. . . . MP wa zamani wa Italia na mwanaharakati wa mashoga, Franco Grillini, alisema: “Kama mashoga wote katika kanisa Katoliki walipaswa kuondoka mara moja – kitu ambacho tungependa sana – kinaweza kusababisha matatizo makubwa ya kazi.” —(The Guardian, Friday 23 July 2010, 19:20)

Mathayo 7:15,16“Jihadharini na manabii wa uongo, watu wanaowajia wamevaa mavazi ya kondoo, walakini kwa ndani ni mbwa-mwitu wakali. 16 Mtawatambua kwa matunda yao. Je! Watu huchuma zabibu katika miiba, au tini katika mibaruti? 17 Vivyo hivyo kila mti mwema huzaa matunda mazuri; na mti mwovu huzaa matunda mabaya. 18 Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mwovu kuzaa matunda mazuri. 19 Kila mti usiozaa tunda zuri hukatwa ukatupwa motoni. 20 Ndiposa kwa matunda yao mtawatambua.”

MUNGU ATUNUSURU NA HIZI LAANA
1c256a8381243a4ba9fdd6fdd751e827.jpg


YHWH IS GOOD
Sasa wanapumuliana wenyewe kwa wenyewe au wanakodi wazee wa kazi kutoka sehemu nyingine?
 
Wabaya ni watu jamani, hakuna dhehebu au dini ambapo kuna wasafi 100%. Kila sehemu kuna kila aina ya uchafu.
 
Back
Top Bottom