Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Shida tangu ni kuwa Wasabato hawana kitu cha kuhubiri zaidi ya kuwakashifu kanisa katoliki labda tuwaite WakashifuKatoliki.Kwani wakiwa mashoga shida yako ni nini?
Badala ya kuhubiri Injiri ya Yesu Kristo, Wasabato kazi yao ni kueleza majungu dhidi ya Ukatoliki.
Kama umeenda Ulaya na ukiingia kwenye Gay Club, yaani Clabu za mashoga huwezi kukukuta asilimia 98 ya watu ktk Club hizo ni mashoga.
Wapo wafanyakazi ambao sio mashoga, wapo watu wanaoenda kustarehe tu ktk Gays Club, wapo wamiliki wa Club hizo ambao sio mashoga hii inamaana kuwa hata ukienda ktk Club za mashoga hukuti asilimia 98 ya wahudhuriaji kuwa ni
mashoga
Kusema kuwa asilimia 98 ya makuhani wa kanisa Katoriki huko Italia ni mashoga ni habari ya kizushi na inapigiwa debe na Wasabato, Wapingakatoliki.
Kwani ni sawa na kusema Kanisa Katoliki la Italia ni danguro la mashoga.
Jambo ambalo sio la kweli hata kidogo.
Mimi nasema hivi,
Wasabato endeleeni kulidhihaki kanisa katoliki kwa kuwa ndio jukumu lenu mlilopewa na nabii wenu mke
Elleni G White.
Wakatoriki endeleeno kuhubiri Injili ambayo Bwana wetu Yesu Kristo aliwatuma kuihubiri katika mataifa yote.
Waacheni wafuasi wa Elleni wahubiri walichotumwa na Nabii wao.
Kipofu anapo mwongoza kipofu mwenzake mwisho wao ni kitumbukia kwenye ziwa la moto.