Gazeti la Jamhuri: Siri ya ugomvi wa Dk. Kigwangalla na Profesa Mkenda hadharani

Bwana waziri wa maliasili na utalii umeamua kuja mwenyewe kujibu tuhuma!??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Et amekuwa mtu wa social media , unaweza kwepa vip social media kwenye suala la tourism?? Jana nimemuona mhifadhi mkuu wa Hifadhi ya ngorongoro anasema idadi ya watalii imeshoot from 400k to 600k with in a single year...
JPM mwenyewe anamonitor sana kwenye utalii Kwa sasa , somehow anajua , kuna jamaa yangu ameajiliwa tanapa juzi anasema kama isingekuwa support ya JPM kupitia wizara asingepata chance , Zaid ya vijana 150 waliopita interview majina Yao yalipigwa chin wakaingizwa watoto wa vigogo huko TANAPA na ukabila mwingi..

Issue ikanaswa , wahusika wakajua kuwa wapo monitored , wakarelease majina sahihi badala yale ya kwao ya mfukon ndo jamaa yangu naye akaula , lakn before alikuwa ashafeli Kwa style hyo 3 times ,
 
Nakubaliana na wewe kwenye hilo suala la ubunifu tu, mfano mkuu ukiwa ni ile sanamu ya mwalimu.
 
Uzuri ni kuwa hayo anayoyafanya "kigwa" mkulu ameyabariki , so huyo Prof atulize mkusu tu.
 
Yasemekana Dr Kigwangala kama Waziri wa Mali Asili na Utalii amekuwa alitumia madaraka yake vibaya kushinikiza matumizi ya fedha za Serikali kinyume na taratibu. Ugomvi wa mara ya mwisho alitaka Katibu Mkuu wa Utalii alipe Mamilioni kwa wasanii waliokwenda mlima Kilimanjaro kama Steve Nyerere na Ebitoke.

Hitimisho:
Nampongeza Prof Mkenda kwa msimamo aliouonyesha hata kama atapoteza kazi yake lakini ataacha historia ya kwamba alisimamia nidhamu ya matumizi ya fedha za umma.

Soma mwenyewe hapo chini
 
Kama safari ya wasanii inasaidia kuchochea utalii sioni kama kuna tatizo.
Kuna watu maarufu mfano wachezaji wa mpira, mieleka, wanamuziki au watu maarufu duniani ambao wanatakiwa kupewa upendeleo ili ujio wao iwe ni sehemu ya "marketing".
Kama kuna harufu ya ubadhirifu au matumizi ya pesa yasiyo na manufaa hapo sina la kusema, nidhamu ya pesa izingatiwe.
 
Hivi utangazaji huo wa utalii uliandaliwa na kitengo cha masoko cha wizara ( kama kipo) ama yalikuwa mawazo binafsi ya waziri mwenye dhamana!? Na malipo hayo yanayosemwa yalikuwa halali ama lah!? Kama utaratibu wa malipo ulikuwa na shida, wahusika wa kutoa fedha wachukua hatua gani ela zitoke kwa wakati?
====
Kwa waliosoma habari nzima kwenye gazeti, mwandishi wa habari alimpa furusa mheshimiwa waziri kujibu yuhuma hizi..!?
 
Naona umekuja kujitetea baada yakusubiriwa na ndege masaa 7 unawaza akitimuliwa itakuwaje! kama hujatosheka pole
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shirikisha ubongo wako kidogo tu utagundua kuwa kirusi ni Kigwangalla. Nenda mfuatilie hata alipokuwa NW-Afya akipambana na Dr JJ Mwaka tutaona mapungufu yake makubwa.
 
Aje ajibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…