Gazeti la Jamhuri: Siri ya ugomvi wa Dk. Kigwangalla na Profesa Mkenda hadharani

Nilijua tu hicho ndo anachokifanyaga komando Kipensi
 
wewe Ni Steve Nyerere nn
 

Cha ajabu Tanzania ndio Taifa linalo ongoza Duniani kuwa na Maprofesa na PhD holders kwenye Cabinet na taasisi nyingine Serikalini- mantiki ya uteuzi huu defies logic hasa kwa sisi tulio bahatika kuishi kwa muda mrefu kwenye nchi za wenzetu waliondelea, hatukuwahi kuona/shuhudia vitu kama hivyo hata kidogo - chukulia mifano ya Uingereza, USA na Ujerumani - mawaziri wangapi ni maprofessa au PhD holders? Maprofessa wanabaki ma academician maisha yao yote sio wananyofolewa kwenye taasisi za elimu/vyuo vikuu vilivyo wasomesha kwa muda mrefu baadae wanakuja kupewa nyadhifa Serikalini na mashirika ya Umma unless wa apply wenyewe sio kuteuliwa - nayasema haya kwa nia njema tu - suala hili JPJM anapaswa kuliagalia upya teuzi hizi siku za mbeleni, tusije kujidanganya kwamba Dunia itatuchukulia seriously kutokana Serikali kuwa na maprofesa na PhD holders kwenye Uongozi wa juu per capita kuliko Mataifa yalio endelea.
 

mkuu, hii nchi kuna wakati ukiwa kiongozi lazima ufanye mambo kinyume cha taratibu kwa maslahi ya umma, emu litazame shirika letu la posta, wamejazwa wajinga tu huko, walitakiwa wawe na huduma za kisasa mfano apps za kuagiza vitu kutoka nje nk


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia hili li picha lake kaliweka jkni utafikiri yeye ndie Serengeti, au my kilimanjaroView attachment 1325733
Anajitangaza yeye na wasanii wake, halafu chaajabu sisi watanzania hata "FEES" za kutembelea hifadhi za wanyama hatuzijui. Kila ukitafuta mitandaoni unakutana na fees za watalii tu ila za wazawa hauzikuti.

Natamani Rais angekuwepo JamiiForums ili wana member tuwe tunamtag utumbo wanaofanya mawaziri wake.
 
Nimetembelea website yao Posta. Browser yangu imenitahadharisha nisifungue kwani website hiyo 'imeshambuliwa' na malware. Sasa nawaza kwa wazo lako la apps za kuagiza vitu si watapata hasara kila kukicha. Hata hivyo wawekeze na kufuata ushauri wako. Naunga mkono hoja.
 
Hapokei simu makusudi
 
ASANTE JF, turudi hapa tena
 
Bukyanagandi, njoo uone matapishi yako
 
Ingependeza kama Kigwangalla angefikishwa Mahakamani kwa kuhujumu uchumi.
 
Yote Tisa KUMI kuachwa kwa kigwa kwenye Baraza haramu la mawaziri ni kumvua picchu jokate ili amuangalie uchi wake unafananaje 😜😜😜
 
Jei Kei alipewa wizara akawa anatumia ndege za kivita za jeshi kwenda kijijini kwao kuwa impress wanyamwezi.
Hech Kei nae ndege ndio zikizomkost.
Kuna Nini Kati ya watu wa Tabora na ndege??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…