Huo ndio ujinga wenu ulipo, mnachotakiwa ni kuandika taarifa ya ukweli kwa kutumia vyanzo rasmi, mbona serikali yenu ilmuua Jacob Juma na yule Padre kule Kisumu baada ya kuisema serikali yenu, huo Uhuru wa kujieleza mnautoa wapi?. Mbona mlitaka kuandamana baada ya gazeti la "The Newyork time" lilipochapisha picha za wakenya waliouliwa ktk shambulio la kigaidi Naieobi?, mbona serikali yenu iliomba CNN kuiomba radhi Kenya baada ya kusema kwamba "Kenya is the hotbed of terrorism?.
Ukweli ni kwamba Kenya mnaumia sana mnapoona Tanzania inafanya vizuri na kusifika duniani, mtajaribu kutafuta kila njia ili kuishisha chini. UN yenyewe imesema Tanzania inafanya vizuri sana katika kupambana na "Drugs"
UNODC hails Dar’s three years achievements on drug war
Ninyi hivyo vyanzo mnavyotumia mumevitoa wapi kama sio wivu na roho mbaya?
Sent using
Jamii Forums mobile app