Gazeti la Kenya laichafua Tanzania, Tanzania yalaani kitendo hicho.

Gazeti la Kenya laichafua Tanzania, Tanzania yalaani kitendo hicho.

Unalialia nini? Huu ni uhuru wa kujieleza. Sisi hatuishi katika dictatorship kama nyinyi. Gazeti zetu zinaharibia hata wanasiasa wetu jina, uliza Ruto au Raila. Bora wanatangaza ukweli basi huwezi kuwapeleka kortini.
Uhuru unamipaka na wewe Acha kushabikia usenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe anaesena ukweli ni saa mbovu?

I didnt know this nonsense you are talking about!

Takwimu hua zinadanganya sio?

Kwahiyo wewe asie saa mbovu ni mtu anaesema uongo sababu tu anatoka nchi fulani????

Huu umama mtaacha lini?
Wee ni akili chache sana sidhani hata kama unaangalia ulichoandika kabla ya kuposti, inabidi nikuhurumie tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiangalia source ya habari yao, haioneshi ukubwa wa tatizo sawasawa na kichwa cha habari yao. Waliongeza chumvi nyingi.
 
Wanafik katika ubora wenu. Mnakumbuka mlivomchafu Muthoki Mumo, mwanahabari kutoka Kenya?
angela-quintal-inset.jpeg
Afadhali media za Kenya ambazo zipo huru na zikiandika habari ni kwa hiari yao na sio kwa shinikizo kutoka 'juu'. Niliwadharau sana wanahabari wa Tz, baada ya wao kuandika uongo na porojo kuhusu wanahabari wenzao. Sanasana Muthoki Mumo, ambaye alipigwa na 'wasiojulikana', wakajaribu kumbaka pia, yote kwasababu tu eti ni mkenya.
Acha uongo ww muthoki ni mkenya lkn anafanya kaz south afrika na kuishi huko huko
 
Back
Top Bottom