Gazeti la Kenya laichafua Tanzania, Tanzania yalaani kitendo hicho.

Gazeti la Kenya laichafua Tanzania, Tanzania yalaani kitendo hicho.

Nchi gani imesambaratika?

Kenya au TZ?

Which country has a true functioning government?

Which country has a sophisticated economy?

Acha vichekesho wewe!

By the way,mimi Mtanzania na natoka Moshi Vijijini!

Siko hapa kutetea liserikali bovu kabisa la nchi yangu linaloongozwa na vichaa kabisa!

Tuna vya kujifunza Kenya!

Shut up your butt chicks!
Nimekuelewa baada ya kujitambulisha, sina sababu ya kuendelea kujibishana na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si upeleke kichwa chako ukajifunze mwnyw unatuambia sisi ili iweje
 
Tatizo hampendi kusoma mnataka wengine wasome ndo msimuliwe. Hiyo habari kuhusu madawa kwenye gazeti la The Eastafrican. Hawakusema kwamba Tanzania kuna ongezeko la utumiaji wa madawa ya kulevya. Walisema bandari za Tanzania zinatumika kama “hub” ya kusafirisha madawa kuelekea China na Ulaya. Yaani uchunguzi ulithibitisha madawa yanapitishwa kwenye bandari bubu za Tanzania. Hakuna sehemu waliosema kuhusu uuzwaji wa madawa ndani ya Tanzania. Kwahiyo hizo link zako usiziweke tena humu.
Wewe ndio hujaaelewa" muktadha" mzima wa mapambano dhidi ya madawa ya kulevya. Tanzania imesifiwa katika vita dhidi ya madawa ya kulevya, sio katika kupunguza matumizi ya madawa ya kulevya pekee, vita dhidi ya madawa ya kulevya vinahusisha
1)Uagizaji
2)Usafirishaji(Uingizaji, upitishaji, utoaji)
3)Usambazaji
4)Utumiaji

Katika yote haya, Tanzania imefanikiwa sana zaidi ya 90% kama inavyosema UNODC hails Dar’s three years achievements on drug war

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nina shaka mtandao huu una watanzania wachache sana kuliko wakenya! Angalia comment ya mtu wa kwanz alieye support kile kilichofanywa na magazeti ya Kenya Ana like kama Nane au kumi, wewe ulietoa hapa Fact za Uharamu wa Kenya katika habari zao na kuambatanisha na mifano hai una like moja tu.

Huu ndio uhuru wa habari tunaoutafuta na bila shaka Nchi yetu imevamiwa na hawa watu,(Wakenya) wapo wengi sana kule Twitter wengine ni wakosoaji wakubwa wa serikali ya Jpm, wanajitambulisha mpaka kwa bendera za Taifa lao, lakini Watanzania halisi bado wamelala.
Kongore kwa jitihada zako Mkuu.
Huo ndio ujinga wenu ulipo, mnachotakiwa ni kuandika taarifa ya ukweli kwa kutumia vyanzo rasmi, mbona serikali yenu ilmuua Jacob Juma na yule Padre kule Kisumu baada ya kuisema serikali yenu, huo Uhuru wa kujieleza mnautoa wapi?. Mbona mlitaka kuandamana baada ya gazeti la "The Newyork time" lilipochapisha picha za wakenya waliouliwa ktk shambulio la kigaidi Naieobi?, mbona serikali yenu iliomba CNN kuiomba radhi Kenya baada ya kusema kwamba "Kenya is the hotbed of terrorism?.

Ukweli ni kwamba Kenya mnaumia sana mnapoona Tanzania inafanya vizuri na kusifika duniani, mtajaribu kutafuta kila njia ili kuishisha chini. UN yenyewe imesema Tanzania inafanya vizuri sana katika kupambana na "Drugs"UNODC hails Dar’s three years achievements on drug war
Ninyi hivyo vyanzo mnavyotumia mumevitoa wapi kama sio wivu na roho mbaya?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uhuru upi huo, mbona mlilalakima CNN na "The new York Times" walipotumia uhuru wa kujieleza kuhusu Kenya?, punguzeni wivu kidogo.

Uhuru wa habari ni pale ambapo chombo cha habari kitatumia vyanzo rasmi vya kupata taarifa, sio kuandika habari kutokana na vile wanavyotaka, kuhusu Corona Virus, WHO ndio chanzo cha mwisho kabisa duniani, huwezi kwenda kinyume na WHO kuhusu Covid-19. Kuhusu dawa za kulevya, chanzo cha mwisho kabisa ni UNODC hails Dar’s three years achievements on drug war
Ninyi huo Uhuru wenu wa habari maana yake ni nini?, mbona serikali yenu inawakamata wanahabari wanaoandika kuhusu ugaidi na kuwatia ndani wakidai wanapingana na vita dhidi ya ugaidi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni uongo. Serikali ya KE haijawahi kutia mwanahabari ndani kwa kuandika ukweli kuhusu jambo lolote. Korti zetu zitamuachilia tu hata akikamatwa. Leta evidence
 
Si upeleke kichwa chako ukajifunze mwnyw unatuambia sisi ili iweje

Wewe ndio hutaki kujifunza

Jisemee mwenyewe

Hajifunzi ni wewe na mavi yako kichwani

Huwezi zuia au kuamulia wengine wafuate mavi yako wewe kichwani kwako!

Najifunza na kuna kenge kibao naowajua wanajifunza

Wewe hujifunzi pamoja na wenzako,ni haki yenu,usituingilie

Nilichoandika hukukipenda ruka my post,soma unazozipenda!

Serikali imejaa mavichaa,na wewe unaongeza idadi,yall part of the problem!
 
Wewe ndio hujaaelewa" muktadha" mzima wa mapambano dhidi ya madawa ya kulevya. Tanzania imesifiwa katika vita dhidi ya madawa ya kulevya, sio katika kupunguza matumizi ya madawa ya kulevya pekee, vita dhidi ya madawa ya kulevya vinahusisha
1)Uagizaji
2)Usafirishaji(Uingizaji, upitishaji, utoaji)
3)Usambazaji
4)Utumiaji

Katika yote haya, Tanzania imefanikiwa sana zaidi ya 90% kama inavyosema UNODC hails Dar’s three years achievements on drug war

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe ndo huelewi mkuu. Hili bifu limetokana na Gazeti la The Eastafrican la 7/03/2020. You are very off topic!
 
Wewe ndio hutaki kujifunza

Jisemee mwenyewe

Hajifunzi ni wewe na mavi yako kichwani

Huwezi zuia au kuamulia wengine wafuate mavi yako wewe kichwani kwako!

Najifunza na kuna kenge kibao naowajua wanajifunza

Wewe hujifunzi pamoja na wenzako,ni haki yenu,usituingilie

Nilichoandika hukukipenda ruka my post,soma unazozipenda!

Serikali imejaa mavichaa,na wewe unaongeza idadi,yall part of the problem!
Aliyekwambia mimi nipo serikalini nan... Sio lazima uonyeshe utoto wako everywhere.
 
Nimekuelewa baada ya kujitambulisha, sina sababu ya kuendelea kujibishana na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwamba?

Kwavile natoka Moshi ndio kwamba sio Mtanzania labda?

Hahahahaaa

Sipo hapa kutetea incompetences ya liserikali!

Kama sio capable nasema na siwezi itetea kwa lolote,ni stupidity!

Kama nchi fulani inafanya vizuri sina haja ya kuichukia au kusema ukweli inafanya vizuri kitu fulani na fulani!

Im so intelligent beyond country boarders!

Sipo hapa eti ccm ikisema Kenya ni mbaya sababu wametuzidi kitu fulani eti na mimi nikubali bila kufikiri!

CCM is a disease aisee!
 
Aliyekwambia mimi nipo serikalini nan... Sio lazima uonyeshe utoto wako everywhere.

Nimesema wewe upo serikalini?

Maafaka use your brain!

Kweli wewe ni Drone Camera!

Likiongozi hovyo la serikali likisema Kenya ni wabaya na wewe ulivyo kiazi utasema “tawire” ni kweli!

Nonsense!

Una ubongo,think for yourself na sio some stupid political leader in an incompetent government ana think on your behalf!
 
I feel quite pity for you... Wewe huwa una mawazo tu ndo maana unaibuka na post za namna hii....Let this be our last argument else I'll piss you off!!
 
I feel quite pity for you... Wewe huwa una mawazo tu ndo maana unaibuka na post za namna hii....Let this be our last argument else I'll piss you off!!

Unaongea kwa mamlaka namna hii as if JF ni yako!?

Acha masturbation wewe mamalia

Anaetakiwa kuongea kwa vitisho namna hii ni CEO wa JF ambae infact anaweza nifanyia hata ban

Kumbe ni wewe mavi kunuka!

Piss me off?Kwa maana you think Im a slouch?

Post yangu,andika yako!

Kama umechukia sana jump into the ocean,who gives a fvck about you?

Ji-squeeze halafu upizi!

Fakayaaah!
 
Mambo yenu ya kifala ya kuona kukoselewa ni “habari mbaya” Kenya ni nchi inayoheshimu uhuru!

Hamna namna,tulieni iwaingie!

Ilisemwa ni serikali kwa kufanya makosa,wanachi have nothing to do with that shit!

Ukisemwa kwa unachokifanya unapaniki nini?

Unakuja kutuambia tuwaisaidie nini?
Mkuu kuna haja ya kuweka siasa pembeni kwenye mambo ya msingi hao wajaluo wamegeuza habari yao kua yetu kitu ambacho ni kizuri kwao ila kwetu ni janga maana sio ukweli unless wewe pia ni mkenya
 
Back
Top Bottom