joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Sikiliza hiyo Video vizuri.Mtu akikwambia wewe ni mchafu na ni kweli ni mchafu kosa lake lipo wapi? shida si wewe mwenyewe ujisafishe ili usiwe mchafu tena!
Sikiliza hiyo Video vizuri.Mtu akikwambia wewe ni mchafu na ni kweli ni mchafu kosa lake lipo wapi? shida si wewe mwenyewe ujisafishe ili usiwe mchafu tena!
Mwenye kuhusika kuhusu udhibiti za dawa za kulevya duniani ni Huyu hapa UNODC hails Dar’s three years achievements on drug warMtu akikwambia wewe ni mchafu na ni kweli ni mchafu kosa lake lipo wapi? shida si wewe mwenyewe ujisafishe ili usiwe mchafu tena!
Unalialia nini? Huu ni uhuru wa kujieleza. Sisi hatuishi katika dictatorship kama nyinyi. Gazeti zetu zinaharibia hata wanasiasa wetu jina, uliza Ruto au Raila. Bora wanatangaza ukweli basi huwezi kuwapeleka kortini.Hivi kuna siku ambayo gazeti au chombo chochote cha habari cha Tanzania kimeandika vibaya kuhusu Kenya?. Lengo la Kenya kugeuza habari mbaya za Kenya na kusema zinahusu Tanzania ni lipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kenya wanaumia sana wakiona jirani wao "hasa Tanzania" ikifanya vizuri, wamehamisha taarifa mbaya za Kenya kuhusu madawa ya kulevya na kuipachika Tanzania kwa makusudi
Hivi kuna siku ambayo gazeti au chombo chochote cha habari cha Tanzania kimeandika vibaya kuhusu Kenya?. Lengo la Kenya kugeuza habari mbaya za Kenya na kusema zinahusu Tanzania ni lipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ndio ujinga wenu ulipo, mnachotakiwa ni kuandika taarifa ya ukweli kwa kutumia vyanzo rasmi, mbona serikali yenu ilmuua Jacob Juma na yule Padre kule Kisumu baada ya kuisema serikali yenu, huo Uhuru wa kujieleza mnautoa wapi?. Mbona mlitaka kuandamana baada ya gazeti la "The Newyork time" lilipochapisha picha za wakenya waliouliwa ktk shambulio la kigaidi Naieobi?, mbona serikali yenu iliomba CNN kuiomba radhi Kenya baada ya kusema kwamba "Kenya is the hotbed of terrorism?.Unalialia nini? Huu ni uhuru wa kujieleza. Sisi hatuishi katika dictatorship kama nyinyi. Gazeti zetu zinaharibia hata wanasiasa wetu jina, uliza Ruto au Raila. Bora wanatangaza ukweli basi huwezi kuwapeleka kortini.
Wasenge ninyi mumejawa na wivu kwasababu nchi yenu imesambaratika kwasababu ya ukabila, mliposikia tumewazidi kwa idadi ya matajiri mumeanza kuchanganyikiwa mnajaribu kutumia kila njia kutupakazia, kama UN yenyewe wanaipongeza Tanzania, ninyi wasenge mnaoishi kwenye slums na kutegemea chakula cha msaada mnapata wapi hizo habari zenu kama sio wivu?UNODC hails Dar’s three years achievements on drug warMambo yenu ya kifala ya kuona kukoselewa ni “habari mbaya” Kenya ni nchi inayoheshimu uhuru!
Hamna namna,tulieni iwaingie!
Ilisemwa ni serikali kwa kufanya makosa,wanachi have nothing to do with that shit!
Ukisemwa kwa unachokifanya unapaniki nini?
Unakuja kutuambia tuwaisaidie nini?
Kenya wanaumia sana wakiona jirani wao "hasa Tanzania" ikifanya vizuri, wamehamisha taarifa mbaya za Kenya kuhusu madawa ya kulevya na kuipachika Tanzania kwa makusudi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekuambia wanahabari huku kwetu wana uhuru wa kujieleza wewe unakimbia kumtaja Jacob Juma. Jacob Juma alikuwa mwanahabari?Huo ndio ujinga wenu ulipo, mnachotakiwa ni kuandika taarifa ya ukweli kwa kutumia vyanzo rasmi, mbona serikali yenu ilmuua Jacob Juma na yule Padre kule Kisumu baada ya kuisema serikali yenu, huo Uhuru wa kujieleza mnautoa wapi?. Mbona mlitaka kuandamana baada ya gazeti la "The Newyork time" lilipochapisha picha za wakenya waliouliwa ktk shambulio la kigaidi Naieobi?, mbona serikali yenu iliomba CNN kuiomba radhi Kenya baada ya kusema kwamba "Kenya is the hotbed of terrorism?.
Ukweli ni kwamba Kenya mnaumia sana mnapoona Tanzania inafanya vizuri na kusifika duniani, mtajaribu kutafuta kila njia ili kuishisha chini. UN yenyewe imesema Tanzania inafanya vizuri sana katika kupambana na "Drugs"UNODC hails Dar’s three years achievements on drug war
Ninyi hivyo vyanzo mnavyotumia mumevitoa wapi kama sio wivu na roho mbaya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasenge ninyi mumejawa na wivu kwasababu nchi yenu imesambaratika kwasababu ya ukabila, mliposikia tumewazidi kwa idadi ya matajiri mumeanza kuchanganyikiwa mnajaribu kutumia kila njia kutupakazia, kama UN yenyewe wanaipongeza Tanzania, ninyi wasenge mnaoishi kwenye slums na kutegemea chakula cha msaada mnapata wapi hizo habari zenu kama sio wivu?UNODC hails Dar’s three years achievements on drug war
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye kuhusika kuhusu udhibiti za dawa za kulevya duniani ni Huyu hapa UNODC hails Dar’s three years achievements on drug war
Vipi Kenya watumie vyanzo visivyokua rasmi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhuru wa kujieleza ndio kuandika uwongo?Unalialia nini? Huu ni uhuru wa kujieleza. Sisi hatuishi katika dictatorship kama nyinyi. Gazeti zetu zinaharibia hata wanasiasa wetu jina, uliza Ruto au Raila. Bora wanatangaza ukweli basi huwezi kuwapeleka kortini.
Uhuru upi huo, mbona mlilalakima CNN na "The new York Times" walipotumia uhuru wa kujieleza kuhusu Kenya?, punguzeni wivu kidogo.Nimekuambia wanahabari huku kwetu wana uhuru wa kujieleza wewe unakimbia kumtaja Jacob Juma. Jacob Juma alikuwa mwanahabari?