Gazeti la Kenya laichafua Tanzania, Tanzania yalaani kitendo hicho.

Nimekuelewa baada ya kujitambulisha, sina sababu ya kuendelea kujibishana na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si upeleke kichwa chako ukajifunze mwnyw unatuambia sisi ili iweje
 
Wewe ndio hujaaelewa" muktadha" mzima wa mapambano dhidi ya madawa ya kulevya. Tanzania imesifiwa katika vita dhidi ya madawa ya kulevya, sio katika kupunguza matumizi ya madawa ya kulevya pekee, vita dhidi ya madawa ya kulevya vinahusisha
1)Uagizaji
2)Usafirishaji(Uingizaji, upitishaji, utoaji)
3)Usambazaji
4)Utumiaji

Katika yote haya, Tanzania imefanikiwa sana zaidi ya 90% kama inavyosema UNODC hails Dar’s three years achievements on drug war


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nina shaka mtandao huu una watanzania wachache sana kuliko wakenya! Angalia comment ya mtu wa kwanz alieye support kile kilichofanywa na magazeti ya Kenya Ana like kama Nane au kumi, wewe ulietoa hapa Fact za Uharamu wa Kenya katika habari zao na kuambatanisha na mifano hai una like moja tu.

Huu ndio uhuru wa habari tunaoutafuta na bila shaka Nchi yetu imevamiwa na hawa watu,(Wakenya) wapo wengi sana kule Twitter wengine ni wakosoaji wakubwa wa serikali ya Jpm, wanajitambulisha mpaka kwa bendera za Taifa lao, lakini Watanzania halisi bado wamelala.
Kongore kwa jitihada zako Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni uongo. Serikali ya KE haijawahi kutia mwanahabari ndani kwa kuandika ukweli kuhusu jambo lolote. Korti zetu zitamuachilia tu hata akikamatwa. Leta evidence
 
Si upeleke kichwa chako ukajifunze mwnyw unatuambia sisi ili iweje

Wewe ndio hutaki kujifunza

Jisemee mwenyewe

Hajifunzi ni wewe na mavi yako kichwani

Huwezi zuia au kuamulia wengine wafuate mavi yako wewe kichwani kwako!

Najifunza na kuna kenge kibao naowajua wanajifunza

Wewe hujifunzi pamoja na wenzako,ni haki yenu,usituingilie

Nilichoandika hukukipenda ruka my post,soma unazozipenda!

Serikali imejaa mavichaa,na wewe unaongeza idadi,yall part of the problem!
 

Wewe ndo huelewi mkuu. Hili bifu limetokana na Gazeti la The Eastafrican la 7/03/2020. You are very off topic!
 
Aliyekwambia mimi nipo serikalini nan... Sio lazima uonyeshe utoto wako everywhere.
 
Nimekuelewa baada ya kujitambulisha, sina sababu ya kuendelea kujibishana na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwamba?

Kwavile natoka Moshi ndio kwamba sio Mtanzania labda?

Hahahahaaa

Sipo hapa kutetea incompetences ya liserikali!

Kama sio capable nasema na siwezi itetea kwa lolote,ni stupidity!

Kama nchi fulani inafanya vizuri sina haja ya kuichukia au kusema ukweli inafanya vizuri kitu fulani na fulani!

Im so intelligent beyond country boarders!

Sipo hapa eti ccm ikisema Kenya ni mbaya sababu wametuzidi kitu fulani eti na mimi nikubali bila kufikiri!

CCM is a disease aisee!
 
Aliyekwambia mimi nipo serikalini nan... Sio lazima uonyeshe utoto wako everywhere.

Nimesema wewe upo serikalini?

Maafaka use your brain!

Kweli wewe ni Drone Camera!

Likiongozi hovyo la serikali likisema Kenya ni wabaya na wewe ulivyo kiazi utasema “tawire” ni kweli!

Nonsense!

Una ubongo,think for yourself na sio some stupid political leader in an incompetent government ana think on your behalf!
 
I feel quite pity for you... Wewe huwa una mawazo tu ndo maana unaibuka na post za namna hii....Let this be our last argument else I'll piss you off!!
 
I feel quite pity for you... Wewe huwa una mawazo tu ndo maana unaibuka na post za namna hii....Let this be our last argument else I'll piss you off!!

Unaongea kwa mamlaka namna hii as if JF ni yako!?

Acha masturbation wewe mamalia

Anaetakiwa kuongea kwa vitisho namna hii ni CEO wa JF ambae infact anaweza nifanyia hata ban

Kumbe ni wewe mavi kunuka!

Piss me off?Kwa maana you think Im a slouch?

Post yangu,andika yako!

Kama umechukia sana jump into the ocean,who gives a fvck about you?

Ji-squeeze halafu upizi!

Fakayaaah!
 
Mkuu kuna haja ya kuweka siasa pembeni kwenye mambo ya msingi hao wajaluo wamegeuza habari yao kua yetu kitu ambacho ni kizuri kwao ila kwetu ni janga maana sio ukweli unless wewe pia ni mkenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…