Uhuru unamipaka na wewe Acha kushabikia usengeUnalialia nini? Huu ni uhuru wa kujieleza. Sisi hatuishi katika dictatorship kama nyinyi. Gazeti zetu zinaharibia hata wanasiasa wetu jina, uliza Ruto au Raila. Bora wanatangaza ukweli basi huwezi kuwapeleka kortini.
Wee ni akili chache sana sidhani hata kama unaangalia ulichoandika kabla ya kuposti, inabidi nikuhurumie tuu.Kumbe anaesena ukweli ni saa mbovu?
I didnt know this nonsense you are talking about!
Takwimu hua zinadanganya sio?
Kwahiyo wewe asie saa mbovu ni mtu anaesema uongo sababu tu anatoka nchi fulani????
Huu umama mtaacha lini?
Kumbe anaesena ukweli ni saa mbovu?
I didnt know this nonsense you are talking about!
Takwimu hua zinadanganya sio?
Kwahiyo wewe asie saa mbovu ni mtu anaesema uongo sababu tu anatoka nchi fulani????
Huu umama mtaacha lini?
Achaneni na huyo jamaa, mnampa hadhi kwa kuendelea kujadiliana naye
Mtu akikwambia wewe ni mchafu na ni kweli ni mchafu kosa lake lipo wapi? shida si wewe mwenyewe ujisafishe ili usiwe mchafu tena!
Wee ni akili chache sana sidhani hata kama unaangalia ulichoandika kabla ya kuposti, inabidi nikuhurumie tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo ww muthoki ni mkenya lkn anafanya kaz south afrika na kuishi huko hukoWanafik katika ubora wenu. Mnakumbuka mlivomchafu Muthoki Mumo, mwanahabari kutoka Kenya?Afadhali media za Kenya ambazo zipo huru na zikiandika habari ni kwa hiari yao na sio kwa shinikizo kutoka 'juu'. Niliwadharau sana wanahabari wa Tz, baada ya wao kuandika uongo na porojo kuhusu wanahabari wenzao. Sanasana Muthoki Mumo, ambaye alipigwa na 'wasiojulikana', wakajaribu kumbaka pia, yote kwasababu tu eti ni mkenya.
10 Tanzanians jailed in the US for drug traffickingWe unaongelea story za nyuma huko,ina maana haujaona/soma mabadiriko yaliyofanywa na serikali ya awamu ya tano au ndio wivu tu?!
macson