Gazeti la Mawio lafungiwa kwa miezi 24 kwa kosa la kuwahusisha Mkapa na Kikwete sakata la madini

Hii adhabu kimsingi ni ndogo, inapaswa kuboreshwa ili iwe kali zaidi.

Hivi vigazeti pamoja na Wamiliki wao ambao wanatumikia mabeberu kuhatarisha amani hapa Nchini wanapaswa kushughulikiwa kikamilifu ili iwe funzo shenz type.
Wamehatarishaje amani na wanatumiwaje na mabeberu?
 
Tuna safari ndefu sana lkn hakuna marefu yasiyo na ncha!
 
Hii move inaharibu taswira ya kazi nzuri aliyoifanya Rais katika suala hili la madini, inatuma meseji kwamba bado hatuko tayari kuchimbua mzizi wa Tatizo lilipoanzia ili kuchukua hatua stahiki.
Mwakyembe hakuwa na haja ya kulifungia hili gazeti anafanya sasa umma uwe distracted uache kuzungumza mambo nyeti ya taarifa za tume uanze sasa kuzungumza kufungiwa kwa gazeti kwa sababu ya kuwasema wastaafu, hii ni bad move!
 
Hii move inaharibu taswira ya kazi nzuri aliyoifanya Rais katika suala hili la madini, inatuma meseji kwamba bado hatuko tayari kuchimbua mzizi wa Tatizo lilipoanzia ili kuchukua hatua stahiki.
Mwakyembe hakuwa na haja ya kulifungia hili gazeti anafanya sasa umma uwe distracted uache kuzungumza mambo nyeti ya taarifa za tume uanze sasa kuzungumza kufungiwa kwa gazeti kwa sababu ya kuwasema wastaafu, hii ni bad move!
 
Hapa ndipo serikali inapokosea. Sababu iliyotumika kulifungia hili gazeti ni dhaifu mno.
katiba inakataa kuwashitaki na kwa kuwa haya ndo maslahi ya ccm basi watuache sisi tujadili mpaka tujue kwa kina uhusika wao na tukitosheka tutafungia ushahidi wetu kabatini kwa kuwa katiba inakataza kuwashitaki.
Sasa huyu ng'ombe mwakyembe anayejifanya mwanasheria wapi pameandikwa kazi ya watz ni kuwaimbia mapambio ya kuwasofi marais wastaafu badala ya kuwahoji waliwafanyia nn watz kwa dhamana waliyopewa kihalali au kwa haramu
 
Ukipingana na uwongo unaitwa mchochozi, yaani inafikirisha kiukweli.
 
Mmesahau alipokua bariadi nadhani siku ile aliposema "SILETI CHAKULA" aligusia magazeti akasema yapo mawili tu dawa yao inachemka au mmesahu marahii!!?
 
Magufuli kuna kitu anakosea.
Anafanya jambo zuri lakini ndani yake anaweka doa ambalo linachafua lengo lake na kubaki kudharauliwa.

Mfano zoezi la vyeti feki lilikuwa la maana ila lilialibika mwishoni kwa kuwabagua wanasiasa.

Sawa na hili la mchanga kafanya juhudi kubwa ila kaja kuharibu mwishoni

Hakuna mtanzania atakayeelewa kuwa matatizo ya madini kuwa maraisi waliopita hawahusiki kwani wao ndio waliokuwa wasimamizi wakuu.

Nadhani anavitisha vyombo vya habari kuwa hawanahuru wa kuandika mambo ya ukweli but kazi yao iwe mapambio tu.

Magu huweleweki unamalengo yapi
Huweleweki kuwa ni mzalendo wa kweli au ni mnafiki
 
Tukisema Jamaa Ni Stir-crazy Mnabishaa..
Nini Hiki...?

"Kichaa Kapewa Rungu" Nay Wa Mitego.
 
Sijui wakoje. Yaani kutaja tu kwamba Mkapa na Kikwete wanahusika, nchi nzima itiwa ugaidi. Kwani wao ni kwa nini wasitajwe!
Mwakyembe anawatafutia matatizo wanasheria wa serikali ......... maana watatakiwa kuileta ile mikataba ili ionekane nani alisaini. Wamesahau Mkapa aliitwa kutoa ushahidi kesi ya Mahalu!!

Hii kesi inaweza kuexpose badala ya kuficha ukweli!!

Labda wailelekeze Mahakama itupilie mbali hiyo kesi bila kuisikiliza!!
 
Huwezi kunyamazisha watu kwa kufungia magazeti. Serikali ya majuha hii
 
kwahii miaka miwili wasajili gazeti mbadala "MACHWEO" waendelee kutupa mavituz!! Marais huko majuu wameyapigania mataifa Yao wala hawajaibiwa lakini wanasemwa Nao wanajitetea kamakawa! Uzalendo gani tunaujenga kwa kuzibana midomo?? Yesu Kristo anasemwa ndoiwe hawa watu? Tumwogope Mungu jameni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…