Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Wamehatarishaje amani na wanatumiwaje na mabeberu?Hii adhabu kimsingi ni ndogo, inapaswa kuboreshwa ili iwe kali zaidi.
Hivi vigazeti pamoja na Wamiliki wao ambao wanatumikia mabeberu kuhatarisha amani hapa Nchini wanapaswa kushughulikiwa kikamilifu ili iwe funzo shenz type.